MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Kazi ipo then. Tumemleta Raya kama competition na upgrade wa Ramsdale. Shot stopping stats zake zilikuwa nzuri tu last season. Distribution yake bado ni decent na bado anasaidia sana tu gameplan yetu.
Leo analaumiwa kwa magoli mawili. Goli la pili, sawa apokee lawama. Goli la kwanza...hatukujipanga vizuri kuzuia goli. Hakukuwa na mtu kwenye post. Basic defending kwenye corner ni kuwa na watu kwenye posts. Gabriel Jesus naye hakupambana hata kumpa shida kidogo Osho. Odegaard alitucost hivi hivi naye. Goli la tatu, Barkley alifikaje mpaka kwenye ile position bila kuzingirwa au kukabwa? Nategemea English media watamshambulia Raya kwa sababu wako subjective katika views zao. Ila tukiangalia hili suala objectively, tunapaswa kutuliza akili na kurekebisha makosa yanayopelekea kufungwa kwetu magoli mepesi.
First duty ya a good/top GK, ni ku-mask shortcomings/lapses za his backline.
Kwa kipindi cha 90 mins, opponents lazima watajaribu kuja kwako, force mistakes, forces lapses, force mis-steps etc, and since football is all about shapes & dynamics (forms & systems), at some point, utajikuta kwenye trap, so when your defense gets caught-up, and collapses, your GK must be there to try his hardest to save/mask hizo lapses, and shape the defense again.
Kama, GK akiwa a-show up his mates lapses, what is his job? mpira siyo one dimensional, as good as Saliba & Gabriel are, their not immune to lapses, because wanacheza against professionals.
Umeongelea kuhusu lapses za kina Jesus, Ode etc, but unasahau kuwa lapses ni part of football, unaona ni kosa la kina Jesus, but unasahau kuwa, Luton walikuwa good at forcing lapses and penetrations, its football, siyo one sided sport.
So, what happens kama, on-field players, waki-fail ku-win balls/cover ball progression channels? job ya GK ni nini? show up for the ball, stay on your toe, cover your positions, be quick kwenye ku-make decisions.
Raya is not a good shot-stopper and its not an insult at all, and pia its fine.