Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji23] [emoji23] [emoji23] U r sworn Nunez critik haijalishi acheze vipi na dakika ngap wwe umo kumdiss unless unasahau hata huyo Salah kuna wakati humu almost aliboa sana kwa ule uselfishness wake kiasi Mane alichukia live bila chenga lakini Klopp hakuwai kumtia benchi mbali muda wote akiwa mzima ni wa kupangwa na hilo lilichangia dogo Mo kua na consistency ya kufunga ama kutengeza magoli kwa wengine na hilo ndio binafsi nataka nione kwa Nunez akipewa dakika za kutosha uwanjani 1st 11 sio hizi patches...
Huyo Halaand hata asipofunga hutakaa umuone benchi yeye yumo kwa kua Kipara ana imani ila kwa Klopp ni vice versa yeye ana watu wake anaowaamini lazima wawe 1st 11 regardless wana form ipi wao wamoo tu 1st 11....yalimkuta Fabinho alivyotua Liverpool na pia Robertson yalimkuta pia hivyo dogo Nunez ajitume tu hakuna namna japo kwa strika dakia nyingi uwanjani ndio chance nyingi za magoli hana jinsi hizo hizo dakika anazopata kitaeleweka.

YNWA
Kaka Nuniez katika ubora wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji91][emoji91]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tuache na Nunez wetu nenda hukoo Uarabuni kamfuatilie Mane na Henderson wako [emoji13][emoji13][emoji13]

YNWA
Mnasema Salah mbinafsi?
Hivi unajua hata Mane ukimuangalia mwanzo mwisho, utagundua naye alikuwa na kaubinafsi.

Bwana niache bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uarabuni ntashindwa kupiga vyombo[emoji38]
 
Ujue muda mwingine nawaza hata system yetu ya uzuiaji ni mbovu kwa kweli, sasa ukija kuweka na individual weaknesses ndio kabisa tunazidi kuwa wazi.

Bado Klopp hajajipata kusema ukweli bahati nzuri tunashinda pamoja na kuchechemea kwetu.
Klopp ana makengeza ujue.. Kwamba hakuona ile defence inahitaji kuongezewa watumishi/mtumishi ni maswali mengi bila majibu... VVD sio yule wa miaka hio, Konate is made of Indian biscuits hawezi kukupa 10 intense games in row.. Matip haeleweki siku unategemea akupe kazi kazi ndio huyoo ananchemka na mabeki wa pembeni all have been said...
January ingekua jambo la heri kuona FSG wakiingia sokoni kuleta beki wa beki precisely anaetumia nguu wa kushoto itakua added advantage.. Tunaemkimbiza Kipara suala la ulinzi hua hatanii kabisa dirisha lilioisha ametoa zaidi ya £50m kumsajili 'Gravidol' na dalil ni amewaongeza ubora...

Mpaka pale FSG wataacha kuona kama uwepo wa Klopp unatosha ndio wataachia ma pesa za usajili

YNWA
 
Mnasema Salah mbinafsi?
Hivi unajua hata Mane ukimuangalia mwanzo mwisho, utagundua naye alikuwa na kaubinafsi.

Bwana niache bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uarabuni ntashindwa kupiga vyombo[emoji38]
😂 😂 Klopp aliwai kuulizwa hilo ubinafsi akajibu kazi ya ma forwards ni kufunga hivyo its all cool haha buyo ndio Klopp aise

Nenda kamfuatilie Mane na Firmino hukooo mashariki ya mbali

YNWA
 
Mnasema Salah mbinafsi?
Hivi unajua hata Mane ukimuangalia mwanzo mwisho, utagundua naye alikuwa na kaubinafsi.

Bwana niache bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uarabuni ntashindwa kupiga vyombo[emoji38]
Ahaaa, kumbe unapiga vyombo 😄, siku unazomdiss Nyunyez unakuwa umeshawasha gari tayari 😄 🤣 😂
 
Ahaaa, kumbe unapiga vyombo 😄, siku unazomdiss Nyunyez unakuwa umeshawasha gari tayari 😄 🤣 😂
Ndiyo Mkuu
Kushtua lazima😁
Sasa mtu unaamgaliaje mpira wakati haujajiboost kidogo?? 🤣(Natania)

pombe Haram.
najifukia juice Cola mdogo mdogo natazama mechi huku machozi yamenilenga akiwa anakosa magoli ya wazi kabisa.
 
Ile Bar pale Maramba ikifunguliwa niite
 
Sijui hata kuitamka
Kwa kweli hizo ligi za uarabuni hazinogi hata kidogo.

Bobby angebaki tu aisee
Jamaa silent killer, mpole usoni huku anakuchinja mguuni.
Kule wanakwenda kuvuna ela aisee... Hakuna kingine eti waliomba wawe wanashirki Uefa 🤣🤣.... Like serious Uefa na zile timu yaaaaani kisa wanapesa wanataka free pass hakuna wepesi....
Bobby was finished na alijua hilo ndio maana hakuteseka kubakia asugue benchi alimwambia Klopp my time here is done Jurgen lemmie look for new challenge tetesi ilikua atue Barcelona au Inter then wakaja cash loaded Arabs n rest is history...

YNWA
 
Mechi 9 sasa EPL, nafasi aliyepo Spurs ndo nafasi aliyopaswa kuwa Liverpool kama sio ungeserema wa marefalii
Mkuu hili lisikusumbue sana ubingwa matokeo hesabu zake ni kuanzia February aisee yaaani pale Klopp aache bla bla beki mmoja na Dm mmoja January ili Kipara asipate tena free pass hivi hivi ya taji hili murwa sana.

Refa alisinzia kazini but nae binadamu aisee kua na siku mbaya kazini kupo..

Hakuna cha siku mbaya 😂
Tukikosa ubingwa lawama zote nitampa yule refarii.
 
Back
Top Bottom