Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh... Basi dunia haiko fair mi nikimuonaga Tu Nunez nahisi Dalili za kupoteza game
Nunez amekua bogus kwenye kufunga japo ni bora kuliko msimu uliopita kwa kua yupo more "involved" kwenye gemu kwa sasa amekua 1st line of defence pindi tunapoteza mpira, amekua mtoa pasi mbili za mwisho kufanga magoli na mabeki hawana utulivu akiwepo uwanjani na muda mwingi sasa anatumika kama winga wa kushoto badala ya CS.. Klopp na jopo lake wanaridhika na mishe zake, mashabiki Anfied wanaridhika na mishe zake huku kwa keyboard self made pundits kuna mixed views nk nk twendeni tu maana ndio tunae kipaji kipo sana kazi kwa Klopp na Marcelo kumpa propa tips kua clinical zaidi...
Uvumilifu unalipa ni suala la muda tu.
I believe in Nunez, in Klopp i trust.

YNWA
 
The night is still young sana.

City are not at any point out of the title race.

Kuna sehem, nimesema kuwa, our project ipo ahead na our projections, na kama tukifanya good decision in january, tunaweza kuwa firm challengers mpaka mwisho.

The reason why, na-limit my expectations, ni kwasababu siamini kama FSG watam-back Klopp hii january, we need a DM & LCB, ili ku-plug holes ambazo zinaonekana kwenye hii project.
Sio DM na LCB pia umesahau foward, kwa Nunez hatuna Foward pale
 
Usituangushe tena baba chukua Nunez, chukua Matip, pia chukua Thiago baba.
Screenshot_20231226-134445.jpg
 
Nunez amekua bogus kwenye kufunga japo ni bora kuliko msimu uliopita kwa kua yupo more "involved" kwenye gemu kwa sasa amekua 1st line of defence pindi tunapoteza mpira, amekua mtoa pasi mbili za mwisho kufanga magoli na mabeki hawana utulivu akiwepo uwanjani na muda mwingi sasa anatumika kama winga wa kushoto badala ya CS.. Klopp na jopo lake wanaridhika na mishe zake, mashabiki Anfied wanaridhika na mishe zake huku kwa keyboard self made pundits kuna mixed views nk nk twendeni tu maana ndio tunae kipaji kipo sana kazi kwa Klopp na Marcelo kumpa propa tips kua clinical zaidi...
Uvumilifu unalipa ni suala la muda tu.
I believe in Nunez, in Klopp i trust.

YNWA
Kama we umesema ngoja na Mimi nijitahidi japo kuna muda hua natamani kupiga TV teke [emoji28]
 
Back
Top Bottom