King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Klopp out
Gerrard In
Laana ya Mane
Akiyanani mimi nilishika bango[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Watu waliaminishana kuwa Liverpool ilikuwa ikibebwa na Mane.
Waliamini Salah bila ya Mane si lolote kwasasababu eti alikuwa akibebwa na Mane.
Mane kaondoka nadhani tumeona nani hasa alikuwa akibebwa na mwenzake.
Salah Moto ni uleule baada ya kuondoka Mane, but Mane aligeuka Bondia baada ya kuondokana na Salah.
Liverpool msimu huu imekuwa bora zaidi licha ya kuwa only Mac na Szobo ndiyo serious signing za Msimu huu.