Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baba Miujiza kakata stimu sasa hana tena nguvu ya kuendelea na hii kazi kwa msimu mwingine mmoja...
Ukitazama tangu asepe Edwards kwenye management kuna kitu hakijakaa sawa... Kama kweli Klopp haumwi popote basi kuna ishu kubwa sana inaedelea kwenye management ambayo imetucost haya mambo, sitaki kuamini Edwards na mridhi wake hata simkumbuki wote waliodoka katika mazingira kama haya ya Klopp yaani out of nowhere taarifa hii hapa.

YNWA

Edward alisababishwa na jeuri ya Klopp, Ward huyu ndio hata sikuelewa hasa sababu ni nini, rumour ni zile zile hasikilizwi katika maoni na selections zake kutoka kwa bwana JK.
Sasa hii ya Klopp ndio inaleta hasa gumzo, labda awe mgonjwa nje ya hapo kuna fukuto zito sana humo ndani kwa ndani ya management. Kama kucho Don Carlo ndio alipaswa kumtangulia Klopp au babu Hodgson.

Anyway time is the best judge of truth .
 
Amepata timu nyingine huyu
Anatuzuga tu

alonso.png
 
Any way leo tumeshinda naona watu hamna hata hamu ya kujua match ilikuwaje sababu ya mawazo NYWA WE WILL NEVER WALK ALONE BOYS.

Klopp mwenyewe hana raha anajaribu kusmile lakn it isnt from inside,.

Kops wamejitahidi weeee kuamsha amsha lkn kuna muda panapoa, una feel kabisa watu wakutwa na huzuni kubwa,.

Its like we are on a grave yard waiting to burry our beloved one.

kabisa afu unaju nini hii kitu ipo mpaka mtaani kila shabiki unayemgusia wa kawaida wa liver ukimgusia tuu hilo swala anachange kabisa.
 
Back
Top Bottom