King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Hawa Sheffield mnawaonea tu. Ushindi nje nje hapa. Ila nawaombea Sheffield ushindi ili Ze Gunners tuketi zetu pale juu bila bugdha nyingi.
Boss Hakikisheni munaanza kufanya rotations za kutosha nadhani unajua kipindi cha January - February ndiyo bottling zinpoanza kutokea wachezaji wakishaanza kuchoka.
Recall last season.