Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
🤣 🤣 🤣 🤣 Team ya Miss LiverpoolUnanisnitch eeeh!? [emoji1787][emoji1787]
Kelleher
Matip
VVD
Domy
.
.
Salah
🤣 🤣 🤣
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 Team ya Miss LiverpoolUnanisnitch eeeh!? [emoji1787][emoji1787]
🙆🏿♀️🙆🏿♀️🙆🏿♀️🔥🔥Bro niaje mbona umekimbia sana humu.Mambo vipi Kops
Captain Marvelous brother za siku nyingi? Sijapita muda sana humu
Anyway naona wazi tumepata gold chance kukaa kileleni ..
Wasalaam
Bro mambo ndio yalikuwa mengi kidogo but tuko pamoja ndugu mpaka pale tutakapopewa mwali wetu🙆🏿♀️🙆🏿♀️🙆🏿♀️🔥🔥Bro niaje mbona umekimbia sana humu.
Uzima upooo?
Za siku nyingi ni fresh kabisa.
Majogooo tunaongoza ligi. Mambo ni bam bam kabisa.
YNWA
Villa naona mnawapuuzia tu wakati yamechanja mbuga sanaWakumuombea njaa zaidi ni kipara apoteze point zaidi na kesho arsenal sina wasiwasi nao hata kidogo wale ni wavulana wadogo hawawezi mbio za marathon za wanaume. Arsenal hata akituacha na point tano na hakika hatoboi February na hizo point ila kipara ndo moto wa kuotea mbali
Matip[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Team ya Miss Liverpool
Kelleher
Matip
VVD
Domy
.
.
Salah
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
YNWA
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kikosi cha ushindi hichoooo hahaha cha Miss Liverpool.Matip
Vvd
Konate
Szobo
My babe Trent[emoji8]
Gakpo my son[emoji7]
My king Salah
Miracle worker Jotaaaa
Fighter Luis
Huyu tulishamalizana nae hivyo pointi tulichukua pointi 3 safi n mechi inayofuata ni May 24 2024 saa kumi na moja pale Villa Park hivyo kwa sasa kila mmoja ashinde mechi zake aafu mpaka tunafika hukoo April ndio mbio za ubingwa tutajua ni namna gani.Bro mambo ndio yalikuwa mengi kidogo but tuko pamoja ndugu mpaka pale tutakapopewa mwali wetu
Hivi hawa Aston villa hamuoni watakuja kutupa tabu
Msimamo wangu ni uleule
Kelleher ni the best golikipa
If you think of catching arsenal, that’s a daytime dream.
We don’t expect to drop points unless we are hit by injuries.
Amka asubuhi imefika acha kuota utajiharibia mkuu....
na draw dhidi Luton hata Ile Brighton mkuuIle game ya Totenham inaweza Ku Tu cost ubingwa...Leo tungekuwa point tisa clear of man city
Mwambie sisi hatuchani Mikeka bali tunang'arisha mikeka izidi kupendeza.Hatuna tabia ya kuchana mikeka [emoji23]
na draw dhidi Luton hata Ile Brighton mkuu
30 minutes still struggling to find a goal against a mid table team, yet you think of beating arsenal?
Good 👍
Kumbe my fellow Kop unazungumzia msimamo na sio facts?
Kama ni hivyo upo sahihi kwasababu hata Privaldinho anaamini Yanga ni bora kuliko Masandawana (Mamelody) kwasababu ndiyo msimamo wake.
Ni sawa na Malafyale anaamini kuwa Henderson ni bora kuliko Gerrard kwasababu ndiyo msimamo wake.
Ni sawa na wengi humu kuna kipindi waliamini Origi na Shaqiri ni bora kuliko Salah.
Anfield safari hii pamoto sana,ni mwendo wa wastani wa voli tatu tatu tu.Kijana Aliyekubaka jana sisi tulimuoa na Mahari ya Milioni 3 tukamtolea.
Sasa kama Mke wetu mpendwa alikunyanyasa hivi je sisi Waume tutakufanyaje utakapoingia Getoni kwetu Anfield?
Munapoanza kushabikia Mpira muwe munatuuliza sisi Wazee jinsi ya kushabikia mpira usionekane Mpumbavu.
View attachment 2838361View attachment 2838362
Msimu huu mechi zote mpaka sasa kila mechi lazima tufunge goli.Mwambie sisi hatuchani Mikeka bali tunang'arisha mikeka izidi kupendeza.
Tuna advantage round ya pili wote wanakuja anfield tunawapasua vibaya sana.wote hao spurs,luton na brighton.points 9 hizo zitatusaidia round ya pili.na draw dhidi Luton hata Ile Brighton mkuu
King ngwaba hizi mechi za maelekezo, sisi huwezi kutufunga bila maelekezo, waliotufunga wote hakuna aliyetuzidi mpira ni support ya Marefa, sisi ni moto wewe.Kijana Aliyekubaka jana sisi tulimuoa na Mahari ya Milioni 3 tukamtolea.
Sasa kama Mke wetu mpendwa alikunyanyasa hivi je sisi Waume tutakufanyaje utakapoingia Getoni kwetu Anfield?
Munapoanza kushabikia Mpira muwe munatuuliza sisi Wazee jinsi ya kushabikia mpira usionekane Mpumbavu.
View attachment 2838361View attachment 2838362
King ngwaba hizi mechi za maelekezo, sisi huwezi kutufunga bila maelekezo, waliotufunga wote hakuna aliyetuzidi mpira ni support ya Marefa, sisi ni moto wewe.