Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thats football. Kila mtu na pressure zake kwa aina ya mchezaji na uchezaji anaoupendelea.
Wapo wengine kwenye build up wanalaumu wachezaji kwa nini huko nyuma mipira si iende mbele? Ndio Modern Football inavyotaka.
niko hapa na mimi mmojawapoUbinafsi Salah umemuishia baada ya Mane kuondoka lakini kipindi kile wapo wote dah majamaa walikuwa na nani awe mkubwaSalah hana Ego na LFC ya sasa hawapo wchezaji wa hivyo.
Akija Edward wachezaji wata sign mikataba mipya kama Salah, VVD na Trent. Jamaa ni mzuri kwenye project na ana ushawishi mkubwa. Edward ndiye amemsajili Salah, VVD kina Beckor. Naamini hata aina ya kocha atakayeajiriwa ni wale wenye uwezo wa kuendana na falsafa zilizopo na atakayeendeleza.
Salaha anaweza kucheza chini ya makocha wengi sana, ni moja ya wachezaji wasio pelekeshwa na mafanikio.
Edwards anatosha, ni yeye aliemleta Klopp Liverpool badae Klopp akabadili gear angani na kuanza kumwingilia na hatimae Edwards yakamshinda na kusepa bila Edwards hakuna Klopp Liverpool, hakuna Salah, VVD nk huyu mwamba anajua kuchakata data kujenga kile anachotaka mwalimu lakin sio muumin mkubwa sana kuwapa wazee mikataba mirefu anaaminia mchezaji akishageuka upande wa pili wa mwaka 30 basi hapo ni wa aidha kuuzwa ama kuachiwa...lakin pia kwa data zake zinampa fomu ya mchezaji husika miaka ijayo ndio maana aligoma sana kuwapa nyongeza Gini, Keita, Henderson, Milner, Lallana, Mane nk alijua fika hapo mbele mishe zao zitakua na mashaka na wote ni mashahidi kwamba alikua sahihi kwan hao wachezaji kwa sasa ni kama hawamo kwenye ramani za wachezaji wakali...Hii ya Edwards kutaka full control nadhani jamaa bado anakumbuka sakata la NABIL FEKIR la mwaka 2018 alilofelishwa dakika za mwisho inaonesha jamaa aliumia sana hivyo hataki tena ujinga kama ule utokee.
Hivyo anataka akija Liverpool kusiwepo tena intervention kama ile aliyofanyiwa kwa Nabil Fekir ili kulinda nafasi ya Jordan Henderson.
Unless uniambie business perception side lakin kwa Edward sio muumin wa ku retain over 30yrs klabuni kwa mud mrefu sana kwanza ni costly mishahara yao lakin kwa bajeti ya FSG ni pigo kubwa kwa payroll itambana zaid kwenye usajili..Salah hana Ego na LFC ya sasa hawapo wchezaji wa hivyo.
Akija Edward wachezaji wata sign mikataba mipya kama Salah, VVD na Trent. Jamaa ni mzuri kwenye project na ana ushawishi mkubwa. Edward ndiye amemsajili Salah, VVD kina Beckor. Naamini hata aina ya kocha atakayeajiriwa ni wale wenye uwezo wa kuendana na falsafa zilizopo na atakayeendeleza.
Salaha anaweza kucheza chini ya makocha wengi sana, ni moja ya wachezaji wasio pelekeshwa na mafanikio.
sio kweli wewe labda hufuatilii Liverpool,klopp toka zamani ni muumin wa falsafa ya makindaAlafu Klopp bhana kipindi cha nyuma alikuwa hawatumii hawa makinda, eti baada ya kutaka kuondoka ndio anawatumia sana na mafanikio yanaonekana sijajua kwanini tu.
Magoli matatu yote anakosea tu,tena kwa style moja ileile
Hawa waache kutega kazi
Wanatoka ila Allison amezidi
Lile goli wanalirusha sana LFC TV ilikuwa bahati tu ipo upande wake
Assist kutoka kwa kipa huwa inatokea mara chache.
View attachment 2921827niko hapa na mimi mmojawapo
Mpira uende mbele, ndio maana Henderson na Lovren nilikuwa nawachukia wazee wa back pass
Ubinafsi Salah umemuishia baada ya Mane kuondoka lakini kipindi kile wapo wote dah majamaa walikuwa na nani awe mkubwa
Salah sasa ana madogo hashindani nao bali anashirikiana nao
Edwards anatosha, ni yeye aliemleta Klopp Liverpool badae Klopp akabadili gear angani na kuanza kumwingilia na hatimae Edwards yakamshinda na kusepa bila Edwards hakuna Klopp Liverpool, hakuna Salah, VVD nk huyu mwamba anajua kuchakata data kujenga kile anachotaka mwalimu lakin sio muumin mkubwa sana kuwapa wazee mikataba mirefu anaaminia mchezaji akishageuka upande wa pili wa mwaka 30 basi hapo ni wa aidha kuuzwa ama kuachiwa...lakin pia kwa data zake zinampa fomu ya mchezaji husika miaka ijayo ndio maana aligoma sana kuwapa nyongeza Gini, Keita, Henderson, Milner, Lallana, Mane nk alijua fika hapo mbele mishe zao zitakua na mashaka na wote ni mashahidi kwamba alikua sahihi kwan hao wachezaji kwa sasa ni kama hawamo kwenye ramani za wachezaji wakali...
Huyu bwana alikomaa sana kwa Salah alikiona kile ambao leo hii tunakiona..
Ujio wake Edwards unaweza kua kaa la moto kwa Allison, VVD, Salah, Thiago, Matip, Robertson ambao aidha hatatoa nyongeza ya mkataba ama atawauza kama akipata ofa na sana sana Salah hapo naona safari yake kama inazid kusongea.
YNWA
Unless uniambie business perception side lakin kwa Edward sio muumin wa ku retain over 30yrs klabuni kwa mud mrefu sana kwanza ni costly mishahara yao lakin kwa bajeti ya FSG ni pigo kubwa kwa payroll itambana zaid kwenye usajili..
Ikiwa business side outweighs foot ball side anaweza akakumbali kuwapa nyongeza.. Muda utasema ndio maana anataka full control na sio kama hii ya Klopp alikua kama rubber stamp anayotaka Klopp wao ni ye yes....
YNWA
Alafu Klopp bhana kipindi cha nyuma alikuwa hawatumii hawa makinda, eti baada ya kutaka kuondoka ndio anawatumia sana na mafanikio yanaonekana sijajua kwanini tu.
Jones anachezaje mbele ya Gini?sio kweli wewe labda hufuatilii Liverpool,klopp toka zamani ni muumin wa falsafa ya makinda
amewapa nafasi wengi,na walioendelea wameendelea
Trent Alexander Arnold ni mojawapo alipopewa nafasi akaprove mpaka leo yupo alipo,Kuna Curtis Jones pia
miaka yote aliyopo Liverpool makombe ya FA na league amekuwa akiwapa nafasi, Sasa sijui unamuongelea Klopp yupi?
Kupiga kelele uwanjaniHahah Henderson ule tu uwezo wa kuukokota mpira avuke msatari hana, back bass za kutosha wide pass za kutosha, mpaka mechi inaisha. Captain ambaye huwezi kumuona wakati muhimu kama VVD juzi Gerrard mara kibao ila famous Istanbul 2005.
Nikumbushe ya Henderson.
Ila mechi za EPL alikuwa hathubutu aisee, mpaka kikosi chake nilikuwa nishakikaririAliwapa nafasi sema hivyo hawakufikia level hizo isipokuwa
Trent.[emoji736]
Jones.[emoji736]
Kelleher.[emoji736]
Bajcetic (if not injury angekuwa anaelekea kuwa senior player).
Elliot.[emoji736]
Kaide Gordon (alipata injury ya muda mrefu ndio amerejea).
Sheyi Ojo.
Rhian Brewster
Ben Woodburn
Conor Randall
Neco Williams
Billy Koumetio
Harry Wilson.
Wengi hapo walishindwa kufikia level za juu, ila kama ulikuwa haupitwi na mechi za Liverpool na unazifuatalia kwa ukaribu walau hao niliowataja utakuwa unawajua.
Na hawa unawaongelea kwa sasa wengi last 2-3 seasons walikuwa na miaka 16-18, hivyo ilikuwa bado huwezi kuwachezesha wote hawa kwa wakati mmoja.