Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Refa elite huyu namba 2 EPL baada ya Mike Oliver...Refa imemshinda mechi
Nadhani hali ya mvua anaacha mambo yajiedee tu uwanjani.
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa elite huyu namba 2 EPL baada ya Mike Oliver...Refa imemshinda mechi
Basi pita kuleHakuna timu yangu inayocheza hapo ila refa kazingua
Game ni nyepesi sema Liverpool kama kawaida ina kitete pindi inapoongoza ligiGame ngumu sana hii
Hivi hii trend ya kila mchezaji kutaka kufunga hawa vijana wameitoa wapi.. Lazima kuwe na mipango kufungua njia lakin naona Jones, Domy, wao ni mashuti muda wowote aisee hapan utulivu kuweka mipango kwa uchezaji huu sare inatuita na leo...Tumekosa utulivu kabisa leo
And our trend now is WDWDWD….. I am worried
Si wangeingizwa tu wacheze angalau dakika 20 tumalize mechiView attachment 2859632
View attachment 2859633
Nao wapo uwanjani usiku huu kutupa sapoti kuwavaa Magpies...
YNWA
Pole sana Mkuu😁Ila wewe una vituko?
Dah nimecheka nusura nipasuke kifua
Ndio huyo kawasha moto hukoNtakuwa mtu wa mwisho kuamini, Nunes atakuja kuwa world class player,!
Aisee, Una Gapko Una Jota unaanzaje hawa watu kuwaweka Bench? Mbele ya Nunes?!
Thank you!Hivi hii trend ya kila mchezaji kutaka kufunga hawa vijana wameitoa wapi.. Lazima kuwe na mipango kufungua njia lakin naona Jones, Domy, wao ni mashuti muda wowote aisee hapan utulivu kuweka mipango kwa uchezaji huu sare inatuita na leo...
Lazima Klopp awaambia kufunga ndio lakini mpaka pale ni sure shot...
Trent nae pasi kipofu leo ameanza tena mara 2 karibu atuchome bora VVD kaona hii hapana amemstua azidishe umakini...
Hii gemu wala haihitaji hii kasi ya 4g kwa kua hawa Newcastle wameshajikumbali...
Lazima tuwe watulivu sio hizi mbio za lu paniki kushoto kulia...
Salah na Nunez waongoze umakini kumalizia..
YNWA
At least Nunes anakimbizaMosdef anatupa false hope tuu kama Hamis kule Arsenal
Szoboslai
Nunez
Ni average players hawa
Toney?Aisee.... Liverpool kwenye hili Dirisha Dogo kama kweli tunautaka Ubingwa tutafute striker mzuri, huyu Nunez siyo kabisa nafasi Kumi anapata Moja, hivi hivi hatuwez fika.