Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,501
- 4,226
Ndio maana jamaa mmoja hapo lasema tumjaribu pitagulaNdo tunaye kwa mechi takribani 4 hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana jamaa mmoja hapo lasema tumjaribu pitagulaNdo tunaye kwa mechi takribani 4 hivi.
Sidhani kama Pita atapewagemu time. Zaidi sana atarudi mzee wetu.Ndio maana jamaa mmoja hapo lasema tumjaribu pitagula
ile kona kizazi cha wale wachezaji hawataisahau mpaka wanaingia kaburini.Huyu dogo namkubali Sana Mungu Amwongoze mkuu. Unakumbuka ile game ya Barcelona champions league anakufa Huyu dogo alikiwasha mpaka Lamasia wakalalana viatu
Naam shekhe
Jamaa ni true definition ya asset na liability
Hata tukishindwa ,dogo huwa analia sana...yaani yeye Liverpool licha ya kuwa ni ajira,lakini pia ipo damuni.Huyu dogo namkubali Sana Mungu Amwongoze mkuu. Unakumbuka ile game ya Barcelona champions league anakufa Huyu dogo alikiwasha mpaka Lamasia wakalalana viatu
Asante MkuuTrent.
Hands down!!!
Anne umeshinda, for now.
Dogo amefanya manuva acha kabisaSasa hivi, napumzika kumsema Trent mpaka next year.
Jana, nimemshuhudia SG uwanjani.
Trent the Great🔥🔥🔥🔥🔥
HayaNdio maana jamaa mmoja hapo lasema tumjaribu pitagula
Ana hizo quality kabisaSasa hivi, napumzika kumsema Trent mpaka next year.
Jana, nimemshuhudia SG uwanjani.
Kama Wewe Unavyoikubali mkuu... Hahaha just a joke!Hata tukishindwa ,dogo huwa analia sana...yaani yeye Liverpool licha ya kuwa ni ajira,lakini pia ipo damuni.
Kabisa MkuuKama Wewe Unavyoikubali mkuu... Hahaha just a joke!
Mungu Atuongoze Mkuu Nimemiss kunyanyua ndoo ya EPL this season. Tunakuwaga kama vichaa kama boss klopp anavyoshangiliaKabisa Mkuu
Mimi huwa nipo emotional sana
Ni rahisi mno kulia pale timu inapofanya vibaya, ama nikipata furaha kupitiliza huwa nalia.
Sipo sentimental ever ikja swala getting the best of players aisee yaaaaan awe Salah au Nunez akizungua uwanjani na ofa ikiwa mezani mbona fresh tu auzwe aisee..Trent the Great😂
Heri umepunguza mahaba kwa Mdogo wako😆
Mwaka unaisha anakosaga tu
🤣 🤣 🤣 Aisee kwa hayo magoli matatu ndio awe best player... Kumbe dokta miss Liverpool kashakurubuni.Trent is the best player in the world right now
Na ushiriki wa Nunez kwenye goli la Endo na Trent la ushindi hujaona.Salah anampa assist Nunez
Nunez huyoo anagongesha mwamba
Watu tupo kimya
Haya sasa,Salah akiamua afunge tu mwenyewe
Akipata tutasema Salah mwamba
Akikosa sasa,utasikia Salah mbinafsi.
Tunamshukuru kwa ushiriki wakeNa ushiriki wa Nunez kwenye goli la Endo na Trent la ushindi hujaona.
Namba 9 wa Klopp sio kufunga tu mbali pale mbele na mishe zingine yumooo
🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe edelea tu kumdiss bila klosi yake huyo Trent wala asingepokea ile pasi...
Tazama movements za Nunez akiwa na mpira na bila mpira utaelewa kwa nini dogo ni suala "when " na sio "if"...
YNWA
Trent ni the best.🤣 🤣 🤣 Aisee kwa hayo magoli matatu ndio awe best player... Kumbe dokta miss Liverpool kashakurubuni.
YNWA