Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp out
Gerrard In

Laana ya Mane

Akiyanani mimi nilishika bango[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna Watu waliaminishana kuwa Liverpool ilikuwa ikibebwa na Mane.

Waliamini Salah bila ya Mane si lolote kwasasababu eti alikuwa akibebwa na Mane.

Mane kaondoka nadhani tumeona nani hasa alikuwa akibebwa na mwenzake.

Salah Moto ni uleule baada ya kuondoka Mane, but Mane aligeuka Bondia baada ya kuondokana na Salah.

Liverpool msimu huu imekuwa bora zaidi licha ya kuwa only Mac na Szobo ndiyo serious signing za Msimu huu.
 
Msimamo wa ligi mechi za ugenini

View attachment 2836951
Klopp hapa inabidi kuongeza maarifa zaidi hatuwezi ligi kutegemea kushinda tu Mechi za nyumbani

YNWA

Draw:
1) Rent Boys (Deserved)
2) Brighton (Tulipaswa kushinda)
3) Luton (Tulipaswa kushinda)
4) Man City (Deserved)

Lose:
1) Spurs (Due to referee and VAR bad decisions).
 
Draw:
1) Rent Boys (Deserved)
2) Brighton (Tulipaswa kushinda)
3) Luton (Tulipaswa kushinda)
4) Man City (Deserved)

Lose:
1) Spurs (Due to referee and VAR bad decisions).
Luton pale my favourite boy namba 9 alituangusha kimtindo.

Spurs hii inanikumbusha Everton vs Manchester City msimu wa 2021 2022 tukikosa ubingwa kwa pointi 1 tu.

Brighton hakika gemu ilikua yetu sema dogo Macca aliamka vimbaya sana.

Kipara pale hatujashinda muda sana hua ni kipigo hivyo sare bora kabisa.

YNWA
 
Hali ndio kama hii. Dogo Trent unanuna na wakati huo huo anakuachangamsha.

Screenshot_20231209_125228.jpg


YNWA
 
Timu ya weusi leo ipo dimbani kutuwakilisha kwenye miaka 62 ya Uhuru

Kila la heri Palace [emoji1491]
 
Back
Top Bottom