That means Klopp kwa mara nyingine amefeli vimbaya dhidi ya struggling United kuna kipindi ishu kama hii ya jana tulikosa ubingwa kwenda Old Trafford kusaka sare na Manchester United walikua na hali mbaya mno.. Nakumbuka hio mechi Henderson the bam alinununa kupewa sub hata mkono hakumpa Klopp...
Mambo yanavyokwenda kama yasipobadililka basi sare sio powa kabisa kwetu
Klopp anaweza kukufanya ucheke au ulie muda huo huo...
Nitajihidi nipate kuona marudio.
YNWA
Its just not about United, its about us struggling to break down deep/mid blocks, ni theme ya miaka si chini ya saba sasa.
We had the best front 3 in the whole world for like what? 4-5 years? but tulikuwa tuna-struggle na low/mid blocks, kipindi kile wakati bado hatujapata kazi/gigs za kuuza/ku-share deep tactical pieces, unakumbuka tulikuwa tunajadili sana kwa undani hili suala la ku-struggle against Mid-blocks, na ukiachana na uzuri wa front 3 ya Salah/Mane/Firmino, tatizo kubwa la kushindwa ku-break hizi low/mid blocks, lilionekana na kukosekana kwa varied profiles kwenye our MF, i mean technical MFs, ambao ni wazuri ON THE BALL, because having quick/possessive/line breaking passers, good/strong ball carriers & space-finders, kwenye MF, can help ku-open up any kind of deep/mid block, because inakupa assurance ya kuwa na patience kwenye build-up na patience kwenye kutengeneza chances after chances, see, breaking down deep/mid blocks, inatahitaji uvumilivu/utulivu, it takes time.
We had Mane/Firmino/Salah, but our starting MF was Fabinho/Hendo/Gini, MF ilikuwa haina technical ounce, at one point, we had to rely on Fabinho ku-progress the ball, Hendo & Gini (under Klopp), were very limited footballers, Very limited. we were able to recycle the ball/possession, but it means nothing against teams ambazo zinaamua ku-settle for deep/mid blocks.
We had Keita, Klopp ruined him.
We bought Thiago, Klopp had to instruct him to sit/play slight deeper at LCM, because Henderson on the other right side, wasnt doing his job vizuri.
Now, katika kipindi chote cha Klopp at LFC, we have got the MOST technical MF (Macca, Dom, Gravenberch, Jones, Harvey, Thiago & Baj), but unawatumia kwa stregth zao? NO.
Dominik, spends dakika zote 90, covering our RB, and kusaidia kupunguza transitions traps in the middle, thus covering upande wa DM at times, huyu ni mchezaji ambaye anatakiwa kuwa free, ni mchezaji ambaye ana traits zote za a world class technical MF ambaye ungemuhitaji/unamuhitaji kwenye games kama ile ya United/Luton etc, cha ajabu alikuwepo uwanjani, but kwa role ipi? kwenye game ya Sheffield, baada ya kusogezwa mbele kidogo, na kupewa leseni ya ku-roam freely at LCM, dakika 10 zilizobakia, he scored a goal, but we wasting him at RCM, siyo vibaya kucheza at RCM, because he has a lot of qualities, na hata kama tungekuwa na strong DM, him at RCM, and Macca at LCM, bado ingekuwa sound sana, but kwasasa unamuweka at RCM kwa role ipi? covering for Trent? how can you let a player of Dom qualities kucheza hiyo role? is Trent even a better footballer than Dom?
Then, you have another quality and world class technical MF who is getting wasted as a lone 6.
And, on top of that, Jones-Macca-Dom, was our most balanced MF, sasa when was the last time tumeitumia hii MF? tangu Jones apewe red-card against Spurs, Gravenberch is a top talent, but bado anatafuta his feet, idea ya kumuanzisha kwenye cup/EL games ilikuwa ni nzuri, huyu ni mchezaji ambaye alikuwa hapati minutes kabisa at Bayern, he needs time, especially kwenye games za league, ambazo ni very demanding (na ameishia kuumia, kwasababu he was getting played a LOT).
Yes, Macca, kaumia, so we had to pick MF ya Endo-Gravenberch-Dom, but kama nilivyosema imekuwa hard sana kwa Gravenberch kuji-impose kwenye games za PL, because zinahitaji sana uwe physical & strong kwenye defensive actions, na kwenye upande wa defensive actions ndiyo ambalo anatakiwa kulifanyia kazi zaidi, na siyo tu kuji-impose, ni jinsi gani tunamtumia? he's one of the best young & upcoming "attacking" MF, but ni aina ya players ambao wanapenda ku-operate kwenye big spaces, traits za MF wanaopenda ku-operate kwenye big spaces zinafanana, ni big bonus yao ni kuwa huwa wanakuwa good Creators/Assisters/goal-scorers, but now hatuna minerals za kum-free up, na akiwa free at times, atahitaji spaces/pockets, za ku-move the ball/create chances/hurt the opponent, kitu ambacho hatuwezi offer now, but hakuna interchangbles/switches za RCM-LCM, zitakazoruhusu kum-free up Ryan, as our RCM is playing so deep AU ana-cover lapses za Trent, ambaye anakuwa ame-invert ili "ku-create", sasa imagine Trent aki-invert, Ryan anakuwa wapi? maana for past few games, nimeona Trent anaingia na ku-sit kabisa at 6.
At times, wakati msimu unaanza, Dom ndiyo ana-drop deep ku-create a pivot na Macca, kitu kilichokuwa kinafanya kazi vizuri tu, though role ilikuwa ni very limited but Dom bado alikuwa na uwezo wa ku-impact games vizuri, because he had the whole pitch ahead of him.
Sasa, kama solution yetu ya kumsaidia Trent kwenye tatizo lake la kuzuia, ni kumtumia Dom as a shield, then we are doing it all wrong.
You could just deploy a 442.
Kostas-VVD-Konate-Gomez
Diaz/Gakpo-Macca-Dom-Trent
Nunez/Jota-Salah
Then let Dom & Trent play interchangeably, between CM & RM, ina-solve a lot of issues, but since Klopp atalazimika ku-deploy a pivot, hawezi fanya hicho kitu, yupo radhi, a-limit abilities za players, ilimradi tu aendelee na suala la lone 6, na huwa sielewi why huwa ana-target pivot oriented players kwenye market.
Tumekwama kwenye suala la ku-unblock deep blocks kwasababu ya Klopp kuwa so naive, na kwasasa tuna profiles za kuweza kabisa kuzifungua deep blocks, but he wants to make baadhi ya players happy, so we will continue to drop points because of this.