The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Baba Miujiza kakata stimu sasa hana tena nguvu ya kuendelea na hii kazi kwa msimu mwingine mmoja...
Ukitazama tangu asepe Edwards kwenye management kuna kitu hakijakaa sawa... Kama kweli Klopp haumwi popote basi kuna ishu kubwa sana inaedelea kwenye management ambayo imetucost haya mambo, sitaki kuamini Edwards na mridhi wake hata simkumbuki wote waliodoka katika mazingira kama haya ya Klopp yaani out of nowhere taarifa hii hapa.
YNWA
Edward alisababishwa na jeuri ya Klopp, Ward huyu ndio hata sikuelewa hasa sababu ni nini, rumour ni zile zile hasikilizwi katika maoni na selections zake kutoka kwa bwana JK.
Sasa hii ya Klopp ndio inaleta hasa gumzo, labda awe mgonjwa nje ya hapo kuna fukuto zito sana humo ndani kwa ndani ya management. Kama kucho Don Carlo ndio alipaswa kumtangulia Klopp au babu Hodgson.
Anyway time is the best judge of truth .