mazengo worriors
Member
- Aug 12, 2020
- 53
- 87
yule dada aliyekuwa akituma humu clips za magoli yupo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuprove tu.Pia simuover rate kama mnavyofanya.
Tupo pale[emoji117]Atakuprove tu.
Waonee hurumaMimi Man U akichezea kichapo tu, roho yangu kwatu inatulia...
Gerrard alivyoteleza tukafungwa na Chelsea na kukosa ubingwa...man u walifurahi sanaWaonee huruma
Nakusubiri msemaji uje upambe magoli ya mdogo wako[emoji23]
Mama ndio amepatikana lakini Babake bado hajapatikana na mpaka sasa polisi wametoa ofa ya 200m Colombian Peso kwa yoyote yule mwenye taarifa za alipo Baba Diaz.Babaake kapatikana ila bado mamaake .... Aljazeera
Yote mawili magenge ya wahuni
Salah akishika mpira anafyatuka kama Risasi, hana mbambamba.View attachment 2797363
View attachment 2797364
View attachment 2797366
Mnasema aje tuchukue mpunga winter kwa Waarabu ama tutulie kwanza....
Klopp anasema huyu dogo ana mwili wa miaka 20 20 hivi na sio 30+ na hii inatokana anavyojilonda na kujituma sana uwanjani mazoezini nk
YNWA
Crush wangu soboView attachment 2797353
View attachment 2797358
Angalau huyu dogo hii jezi anaitendea haki kiasi fulani.
Hata alipo the Great Steve G ana amani kabisa namba yake pendwa sasa imepata mridhi sasa.
YNWA