Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธJones ni land mine muda wowote bust.
YNWA
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishawai andikaga Umu, Huyu Kijana Akiwa tu kwenye Line Up Hua Nakosaga ata Raha ya Kuangalia game.๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธJones ni land mine muda wowote bust.
YNWA
Kwa Leo tuangalie zaidi klopp alivyopanga timu very ligh in middle with jones na right side yetu defensively kuwa weak (matip and Trent)Hiyo pesa iliyotumika kumnunua DARWIN bora tajiri angeitumia kununua jumba la kifahari.
Itโs so hard with Nunez because normally he will shoot but so far heโs hesitant. Also I donโt think itโll do his confidence any good. Defence need someone who isnโt afraid to go through the gaps in midfield like matipKwa Leo tuangalie zaidi klopp alivyopanga timu very ligh in middle with jones na right side yetu defensively kuwa weak (matip and Trent)
Nunes is the least of our problems
Ili ndilo tatizo la mashabiki wa Liverpool,wakifungwa tu Kingereza kingi sana,utafikiri wapo ulaya ๐๐คฃ๐คฃItโs so hard with Nunez because normally he will shoot but so far heโs hesitant. Also I donโt think itโll do his confidence any good. Defence need someone who isnโt afraid to go through the gaps in midfield like matip
[emoji1][emoji1][emoji1] kwaio mnaachia makusudi au Mimi sielewi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maombi ya Arse8 ni sisi tupate draw ili mkishinda tuwe sawa.
City akishinda ama sisi tukishinda ni pigo kwa arse8
Anyways
Mpe hi mwamba Ramsdale[emoji23][emoji23]
Brentford wanapiga mateke balaa
Hawa 2nd half tunawakanda[emoji1][emoji1][emoji1] kwaio mnaachia makusudi au Mimi sielewi?
Jikazeni muimwage draw
Mchiz wako Ramsdale leo naimani atakua mzigoni[emoji91]
Ramsdale kama kawaida[emoji1][emoji1][emoji1] kwaio mnaachia makusudi au Mimi sielewi?
Jikazeni muimwage draw
Mchiz wako Ramsdale leo naimani atakua mzigoni[emoji91]
Nawezaje kuangalia mpira kwny simu
Nimewakubali majogoo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1666]Hawa 2nd half tunawakanda
Real Madrid walete tu ela yupo sokoni hakuna mchezaji asiekua na bei aisee...Haya wale haters wa Trent
Ooh Trent auzwe Trent auzwe
Hata Klopp ana bei aisee mpira wa sasa ni nadra sana ofa zitue wenye timu au mche wagome nadra mno aisee kama kuna uwiano wa maslahi basi biashara itanyika tu bila noma wala nini as long as hatuwauzii Everton au Manchester United ๐๐..Haya wale haters wa Trent
Ooh Trent auzwe Trent auzwe
TupoHaya wale haters wa Trent
Ooh Trent auzwe Trent auzwe