Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game ngumu sana hii
Game ni nyepesi sema Liverpool kama kawaida ina kitete pindi inapoongoza ligi

Refer mechi na united, ndio kama hii

Panic za ajabu ajabu na kukosa nafasi za wazi na penati

Hakuna timu ya ubingwa humu kwa hali hii hata masihi ashuke
 
Ntakuwa mtu wa mwisho kuamini, Nunes atakuja kuwa world class player,!

Aisee, Una Gapko Una Jota unaanzaje hawa watu kuwaweka Bench? Mbele ya Nunes?!
 
Tumekosa utulivu kabisa leo

And our trend now is WDWDWD….. I am worried
Hivi hii trend ya kila mchezaji kutaka kufunga hawa vijana wameitoa wapi.. Lazima kuwe na mipango kufungua njia lakin naona Jones, Domy, wao ni mashuti muda wowote aisee hapan utulivu kuweka mipango kwa uchezaji huu sare inatuita na leo...
Lazima Klopp awaambia kufunga ndio lakini mpaka pale ni sure shot...
Trent nae pasi kipofu leo ameanza tena mara 2 karibu atuchome bora VVD kaona hii hapana amemstua azidishe umakini...
Hii gemu wala haihitaji hii kasi ya 4g kwa kua hawa Newcastle wameshajikumbali...
Lazima tuwe watulivu sio hizi mbio za lu paniki kushoto kulia...
Salah na Nunez waongoze umakini kumalizia..

YNWA
 
Thank you!

Naona leadership haiko sawa uwanjani

Hawaangaliani positions

Na sloboszlai yuko off kabisa
 
Aisee.... Liverpool kwenye hili Dirisha Dogo kama kweli tunautaka Ubingwa tutafute striker mzuri, huyu Nunez siyo kabisa nafasi Kumi anapata Moja, hivi hivi hatuwez fika.
 
1704145026386.gif
 
Back
Top Bottom