Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana sana ile 2013/2014… ile iligusa sana
Allison nae mbovu wa miguuni huyoHahaha hakuna anayepinga ubora wa Kelleher. Na karibu 90% hawajawahi kuwa na anay doubt kumhusu. Last season fununu za alipotaka kuondoka tuliwaza tutapata wapi 2nd GK mzuri kama yeye ? Au ndio yatakuwa ya Adrian awe 2nd? Wakakaa nae wakayamaliza.
Kelleher is a good GK, tunapotofautiana ni kumuweka same pot ya ubora na Beckor.
Beckor ana world class saves na ame prove hayo years. Best GK in the world if not 2nd one, Kelleher bado hajathibisha hayo.
He is a good GK though, ila sio chungu kimoja na Alison.
YNWA
Sana sana ile 2013/2014… ile iligusa sana2
uhakika mwaisa save my commentKwa hiyo semi finals uhakika?
Pole mkuu. Huenda maumivu yanachangiwa na kukosea timu ya kushabikia.Oya naumwa bwana ila pongezi zenu reds mmetuheshimisha weekend ilienda poa kabisa japo na kuumwa ila mliniongezea faraja NYWA.
Angekuwa kwenye timu yenu mwaka jana alikuwa hautoboiPole mkuu. Huenda maumivu yanachangiwa na kukosea timu ya kushabikia.
Hivi umeshawahi kufikiria kushabikia wababe wa ligi kutoka London?
Kweli mimi kelleher akiwa golini nakuwa na Amani kuliko akiwa Alison hachelewi kutoka goliniMnaisifia sana timu
Ila sioni mtu akimsifia kabisa Kelleher kwa kazi kubwa aliyoifanya.
Ile mechi ilivyokuwa na presha, Angekuwa Allison anavyotoka nje ya goli tungepigwa kitambo.
Ila mpo kimyaaa.
Semeni tu Kelleher ni mwamba,
Penye kutoa appreciations toeni.
Allison yeye anacho kipi Cha maanaHahaha hakuna anayepinga ubora wa Kelleher. Na karibu 90% hawajawahi kuwa na anay doubt kumhusu. Last season fununu za alipotaka kuondoka tuliwaza tutapata wapi 2nd GK mzuri kama yeye ? Au ndio yatakuwa ya Adrian awe 2nd? Wakakaa nae wakayamaliza.
Kelleher is a good GK, tunapotofautiana ni kumuweka same pot ya ubora na Beckor.
Beckor ana world class saves na ame prove hayo years. Best GK in the world if not 2nd one, Kelleher bado hajathibisha hayo.
He is a good GK though, ila sio chungu kimoja na Alison.
YNWA
Kabisa MkuuKweli mimi kelleher akiwa golini nakuwa na Amani kuliko akiwa Alison hachelewi kutoka golini
Wasitutanie Hawa😂Baada ya hapo wakarudi kuumwa, hope vs Forest watacheza
mimi ni reds dam dam mkuu hii ni ugonjwa wa kawaida tuu kamanda.Pole mkuu. Huenda maumivu yanachangiwa na kukosea timu ya kushabikia.
Hivi umeshawahi kufikiria kushabikia wababe wa ligi kutoka London?
Daah pole sana mkuu. Upone upesi uweze kuendelea na majukumu vizurimimi ni reds dam dam mkuu hii ni ugonjwa wa kawaida tuu kamanda.
asante sana mkuu naimarika sasa kwa msaada wake MolaDaah pole sana mkuu. Upone upesi uweze kuendelea na majukumu vizuri
hainitishi maana kwa tetesi za hawa makocha wanaotajwa hakuna hata mmoja wa kumzidi Salah vyumbani/ukubwa wa mambo ambayo ameshayafanyaTetesi mo salah amesign pre contract na timu moja huko arabuni.