Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa kweli mimi binafsi kwenye penalt nilikuwa namwamini Fabinho na Milner .
Angalau kidogo na Trent sijui.

Wengine waliobaki wote Wana mikosi na penalt.

[emoji3060]
Fabinho hakuwa mzuuuuri bahati hakukosa hasa last season ile January no Mane no Salah alikuwa penalty taker wetu na hakutuangusha.

Salah ukiondoa ya Nottigham na Bournemouth last season alizokosa hajawahi acha kuaminika. Season hii anaziweka tu.
 
Ukweli mie nikimuona Nunez uwanja nataka afunge tu basi. Hii inamrejeshea kujiamini zaidi na uzoefu wa kuliona goli.

Goli lake la jana, poor touch but finishing [emoji91][emoji91][emoji91]. Price tag, Red card and Hallaand comparison ndio ilimmaliza last season. I like how Kops support him they way they chant his name even if he is on the bench.

He will come good for sure. Kila kitu anafanya kwa usahihi imebaki kupasia nyavu tu na the rest will be history.

Get hattrick vs Luton with braces goals.
 
Salah pengine ni mzuri ila bahati huwa haipo upande wake
The same to mane

Kwa kweli mimi nilikuwa nikiona Fabinho anaenda kupiga basi roho yangu inapata amani.
 
Ukweli mie nikimuona Nunez uwanja nataka afunge tu basi. Hii inamrejeshea kujiamini zaidi na uzoefu wa kuliona goli.

Goli lake la jana, poor touch but finishing [emoji91][emoji91][emoji91]. Price tag, Red card and Hallaand comparison ndio ilimmaliza last season. I like how Kops support him they way they chant his name even if he is on the bench.

He will come good for sure. Kila kitu anafanya kwa usahihi imebaki kupasia nyavu tu na the rest will be history.

Get hattrick vs Luton with braces goals.
Akijifunza kutuliza akili golini atakuwa mchezaji mzuri sana.
 
Sisi akifunga tunafurahi
Furaha yetu ni ushindi

Ila sasa hatuachi kukasema kanspokuwa na mapepe na kukosa magoli ya wazi [emoji1787]
Screenshot_20231103_211023_com.android.chrome~2.jpg

Screenshot_20231103_210935_com.android.chrome~2.jpg

Wewe ishi kwa kopi haha dogo alishaanza rasmi kazi kazi unategemea afeli unisake na tochi dhubutuuuuu 😂😂😂...

YNWA
 
Hata sijaicheck hii mechi

Tanesco
Haya tu ngoja nisiwatukane..ila wanakera kinoma hadi tunamiss enzi za Magu.
Ilikua intense game kwa kua hali ya hewa haikua powa kabisaaa. Kikosi kilikua well balanced huku tukitoka salama bila majeruhi wapya wala kadi.. Changamoto ni ile kucheza kutokea nyuma bado ni tatizo kubwa sana aisee especially kwa Kipa Kelleher. Mengine ni ya kawaida tu.
Tsimikas hakika amejipanga kuchukua namba ya Robbo azidishe tu bidii kwenye ma assist

YNWA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kazi tunayo

Kwahiyo unashangilia magoli ya Nunez tu?

Niwekee na picha ya mdogo wangu handsome[emoji7]Gakpo
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Mpaka pale utakaposema salute Nunez ndio tutakwenda sawaa....

YNWA
 
Back
Top Bottom