Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🤣 🤣 Hallaad leo kakosa sitter hivi hivi.. Ingekua ni kijana wangu Nunez hapa miss Liverpool angekua kashatupia mistari ya kutosha...

YNWA
Ningekuwa mama Cita ningemkaanga huyo jini HalandšŸ˜†

Jana yenyewe Nunez kapindisha mguu kama kawaida yake.
Huyu mtoto wamemuwangia kwao asifunge.
 
Aseno bhanašŸ˜‚
Kweli shibe Mwana malevya.
Ona wanavyodanganyana,, eti Liver hata kuwapiga FA walibahatisha.

Hawa ndio wachambuzi wa kina HENRY14
Nakucheki tu jinsi unavyokosa usingizi. Saa saba usiku bado unatucheki.
Nasikia Klopp ameamua kustaafu baada ya kuona Arteta ameshamjulia. Akaona akiendelea hivi, mechi zitazofuata tukikutana hata sare hataona. Akaona achomoke fasta akiwa juu kabla hajashushw na kijana machachari Arteta
 
Jana hata kama Salah angekuwepo kichapo kilikua pale pale... Liverpool hua tunacheza kama unit ndio ushindi unapatikana na jana ilikua siku mbaya sana kazini vijana hawakuamka na mpinzani alijipanga vyema sana... Arteta amefanya homework yake vizuri sana jana akazimba kila njia kimsingi ametuchezea mpira wetu....

Salah ni mzuri lakini hata yeye jana angepata kibarua kizito sana ile defence...

YNWA
Kwa ule upumbavu wa Allison hata angekuwepo Salah angeongeza goli 1 tungekuwa hata na 2
 
Nakucheki tu jinsi unavyokosa usingizi. Saa saba usiku bado unatucheki.
Nasikia Klopp ameamua kustaafu baada ya kuona Arteta ameshamjulia. Akaona akiendelea hivi, mechi zitazofuata tukikutana hata sare hataona. Akaona achomoke fasta akiwa juu kabla hajashushw na kijana machachari Arteta
Alitangaza kustaafu kitambo kabla hata ya hako kamechi mlikofutia machozi.

Na bado Mabingwa tunaingoza ligi .
Msimu huu mafanikio yenu ni kumfunga liver.
 
Aseno bhanašŸ˜‚
Kweli shibe Mwana malevya.
Ona wanavyodanganyana,, eti Liver hata kuwapiga FA walibahatisha.

Hawa ndio wachambuzi wa kina HENRY14

Mbona munajadili sana habari za Arsenal? Why? This is not our tradition as a Kops since the commencement of this thread.

Let's stop here please. If you wanna play banter just go to their thread and get cooked there.

This thread is only for Liverpool.

CC: The MoNA
 
Aseno bhana[emoji23]
Kweli shibe Mwana malevya.
Ona wanavyodanganyana,, eti Liver hata kuwapiga FA walibahatisha.

Hawa ndio wachambuzi wa kina HENRY14

Kwa sababu gani useme FA waliwabahatisha? Na vipi tukisema wametubahatisha? Maana magoli yote juzi ukiondoa la kwanza ni zawadi kwa Beckor na Vvd???

Anyway ndio mpira ukiwa kwenye furaha unaongea lolote tu, maana muda huo moyo huongea.
 
[emoji1787] [emoji1787] Hallaad leo kakosa sitter hivi hivi.. Ingekua ni kijana wangu Nunez hapa miss Liverpool angekua kashatupia mistari ya kutosha...

YNWA

Nunez ameshakuwa scapegoat.

Halaand ā€œmsimu uliopita unambeba msimu huuā€ sio hatari kama Halaand wa msimu huu. Big chances missed this season ndizo zilimpa magoli msimu uliopita.

Muda bado upo anaweza kurejea.

YNWA
 
[emoji1787] [emoji1787] Hallaad leo kakosa sitter hivi hivi.. Ingekua ni kijana wangu Nunez hapa miss Liverpool angekua kashatupia mistari ya kutosha...

YNWA

Nunez ameshakuwa scapegoat.

Halaand ā€œmsimu uliopita unambeba msimu huuā€ sio hatari kama Halaand wa msimu huu. Big chances missed this season ndizo zilimpa magoli msimu uliopita.

Muda bado upo anaweza kurejea.

YNWA
 
Jana hata kama Salah angekuwepo kichapo kilikua pale pale... Liverpool hua tunacheza kama unit ndio ushindi unapatikana na jana ilikua siku mbaya sana kazini vijana hawakuamka na mpinzani alijipanga vyema sana... Arteta amefanya homework yake vizuri sana jana akazimba kila njia kimsingi ametuchezea mpira wetu....

Salah ni mzuri lakini hata yeye jana angepata kibarua kizito sana ile defence...

YNWA

Ile mechi ili tushinde au sare, tulimuhitaji Bradley, Jones yule wa vs Westham (carabao) Full fit Nunez na full fit Salah. Wataru over Graven

Hapo tungetengeneza chances walau ila kwa kiwango cha juzi hata kama una Messi na Suarez ilishakuwa ngumu tu, toka kwenye line up
 
Back
Top Bottom