BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,064
- 2,312
Duuuh!!! Taarifa nzuri hiziTayari wamepatikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh!!! Taarifa nzuri hiziTayari wamepatikana
Tetesi za awali mamake Luis Manuel Diaz amepatikana na babake Cilenis Marulanda bado wanamsaka.. Walitekwa wakiwa sheli na wahuni wenye silaha kali wakiwa na ma piki piki na magari eneo la La Guajira."[emoji599] Liverpool star Luis Díaz parents have been kidnapped today in Colombia, per @VickyDavilaH reports.
Tje case happened in the recent hours in Barrancas, La Guajira.
The police is reportedly taking care of the case as they are working to bring Luis parents back asap"
Fabrizo Romano
Babaake kapatikana ila bado mamaake .... AljazeeraTetesi za awali mamake Luis Manuel Diaz amepatikana na babake Cilenis Marulanda bado wanamsaka.. Walitekwa wakiwa sheli na wahuni wenye silaha kali wakiwa na ma piki piki na magari eneo la La Guajira.
Mungu afanye wepesi wawe salama salmini.
YNWA
Kwa tulioishi Colombia ,Mexico ,new Jersey ,Texas na, New Mexico kule kutekwa nje njeTetesi za awali mamake Luis Manuel Diaz amepatikana na babake Cilenis Marulanda bado wanamsaka.. Walitekwa wakiwa sheli na wahuni wenye silaha kali wakiwa na ma piki piki na magari eneo la La Guajira.
Mungu afanye wepesi wawe salama salmini.
YNWA
Miguu inaufundi mwingi sana ile.Szoboszlai ni fundi wa mpira. Basi tu hatuna mkata umeme pale kati.
Yeah Jota the slotter ukimpa nafasi hanaga wenge kama Nunez.Huyu JOTA kwenye maombi yake aombe consinstency aise ila anao uwezo wa kutuoffer goal 20+
Yesu wangu🥺😳"[emoji599] Liverpool star Luis Díaz parents have been kidnapped today in Colombia, per @VickyDavilaH reports.
Tje case happened in the recent hours in Barrancas, La Guajira.
The police is reportedly taking care of the case as they are working to bring Luis parents back asap"
Fabrizo Romano
Sina mbaya Mkuu
Nakusubiri msemaji uje upambe magoli ya mdogo wako[emoji23]Ni mzuri kwenye penati ujue sio promo za bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio kesho wetu huyo kwenye kusaka ubingwa nina imani nae..
YNWA
UnamuunderrateSina mbaya Mkuu
Pia simuover rate kama mnavyofanya.Unamuunderrate