Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef my braza, umejaribu kujieleza sana, tukubaliane kutokubaliana kwamba liverpool ni homa za mara kwa mara. Inacheza vizuri leo kesho wanakuwa na game mbovu. Siwezi kuwalaumu kwa game ya jana. Jana Arsenal walikuwa bora kuliko sisi kila idara.
Mimi nachokiona, na kinachonifanya nilaumu ni aina ya uchezaji wa timu yetu. Back line yetu +goalkeeper ndio wachezaji wanaokuwa na touches nyingi kuliko midfilder wetu pale kati. Hii tafsiri yake ni kwamba tunakuwa na tahadhari sana na tunachukua mda mrefu kucheza kwenye half yetu badala ya kwenda kushambulia.
ANgalia Jinsi Brighton wanavyocheza , waone Arsenal, Villa na city. Ni tofauti kabisa na sisi. Wale jamaa wana cheza mpira wa kushambulia. Wakati sisi mashambulizi yetu mengi lazima mpira uanze kwa long ball. Zile one two kwa liverpool hazipo.
VIlla kwa sasa ni serious tittle contender kuliko sisi. Tukubaliane, kutokubaliana. Klopp naye anamapungufu. Wakati mwingine sio lazima kuanza na Salah, Mbona Elliott ni mzuri akicheza pembeni.? Ana ile akili ya kushambulia. Anauwezo sawa kabisa na Salah. Ila Klopp hamwamini. Ndio maana anampa dk chache ambazo anaonyesha mambo mazuri.

Nimalize kwa kusema, liverpoll inashindaga game zake hata kama wamecheza vibaya. Hii inawafanya waonekane wana bahati zaidi kuliko uwezo walionao.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
FB_IMG_1703390585917.jpg
 
@Saint Anne karibu kule Arsenal ya asali na maziwa. Humu wakuu wamekuvua "UANACHAMA" . Kwanza una jersey original ya timu? Umeshawahi cheki game yeyote pale ANFIELD?

Kule Gunnerz we hata usipokuwa na jersey, frehi tu tunakukaribisha. Karibu sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tupo tunacheckia mechi milimani huku Mwakaleli Tukuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbwembwe nyingine siyo shida zetu.

Arse8 kombe hampati,mnaenda kupoteana .Hamna timu ya kuchukua ubingwa.

Liver imejaa majeruhi na bado mmeshindwa kuchukua points 3,sasa subiri timu irejee katika ubora.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tembo ameshuka au bdo yupo juu pale🤠🤠🤠...na Salah January anaondoka kwny Afcon na mnakuja Imarate pale kututembelea....mtajuta ndugu zetu....mnamaliza wa tatu kwny ligi....nyny sio wapinzani wetu msimu huu kabisa...kuanzia wiki ijayo tutaanza kutoa vpondo heavy mfululizo kama mechi 10 hivi
Afcon kwani Saliba haendi?bila Saliba mna beki ?
 
MosDef my braza, umejaribu kujieleza sana, tukubaliane kutokubaliana kwamba liverpool ni homa za mara kwa mara. Inacheza vizuri leo kesho wanakuwa na game mbovu. Siwezi kuwalaumu kwa game ya jana. Jana Arsenal walikuwa bora kuliko sisi kila idara.
Mimi nachokiona, na kinachonifanya nilaumu ni aina ya uchezaji wa timu yetu. Back line yetu +goalkeeper ndio wachezaji wanaokuwa na touches nyingi kuliko midfilder wetu pale kati. Hii tafsiri yake ni kwamba tunakuwa na tahadhari sana na tunachukua mda mrefu kucheza kwenye half yetu badala ya kwenda kushambulia.
ANgalia Jinsi Brighton wanavyocheza , waone Arsenal, Villa na city. Ni tofauti kabisa na sisi. Wale jamaa wana cheza mpira wa kushambulia. Wakati sisi mashambulizi yetu mengi lazima mpira uanze kwa long ball. Zile one two kwa liverpool hazipo.
VIlla kwa sasa ni serious tittle contender kuliko sisi. Tukubaliane, kutokubaliana. Klopp naye anamapungufu. Wakati mwingine sio lazima kuanza na Salah, Mbona Elliott ni mzuri akicheza pembeni.? Ana ile akili ya kushambulia. Anauwezo sawa kabisa na Salah. Ila Klopp hamwamini. Ndio maana anampa dk chache ambazo anaonyesha mambo mazuri.

Nimalize kwa kusema, liverpoll inashindaga game zake hata kama wamecheza vibaya. Hii inawafanya waonekane wana bahati zaidi kuliko uwezo walionao.
But we lost more clear chances jana kuliko wao

Utulivu sio mzuri

Kuhusu defense, statistically we have the best defense (together with Asses)

Sijui kwanini tunajikatia tamaa
 
GOMEZ, JONES
Hawatakiwi kuvaa jezi la LFC.
Crap for Gomez amekua hana position ya utulivu na msimu huu yupo CBR, RB, LB na kote kwa uwezo wake amepambana awezavyo.
Tsimikas ni jehara la muda mrefu hivyo tunae Gomez pale mpaka arejee Robbo huko January au February.

Jones ni one game wonder next game flop.. Inconsistent at highest level ku maintain his out put.

YNWA
 
But we lost more clear chances jana kuliko wao

Utulivu sio mzuri

Kuhusu defense, statistically we have the best defense (together with Asses)

Sijui kwanini tunajikatia tamaa
Hata mimi nimeshangaa, ni kweli hatukuanza vizuri kama dakika 20 hivi lakini baada ya hapo kuna muda tulikuwa tuko sawa ikaja muda tukawa zaidi yao, kipindi cha pili dakika 30 tuliwapiga pressure dakika 15 za mwisho game ikawa open pande mbili, game ilikuwa super kwa team zote. Sasa turudi kwenye mapungufu yetu, tunahitaji Midfield hatuna watu wakaa pale tukasema kuna watu, wachezaji waliopo sio wa baya ila wanaweza kuwa squard member lakini mechi kubwa unahitaji vifaa. Waliopo hakuna mtu kupiga pass za uchokozi kama pass aliyopiga Arnold kwa Mo ya goal ila ruler. Ukiangalia team nzima inategemea pass za Arnold sio viungo.
 
Luis anazunguka zunguka tu uwanjani [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sema sikuizi hamna ule mpira wa kasi kama kipindi cha nyuma. Wachezaji sikuizi ni wala Chipsi na wapiga punyeto tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo tangu apone lile jeraha la goti na atekwe babake Colombia kuna kama kukata stimu pale sielewi ishu ni zile au nini aisee ana goli 1 katika mechi 15 EPL hii sio sawa kabisa.....

YNWA
 
We were playing against Arsenal.

Without our starting DM.

Without, a ST mwenye good scoring record against Arsenal, Jota.

We are not in good form right now, especially, kwenye upande wa attack.

Arsenal, wana Rice, sisi hatukuwa na our starting DM/possessional presence, hence main job ilikuwa ni ku-minimize his presence/impact, and by doing so, take the whole Arsenal MF out of the game, na tulifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, they had us for 20 minutes, but tulifanikiwa ku-match their physic manipulation eventually.

Macca, is our DM and a sharp controller, tulimtumia Jones, but problem, Endo (who was my MOTM), alikuwa very good defensively, but he's not a good progressor/recycler, ili kumfunga Arsenal, tulitakiwa tuwe na CONTROL kwenye MF, see, having control is not the same as taking Arsenal MF out of the game, by killing Rice presence, ilikuwa ni kufunga channels/spaces ambazo Rice & Co wangetumia kutuumiza, but if we had a controller ingekuwa rahisi zaidi kwenye kutengeneza build-ups.

So, draw ni fair result.

Nilisema juzi au jana, with Macca out, we just need to play for a draw.

Arsenal are a good side, siyo Man Utd.

Ni right kuwa mad kwa kushindwa kuifunga Utd at home (because they are struggling a lot), but, kwa hii Arsenal ya sasa, draw is a fair result, ukizingatia majeruhi tuliyonayo.
Hivi hawa wagonjwa Wanarudi lini?
Yaani hii timu wakiumia watu wachache tu tumekwisha
 
Kwanini nowadays tunapocheza na top six teams ...hatuko fearless kama zamani?...tunakuwa a bit nervous hivi?

Nakumbuka first rebuild tulipomfunga Man city 4-1. ...city alichukua ubingwa but alipoteza mechi hiyo moja tu na Liverpool....timu ilikuwa ina Tisha Tisha Sana tukicheza na top six teams kuliko sasa...what happened?
 
Liverpool are actually one step early kwenye their new adjustment/rebuilding plan.

Last 2 years, tumeshuhudia 6 starters ambao walitupa mafanikio makubwa sana, kuanzia 2015, wakiondoka kwenye club (Gini, Mane, Firmino, Fabinho, Henderson, Milner), then valuable squad players ambao wali-play big part pia kwenye mafanikio ya Club, pia wakiondoka (Origi, Ox, Shaqiri, Minamino etc), so kuondoka kwa stars hawa, kukawa ndiyo mwisho wa era ya kwanza ya Klopp at the club, we had to REBUILD, na kwa mantiki hiyo, club ikajikuta na new MF na new Attacking line, ile MF ya zamani yote haipo (Fabinho, Gini, Hendo, Milner, Ox, Gini), so kwa upande wa MF, tumeanza na Macca, Dom, Endo & Gravenberch, ambao wamekuja ku-replace hiyo bach ya kwanza, na kupandisha kina Jones, Elliott & Bajcetic kama squad regulars, so ukiachana na Endo (new recruit), our senior/old MF ni Thiago.

Then kwenye upande wa attacking, Nunez, Diaz, Gakpo walikuja ku-replace output za Mane, Firmino & Origi.

So, its almost like we have a new Midfield & a new attack.

Team bado inatafuta its feet, bado new faces zinaendelea ku-settle, bado ni process.

TATIZO, linakuja kwamba, rebuidling phase ime-take a new shape, kwasababu team as a whole, ina-punch above its weight, msimu huu ndiyo haswa ulikuwa unatakiwa kuwa transition season, msimu wa kuruhusu new MF ku-blend in, new attackers ku-blend in zaidi, but tumejikuta in the middle of Title challenge, ndiyo maana expectations za wengi zimebadilika, but bado hii team haijakaa sawa, na bado hata hawa wachezaji wapya (especially kwenye MF), bado hata hawaja-peak.

Macca is 24
Dom is 22
Gravenberch is 21
Bajcetic is 19
Jones is 22
Elliott is 20

Thiago is 32
Endo is 31.

You can see how young our MF is, na bado hata rebuild ya MF haijakamilika, because hatupata a commanding 6 tunayemuhitaji, we tried kwa Caicedo and failed, so kuwa hapa tulipo, na upya wa MF pamoja na age profile, ni big BONUS, ukiachana na Thiago and Endo, hakuna MF yeyote ambaye ame-peak tayari.

Naweza nikasema ni same kwenye upande wa attack, Nunez & Gakpo are still raw, na ukiwa raw, suala la kutokuwa na muendelezo mzuri wa games ni kawaida, it happened kwa Mane mara nyingi.

LFC 1.0, na yenyewe ilikuwa na tatizo la kutokuwa na muendelezo mzuri wa games, tulianza kuwa na muendelezao mzuri wa games, baada ya our important players ku-mature na kuingia kwenye their peak, you see, both Mane, Salah, Firmino, Fabinho, Gini, Robertson, Trent, Gomez, Alisson etc PEAKED at LFC, na kwa maana hiyo tulifanikiwa kutengeneza a strong spine (Alisson-VVD-Fabinho-Firmino), ni process ambayo ilichukua muda mrefu sana ku-mature na kuwa in formidable shape kwa kiasi kikubwa sana.

NOW, bado hatuna spine (Alisson-VVD-Macca-Nunez), siyo strong spine, na ina-lack vitu vingi sana, lakini pamoja na hayo, bado tunafanya vizuri, our defensive record ni good, but bado tuna-struggle sana kwenye upande wa attack, which kwangu naona ni normal, kulingana na tunavyo-set up our team, na pia down to coaching, na mwisho ni aina ya profiles tulizonazo upfront, kabla ya kuzi-belittle, ni kusubiria kuona kama zita-work, ikishindikana, we move one.

Macca, Dom, Gravenberch, Endo, wana miezi kadhaa tu at LFC, na sisi kuwa na 39 points kwenye PL, round of 16 kwenye EL, na nusu fainali kwenye League Cup, wana mchango wao mkubwa sana, run ya Gravenberch ja Endo kwenye EL na League Cup ni nzur tu, BUT tuwape muda, tunajisahau kuwa wanahitaji muda kwasababu wana-punch above their projections, maana team inafanya vizuri.

Losing against Utd, ni very uncceptable, kulingana na hali yao now, but good teams kama Arsenal, Man City, Spurs, Villa, Newcastle etc, lazima zitatupa ugumu kidogo, kutokana na gaps/holes ambazo bado tunazo kwenye our team, kuna certain profiles bado hatuna, na tunaendelea kuzitafuta, its just is, hata club yenyewe (Klopp and Co) hawakutegemea kama hii project mpya ita-take off this fast.

Personally (MY VIEW, nisije onekana kama nataka kila mtu akubaliane na mimi au kuwa "monopoly"), naamini katika kuzipa hizi new faces TIME, ni vijana ambao bado hata hawaja-peak, so naelewa wanatafanya a lot of mistake along the way, hawatukuwa na consistency etc, so nitawapa muda, na nitaipa muda wa kutosha hii second phase, but hii haimaanishi kuwa nitakuwa nalidhika na maamuzi mabaya ya kimbinu ya Klopp, au ku-draw/kupoteza games na teams ambazo tuna uwezo wa kuzifunga (Luton/Utd etc).

AGAIN, Its LFC, so unaruhusiwa kuwa na expectations, and i believe tunaweza/kuwa na chance ya kushinda this league kama tukinunua a perfect DM in january & LCB.

Lakini, minimum, na-expect us kushinda EL and the league cup, na hata kama tuki-fail short kwenye league, a top 4 finish will be nice, but the way the league is shaping up, i believe tunaweza ku-challenge mpaka mwisho kama tukifanya right moves in January (i guess, hii inaonesha ni kiasi gani project ilivyokuwa mbele ya muda).
Kama umeanza ku accept Arsenal wachukue title...?
 
MosDef my braza, umejaribu kujieleza sana, tukubaliane kutokubaliana kwamba liverpool ni homa za mara kwa mara. Inacheza vizuri leo kesho wanakuwa na game mbovu. Siwezi kuwalaumu kwa game ya jana. Jana Arsenal walikuwa bora kuliko sisi kila idara.
Mimi nachokiona, na kinachonifanya nilaumu ni aina ya uchezaji wa timu yetu. Back line yetu +goalkeeper ndio wachezaji wanaokuwa na touches nyingi kuliko midfilder wetu pale kati. Hii tafsiri yake ni kwamba tunakuwa na tahadhari sana na tunachukua mda mrefu kucheza kwenye half yetu badala ya kwenda kushambulia.
ANgalia Jinsi Brighton wanavyocheza , waone Arsenal, Villa na city. Ni tofauti kabisa na sisi. Wale jamaa wana cheza mpira wa kushambulia. Wakati sisi mashambulizi yetu mengi lazima mpira uanze kwa long ball. Zile one two kwa liverpool hazipo.
VIlla kwa sasa ni serious tittle contender kuliko sisi. Tukubaliane, kutokubaliana. Klopp naye anamapungufu. Wakati mwingine sio lazima kuanza na Salah, Mbona Elliott ni mzuri akicheza pembeni.? Ana ile akili ya kushambulia. Anauwezo sawa kabisa na Salah. Ila Klopp hamwamini. Ndio maana anampa dk chache ambazo anaonyesha mambo mazuri.

Nimalize kwa kusema, liverpoll inashindaga game zake hata kama wamecheza vibaya. Hii inawafanya waonekane wana bahati zaidi kuliko uwezo walionao.
Kwingine kote umeandika vizuri sana Mkuu,ila hapo kwa Salah umetupiga.

Yaani timu yetu ilivyo,Salah aanzie benchi?
Wangekuwepo akina Firmino,Mane, na Jota,,angalau unaweza sema aanze benchi ili watoto akina Elliot wajichanganye na wakongwe.

Salah pekeyake ni mkongwe aliyebaki, na ana consistency halafu tumuanzishe tena benchi!

Hata lile goli moja la Draw tungelisikia na hatimaye aseno wangevunja rekodi ya kutufunga waliyostruggle karibia miaka 20.
 
Tembo ameshuka au bdo yupo juu pale🤠🤠🤠...na Salah January anaondoka kwny Afcon na mnakuja Imarate pale kututembelea....mtajuta ndugu zetu....mnamaliza wa tatu kwny ligi....nyny sio wapinzani wetu msimu huu kabisa...kuanzia wiki ijayo tutaanza kutoa vpondo heavy mfululizo kama mechi 10 hivi
Linear thinking in football is always funny

Last season asses were super confident and ended up with nothing,

But they never learn
 
Hata mimi nimeshangaa, ni kweli hatukuanza vizuri kama dakika 20 hivi lakini baada ya hapo kuna muda tulikuwa tuko sawa ikaja muda tukawa zaidi yao, kipindi cha pili dakika 30 tuliwapiga pressure dakika 15 za mwisho game ikawa open pande mbili, game ilikuwa super kwa team zote. Sasa turudi kwenye mapungufu yetu, tunahitaji Midfield hatuna watu wakaa pale tukasema kuna watu, wachezaji waliopo sio wa baya ila wanaweza kuwa squard member lakini mechi kubwa unahitaji vifaa. Waliopo hakuna mtu kupiga pass za uchokozi kama pass aliyopiga Arnold kwa Mo ya goal ila ruler. Ukiangalia team nzima inategemea pass za Arnold sio viungo.
We missed severa clear chances jana and they were very exposed kwenye fast brrak

Asses are lucky
 
Kwani malalamiko ya nini, mbona mie naona liver ndio mmeupiga mwingi nasi ndio tulikuwa tunaombea mpira uishe, mlichokosa nyinyi ni matokeo tu, umaliziaji haukuwa sawa, game ilibidi iishe hata 3 kwa moja ile.
 
Hii ndiyo Action map ya Dom leo against Arsenal.

Tujadili, kuhusu hizo defensive actions, (tackles, recoveries, interceptions etc), alikuwa anazifanyia wapi? upande upi? eneo lipi? na kwasababu gani? kulingana na hiyo map ambayo ina-highlight his game actions.

TUJADILI, kwa aina ya mchezaji kama Dom, unadhani anastahili kuwepo/kucheza katika hilo eneo? if YES, unacholalamika kuhusu form yake ni kipi? how can he produce unachotaka kama anacheza hiyo role? na if NO, nani wa kulaumiwa? Dom kushuka form au kocha anayempa hiyo role?

TUIJADILI HII ACTION MAP.

View attachment 2851221
Defensive action amefanya vizuri, ila katika kujenga mashambulizi anapoteza poteza mipira since game ya United, ile ndio ilokua worse game yake zaidi, labda tusubiri Macca apone tuone position yake itakavyokua
 
So, Diaz amekuwa useless overnight?

Ukiniuliza, why nataka kumuuza Diaz, nitakwambia why?

Wewe, una sababu gani ya kumkataa Diaz?

Tujadili.
Diaz anacheza position yake ile ile ya asili( swala la kubadilishiwa position hapa sio excuse)

Hawezi ku drible past defenders

Hafungi

Hatoi assist

Ni mzuri kidogo kwenye kukabia juu

Passing accuracy yake ipo chini

Maana yake huyu mchezaji ni wa kiwango cha kawaida kuliko hata Nunez
 
Tupo tunacheckia mechi milimani huku Mwakaleli Tukuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbwembwe nyingine siyo shida zetu.

Arse8 kombe hampati,mnaenda kupoteana .Hamna timu ya kuchukua ubingwa.

Liver imejaa majeruhi na bado mmeshindwa kuchukua points 3,sasa subiri timu irejee katika ubora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu united yenyewe ilikuja worst of the worst tukashindwa hata kufunga goli

Hii timu tunaipa expectation ambayo haipo
 
Back
Top Bottom