Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Attachments

  • Screenshot_20231223-220423.jpg
    Screenshot_20231223-220423.jpg
    95.4 KB · Views: 5
Szobo ameshuka kiwango, mtamsingizia bure Trent kuwa msababishi

Huwezi kuwa serious na ubingwa mnakosa goli la vile

Hii timu ili ichukue EPL inahitaji kusajili Star kila position ukiacha nafasi ya golikipa tuu

Wachezaji waliopo wanauwezo mdogo leo wazuri kesho wabovu, ni ngumu kuchukua EPL na Nunez, Jones, Elliot, Szobo, Gravb, Mac allister, Diaz, Endo, hizi nafasi bila kusajili mastar hatutoboi mafanikio yetu yatakua top 4 kila mwaka
 
Klopp mswahili sana
Mikwara yote ile nikadhani timu itakuja na kasi ya ajabu!
Stori ni zilezile..draw ya pili mfululizo nyumbani!
Bila Salah tungelala na viatu.

Timu imekuwa mbovu sana aisee,,Aje kocha mwingine na ubunifu mwingine.
 
Szobo ameshuka kiwango, mtamsingizia bure Trent kuwa msababishi

Huwezi kuwa serious na ubingwa mnakosa goli la vile

Hii timu ili ichukue EPL inahitaji kusajili Star kila position ukiacha nafasi ya golikipa tuu

Wachezaji waliopo wanauwezo mdogo leo wazuri kesho wabovu, ni ngumu kuchukua EPL na Nunez, Jones, Elliot, Szobo, Gravb, Mac allister, Diaz, Endo, hizi nafasi bila kusajili mastar hatutoboi mafanikio yetu yatakua top 4 kila mwaka
Trent alitolewa mbuzi kafara
Sobo avuruge,lawama anapewa Trent.
 
Hatuwezi kuchukua Ubingwa wa EPL tena chini ya KLOPP NEVER NEVER NEVER .
Unaokota okota takataka zilizotupwa na Bayern Munich ndio uchukue Ubingwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
It was clear dhidi ya Manchester united and it was clear again today SZOBOSZLAI and GRAVENBERCH should NEVER play together in the same Midfield. THAT SIMPLE.
Mbona mnatuchanganya sana

Wengine Sobo amekuwa mbovu

Wengine Sobo big talent ila udhaifu wa Trent ndo unamfanya Sobo akwame.

Tumuamini nani sasa
 
Back
Top Bottom