Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thed weld dweller bana.TANESCO ni mambwaaa
Unadunda tu kwenye ardhi ya molaHiyo bahati ya miaka nenda rudi mbona nyie mmeshindwa kuitembelea?
Mwenye kujua namna yeyote ya kuangalia huu mpira online, anisaidie Kops?!
😂😂😂Unadunda tu kwenye ardhi ya mola
Trent alitolewa mbuzi kafaraSzobo ameshuka kiwango, mtamsingizia bure Trent kuwa msababishi
Huwezi kuwa serious na ubingwa mnakosa goli la vile
Hii timu ili ichukue EPL inahitaji kusajili Star kila position ukiacha nafasi ya golikipa tuu
Wachezaji waliopo wanauwezo mdogo leo wazuri kesho wabovu, ni ngumu kuchukua EPL na Nunez, Jones, Elliot, Szobo, Gravb, Mac allister, Diaz, Endo, hizi nafasi bila kusajili mastar hatutoboi mafanikio yetu yatakua top 4 kila mwaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatuwezi kuchukua Ubingwa wa EPL tena chini ya KLOPP NEVER NEVER NEVER .
Unaokota okota takataka zilizotupwa na Bayern Munich ndio uchukue Ubingwa
Mbona mnatuchanganya sanaIt was clear dhidi ya Manchester united and it was clear again today SZOBOSZLAI and GRAVENBERCH should NEVER play together in the same Midfield. THAT SIMPLE.