Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nani ulitaka Club imsajili instead of Gravenberch ndugu?
Man, Elite club like Bayern hawawezi ku-supposed talent for £34ml.
This man has no Mentality for a top club like Bayern or Liverpool.
He doesn't even deserve to be on the pitch Bayer walikuwa sahihi,Ni bora hata tungempata Tielemans FREE.
 
Man, Elite club like Bayern hawawezi ku-supposed talent for £34ml.
This man has no Mentality for a top club like Bayern or Liverpool.
He doesn't even deserve to be on the pitch Bayer walikuwa sahihi,Ni bora hata tungempata Tielemans FREE.

So are we going to belittle a 21 year-old player?

And, mara ngapi, players huwa wanashindwa ku-perform for certain clubs kwa sababu tofauti?

Salah & KDB were deemed not good enough at Chelsea, tena range ya miaka yao kipindi kile ni kama ya Gravenberch now, but look at them now?

Are we really going to force an agenda kwa a 21 year-old? kwa kukosa namba/nafasi ya kucheza at Bayern?

Wachezaji wangapi sisi LFC tumewaachia/sell for peanuts over the years? wachezaji wangapi walikuja LFC na wakashindwa ku-break in kwenye first team? why iwe ni kitu kipya kwa Gravenberch?

He's 21, still a kid, na unaisema recruitment team, but huyo Mike Edwards alikuwa anamtaka huyo Ryan tangu yupo Ajax, akiwa na miaka 18-19, Bayern wakaja na false promises kuhusu yeye kuanza first-team, na ni kitu ambacho hakikupata, na at that age, ni kawaida, tuna 21 year-olds wangapi ambao bado wanapambana at the academy? variations za wachezaji ku-grow kwenye football ni tofauti.

Give him time, he had a bad cameo today, but hakuna haja ya kuanza ku-bellitle young player ambaye anafind his feet kwenye league mpya.
 
A RULE FOR MANCHESTER CITY AND ANOTHER FOR OTHERS.

After Liverpool won the FIFA club World Cup in 2019, Liverpool wanted to add the FIFA World Champions badge to their Jerseys and wear them for both local league and Champions League but the FA, UEFA, and FIFA rejected Liverpool's demand.

Manchester City have been authorized to wear the gold 2023 FIFA World Champions badge in all Premier Leagues and Champions League matches across the remainder of the 2023/24 season.

Manchester City have broken over 115 FFP rules and are yet to be punished for over 10 years now. Everton were recently deducted 10 points for breaking a FFP rule while Manchester City are not bothered.

Manchester City always have referee decisions going in their favor....

Do you now understand why Manchester United are craving for Arab owners? It's not because the Glazers are not spending in the transfer market. They want big spenders and big influencers.

These Arab guys control the referees, FA, PGMOL, FIFA, and UEFA.

Hii ni kweli nilipo bold hiyo paragraph? ☝️
MosDef
Captain Marvelous
The MoNA ?

No, its not true.

LFC tulizuiwa kuvaa hizo badges, kwasababu za msingi walizokuwa nazo FA/Premier league.

Hizo 115 charges bado zipo in play, kuanzia next year na kuendelea zitaanza baadhi ya hearings kuhusu hizo charges.

Chelsea na wenyewe pia wapo kwenye kaa la moto.
 
Halafu nilikuwa uwanjani leo, at Anfield, watching your favorite team, unayoingalia kila siku kwenye TV.

Ni kawaida, but because bado si-earn a lot, huwa na-pick/kununua tickets za matches ambazo huwa natazamia zaidi kwenda kwa msimu wote (kabla ya msimu kuanza kabisa). na huwa nachukua za home zaidi, za away, mpaka itokee zali.

Game za Academy, ni "free-pass" tu, kama unafatilia my posts, utajua why.

Its not that much, but ni not less than 200k kwa kila game ninayoenda, as i like sana comfortable viewing, so you can imagine, na-hustle kiasi gani, just to see/watch my team kick the ball, every "selected" weekend.

Wewe, umeifanyia nini club yako? buying fake jerseys? au kupiga makelele JF? na kujiona ni good troll kwa strangers?

AU, unazifanyia nini local teams? Yanga, Simba, Azam etc?

Loser.
Ni kipi kimekuumiza zaidi leo mkuu kati ya draw na Arsenal au hiyo comment yangu hapo juu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ulikuwa uwanjani au laa, hio ni juu yako mkuu. Umelipia tickets msimu mzima, good for you. Unanunua original kits za timu kila msimu, nzuri pia.

Pamoja na yote hayo, hakuna linalokupa monopoly ya kutaka watu wakubaliane na wewe humu ndani, kwa hoja au bila hoja.

Halikufanyi uwe wewe ndo shabiki namba moja wa Liverpool, au wewe ndo una uchungu sana na timu. Watu huku Nanjilinji wana mapenzi ya hizi timu maybe zaidi ya hao waliopo Uingereza hapa.

I know mmoja ya washkaji zangu, enzi tunakua ilikuwa timu yake anayoshabikia Uingereza hapo, ikifungwa hata katika "PLAYSTATION" anaumia. Miaka ya hivi karibun, ni mara kadhaa tunampeleka hospital wakati game zinaendelea au baada ya kuisha.

So, acha kutisha watu mkuu. As long as hili jukwaa open, watu wataandika yoyote wanayojisikia, yawe yana make sense au laa.
 
Hawa siyo mashabiki wa LFC.
@Saint Anne karibu kule Arsenal ya asali na maziwa. Humu wakuu wamekuvua "UANACHAMA" . Kwanza una jersey original ya timu? Umeshawahi cheki game yeyote pale ANFIELD?

Kule Gunnerz we hata usipokuwa na jersey, frehi tu tunakukaribisha. Karibu sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni kipi kimekuumiza zaidi leo mkuu kati ya draw na Arsenal au hiyo comment yangu hapo juu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ulikuwa uwanjani au laa, hio ni juu yako mkuu. Umelipia tickets msimu mzima, good for you. Unanunua original kits za timu kila msimu, nzuri pia.

Pamoja na yote hayo, hakuna linalokupa monopoly ya kutaka watu wakubaliane na wewe humu ndani, kwa hoja au bila hoja.

Halikufanyi uwe wewe ndo shabiki namba moja wa Liverpool, au wewe ndo una uchungu sana na timu. Watu huku Nanjilinji wana mapenzi ya hizi timu maybe zaidi ya hao waliopo Uingereza hapa.

I know mmoja ya washkaji zangu, enzi tunakua ilikuwa timu yake anayoshabikia Uingereza hapo, ikifungwa hata katika "PLAYSTATION" anaumia. Miaka ya hivi karibun, ni mara kadhaa tunampeleka hospital wakati game zinaendelea au baada ya kuisha.

So, acha kutisha watu mkuu. As long as hili jukwaa open, watu wataandika yoyote wanayojisikia, yawe yana make sense au laa.

So wapi ambapo nimetaka kila mtu akubaliane na hoja zangu?

I just try to back my opinions and my views on players ambao i feel like nahitaji kuwa-support/kosoa, so kama mtu hawezi ku-back his views against mines, thats on him.

And, nimekutisha wapi? na kitu gani ambacho unaona nimekutisha nacho? kueleza kuhusu my daily routines/maisha yangu just like any other human-being?

And, yes napenda kuonekana kama ni number 1 LFC fan, nadhani kila shabiki wa kweli wa mpira anapenda kuwa hivyo towards his club, na nina UCHUNGU kweli na LFC.

Suala la kuwa na hiyo "monopoly" gesture, ni fine kwangu, depends na how unai-view wewe binafsi.

Your friend got nothing to do with me.

And, you're still a loser.
 
@Saint Anne karibu kule Arsenal ya asali na maziwa. Humu wakuu wamekuvua "UANACHAMA" . Kwanza una jersey original ya timu? Umeshawahi cheki game yeyote pale ANFIELD?

Kule Gunnerz we hata usipokuwa na jersey, frehi tu tunakukaribisha. Karibu sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sasa kama unanunua jezi feki za Arsenal, si bora ununue Jezi orginal za Yanga, Simba, Azam etc?

Jezi feki za club yako unamnufaisha nani? au unampa faida nani?

Afu unaona jersey ni big deal? kuliko kununua Jersey feki, na kunufaisha wapigaji, why cant you support local teams kwa kununua merch zao tena kwa bei affordable?


Ndiyo maana nikakuita loser.
 
Sasa kama unanunua jezi feki za Arsenal, si bora ununue Jezi orginal za Yanga, Simba, Azam etc?

Jezi feki za club yako unamnufaisha nani? au unampa faida nani?

Afu unaona jersey ni big deal? kuliko kununua Jersey feki, na kunufaisha wapigaji, why cant you support local teams kwa kununua merch zao tena kwa bei affordable?

Ndiyo maana nikakuita loser.
Sawa Champ.
 
Liverpool are actually one step early kwenye their new adjustment/rebuilding plan.

Last 2 years, tumeshuhudia 6 starters ambao walitupa mafanikio makubwa sana, kuanzia 2015, wakiondoka kwenye club (Gini, Mane, Firmino, Fabinho, Henderson, Milner), then valuable squad players ambao wali-play big part pia kwenye mafanikio ya Club, pia wakiondoka (Origi, Ox, Shaqiri, Minamino etc), so kuondoka kwa stars hawa, kukawa ndiyo mwisho wa era ya kwanza ya Klopp at the club, we had to REBUILD, na kwa mantiki hiyo, club ikajikuta na new MF na new Attacking line, ile MF ya zamani yote haipo (Fabinho, Gini, Hendo, Milner, Ox, Gini), so kwa upande wa MF, tumeanza na Macca, Dom, Endo & Gravenberch, ambao wamekuja ku-replace hiyo bach ya kwanza, na kupandisha kina Jones, Elliott & Bajcetic kama squad regulars, so ukiachana na Endo (new recruit), our senior/old MF ni Thiago.

Then kwenye upande wa attacking, Nunez, Diaz, Gakpo walikuja ku-replace output za Mane, Firmino & Origi.

So, its almost like we have a new Midfield & a new attack.

Team bado inatafuta its feet, bado new faces zinaendelea ku-settle, bado ni process.

TATIZO, linakuja kwamba, rebuidling phase ime-take a new shape, kwasababu team as a whole, ina-punch above its weight, msimu huu ndiyo haswa ulikuwa unatakiwa kuwa transition season, msimu wa kuruhusu new MF ku-blend in, new attackers ku-blend in zaidi, but tumejikuta in the middle of Title challenge, ndiyo maana expectations za wengi zimebadilika, but bado hii team haijakaa sawa, na bado hata hawa wachezaji wapya (especially kwenye MF), bado hata hawaja-peak.

Macca is 24
Dom is 22
Gravenberch is 21
Bajcetic is 19
Jones is 22
Elliott is 20

Thiago is 32
Endo is 31.

You can see how young our MF is, na bado hata rebuild ya MF haijakamilika, because hatupata a commanding 6 tunayemuhitaji, we tried kwa Caicedo and failed, so kuwa hapa tulipo, na upya wa MF pamoja na age profile, ni big BONUS, ukiachana na Thiago and Endo, hakuna MF yeyote ambaye ame-peak tayari.

Naweza nikasema ni same kwenye upande wa attack, Nunez & Gakpo are still raw, na ukiwa raw, suala la kutokuwa na muendelezo mzuri wa games ni kawaida, it happened kwa Mane mara nyingi.

LFC 1.0, na yenyewe ilikuwa na tatizo la kutokuwa na muendelezo mzuri wa games, tulianza kuwa na muendelezao mzuri wa games, baada ya our important players ku-mature na kuingia kwenye their peak, you see, both Mane, Salah, Firmino, Fabinho, Gini, Robertson, Trent, Gomez, Alisson etc PEAKED at LFC, na kwa maana hiyo tulifanikiwa kutengeneza a strong spine (Alisson-VVD-Fabinho-Firmino), ni process ambayo ilichukua muda mrefu sana ku-mature na kuwa in formidable shape kwa kiasi kikubwa sana.

NOW, bado hatuna spine (Alisson-VVD-Macca-Nunez), siyo strong spine, na ina-lack vitu vingi sana, lakini pamoja na hayo, bado tunafanya vizuri, our defensive record ni good, but bado tuna-struggle sana kwenye upande wa attack, which kwangu naona ni normal, kulingana na tunavyo-set up our team, na pia down to coaching, na mwisho ni aina ya profiles tulizonazo upfront, kabla ya kuzi-belittle, ni kusubiria kuona kama zita-work, ikishindikana, we move one.

Macca, Dom, Gravenberch, Endo, wana miezi kadhaa tu at LFC, na sisi kuwa na 39 points kwenye PL, round of 16 kwenye EL, na nusu fainali kwenye League Cup, wana mchango wao mkubwa sana, run ya Gravenberch ja Endo kwenye EL na League Cup ni nzur tu, BUT tuwape muda, tunajisahau kuwa wanahitaji muda kwasababu wana-punch above their projections, maana team inafanya vizuri.

Losing against Utd, ni very uncceptable, kulingana na hali yao now, but good teams kama Arsenal, Man City, Spurs, Villa, Newcastle etc, lazima zitatupa ugumu kidogo, kutokana na gaps/holes ambazo bado tunazo kwenye our team, kuna certain profiles bado hatuna, na tunaendelea kuzitafuta, its just is, hata club yenyewe (Klopp and Co) hawakutegemea kama hii project mpya ita-take off this fast.

Personally (MY VIEW, nisije onekana kama nataka kila mtu akubaliane na mimi au kuwa "monopoly"), naamini katika kuzipa hizi new faces TIME, ni vijana ambao bado hata hawaja-peak, so naelewa wanatafanya a lot of mistake along the way, hawatukuwa na consistency etc, so nitawapa muda, na nitaipa muda wa kutosha hii second phase, but hii haimaanishi kuwa nitakuwa nalidhika na maamuzi mabaya ya kimbinu ya Klopp, au ku-draw/kupoteza games na teams ambazo tuna uwezo wa kuzifunga (Luton/Utd etc).

AGAIN, Its LFC, so unaruhusiwa kuwa na expectations, and i believe tunaweza/kuwa na chance ya kushinda this league kama tukinunua a perfect DM in january & LCB.

Lakini, minimum, na-expect us kushinda EL and the league cup, na hata kama tuki-fail short kwenye league, a top 4 finish will be nice, but the way the league is shaping up, i believe tunaweza ku-challenge mpaka mwisho kama tukifanya right moves in January (i guess, hii inaonesha ni kiasi gani project ilivyokuwa mbele ya muda).
 
Nakuwa worried na Konate nowadays. Kwa sababu anakosa utulivu wa akili katika kukaba hasa akiwa half ya opponents. Ilikuwa pengo kumkosa Matip mechi ya utd kwa kuwa ana uwezo wa ku dribble hivyo huwa anavunja some lines na kuuvusha mpira kwa dribble na passes.

But i feel kuna mtu atapasuka vibaya

Home advantage limits my fear.

Konate, ni WORLD CLASS DEFENDER.

Sema, tatizo lake ni injuries zake za mara kwa mara, huwa zinaharibu sana rhythm yake.

But, a fit and rocking Konate, ni very good asset kuwa nayo kwenye team.

Tunahitaji another LCB lakini.
 
Last 3-4 games Gomez Wowoh has been brilliant, what a performance as RB and LB. Na inampa Klopp option ya 11st eleven and sub too. Wish him injury free same to Elliot maana kuna wachezaji kama gundu, wakianza kuwa form injury hii hapa, inawatoa mchezoni hadi wajitafute. See Matip gave us Classic performance but [emoji17].

Sure Robbo kazi anayo. Tsimi namkubali uwezo wake offensively na quality crosses bad lack 1v1 humsumbua be he usually tries.

We need all them back aisee
Robbo
Macca
Jota
Thiago
Bajcetic

Maana Feb-early April kombe lipo hapo.

We need Robbo, Jota, Macca & Thiago back, tena haraka sana.

Thiago for 10-12 PL games atasaidia sana.
 
Nimeona Articla jamaa amesema Madrid na Barcelona ni timu kubwa ila ameichagua Barca, kama ni kuchezea ulaya, nikaona yale yale ya Latin America players kina Coutinho

Jorge Mendes amekuwa involved now, he was trying to shop him kwa Man City/Pep, sijui itakuwaje.

But, nadhani wameiweka Fulham kama last resort, Mendes anajaribu kumuuza kwa "mafaza" kwanza.
 
Klopp hana cha kujiuliza mara mbili, kwa LW Nunez ST Gakpo na RW Salah

Nunez kweli anakosa lkn kwenye kuyatafuta magoli kuanzia , runs, positioning, creating chances, assisting, walau he is better than current Diaz.

Diazi bado hajajipata alipoishia last season sijajua nini kinamsumbua, out current structure offensively? Sio Diaz tu Gakpo same wana struggle.

leo nilikuwa nategemea sana kuona front 3 ya Nunez (LW)-Gakpo-Salah (RW).

But Klopp, decided to go with Diaz, ambaye ana-struggle, anastruggle sana.
 
Klopp mswahili sana
Mikwara yote ile nikadhani timu itakuja na kasi ya ajabu!
Stori ni zilezile..draw ya pili mfululizo nyumbani!
Bila Salah tungelala na viatu.

Timu imekuwa mbovu sana aisee,,Aje kocha mwingine na ubunifu mwingine.
Tembo ameshuka au bdo yupo juu pale🤠🤠🤠...na Salah January anaondoka kwny Afcon na mnakuja Imarate pale kututembelea....mtajuta ndugu zetu....mnamaliza wa tatu kwny ligi....nyny sio wapinzani wetu msimu huu kabisa...kuanzia wiki ijayo tutaanza kutoa vpondo heavy mfululizo kama mechi 10 hivi
 
Tembo ameshuka au bdo yupo juu pale[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...na Salah January anaondoka kwny Afcon na mnakuja Imarate pale kututembelea....mtajuta ndugu zetu....mnamaliza wa tatu kwny ligi....nyny sio wapinzani wetu msimu huu kabisa...kuanzia wiki ijayo tutaanza kutoa vpondo heavy mfululizo kama mechi 10 hivi
Endelea kutamba wakati umeponea kwenye tundu wa sindano
Jana mnalialia kwenye uzi wenu namna Salah amewajambisha

Na tukija,mtu mbad Jota atakuwa ndani
Aisee,mtajuta mbona.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom