Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ladder49.png
 
Sasa hivi, napumzika kumsema Trent mpaka next year.

Jana, nimemshuhudia SG uwanjani.
Dogo amefanya manuva acha kabisa
Gerrard new generation

Trent acheni aitwe Trent jamani 😂😂😂😂😂

Nina furaha leo nalala nikijua mimi na MosDef tuna mtazamo mmoja kuhusu Trent.🔥🔥🔥

Sasa hivi tuanze sasa pamoja kumsema Nuniez🤣
 
Sasa hivi, napumzika kumsema Trent mpaka next year.

Jana, nimemshuhudia SG uwanjani.
Ana hizo quality kabisa
But not defensively

Wamuache akae mido

But…. Mido yetu jana ilikua inakatika because the team jana ilibadilishwa kidogo

With time ntaacha… ILA yeye na gomez kule right sided huwa wananipa kichomi

Asset going forward , liability defensively
 
Trent the Great😂

Heri umepunguza mahaba kwa Mdogo wako😆
Mwaka unaisha anakosaga tu
Sipo sentimental ever ikja swala getting the best of players aisee yaaaaan awe Salah au Nunez akizungua uwanjani na ofa ikiwa mezani mbona fresh tu auzwe aisee..
Huyo Trent wako nae ni vile vile kama hawezi kuzuia bei walete hata Manchester City fresh auzwe.. Nimechoka kua msidikizaji kwa Klopp kung'ang'ania wachezaji mizigo tangu enzi ya Lovren, Benteke, Hendo, Milner,Ox, Keita nk nk hivyo tu nahitaji delivery sio bla bla uwanjani... Klopp has to be brutal na makombe yatatua mengi sanaaa. Kumbembelezana Hapana

YNWA
 
Salah anampa assist Nunez
Nunez huyoo anagongesha mwamba

Watu tupo kimya

Haya sasa,Salah akiamua afunge tu mwenyewe
Akipata tutasema Salah mwamba
Akikosa sasa,utasikia Salah mbinafsi.
Na ushiriki wa Nunez kwenye goli la Endo na Trent la ushindi hujaona.
Namba 9 wa Klopp sio kufunga tu mbali pale mbele na mishe zingine yumooo
🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe edelea tu kumdiss bila klosi yake huyo Trent wala asingepokea ile pasi...

Tazama movements za Nunez akiwa na mpira na bila mpira utaelewa kwa nini dogo ni suala "when " na sio "if"...

Tunamshukuru kwa ushiriki wake
Ila jua ushiriki wake siyo guarantee ya yeye kukosa magoli ya wazi

Tutamsema tu hadi akili itakapomkaa sawa,
Mishe nyingine yumo,ila mishe tuliyomtuma(kufunga magoli) hawezi .
 
Back
Top Bottom