Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UzembeBad day in the office ile.
YNWA
Guardiola alimpa Messi nafasi mbele ya akina GauchoSasa vp nisimtumie Kama mfano wakati ni academy graduate? Sasa unataka academy graduate apate namba wakati Kuna regular player? hivi wewe unaujua mpira kweli? Hata kina Robbie Fowler na Michael Owen walipata namba baada ya regular/senior players kupata injuries or otherwise
hemu nitajie kocha yeyote duniani ambaye alimuacha regular/senior player akampa nafasi academy/junior player??
Squad player... He will com around.. Klopp amtumie nafasi yake pendwa ambayo ni LW.. Wachezaji wengi Liverpool hutumikia muda mwingi nafasi ambazo si "zao" tazama Gini, Nunez, Maclister, Gapko nk nk...Huyu GAPKO tulipoteza pesa bure.
Nunez unamfananisha na Origi kwa lipi bro?Nunez is the next Origi [emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Nimekutana na Wahuni fulani leo wanasema Everytime Klopp signs a Japanese player he wins the league.
Imenibidi nizitafute picha za Minamino 👇
View attachment 2918306
View attachment 2918304
Sasa ngoja tuangalie kwa huyu Wataru Endo 👇
View attachment 2918305
Kibiashara Salah bado anauzika sana LFC jezi na other merchandise hilo FSG liliwafanya kubadili kabisa wage structure ili ku accomdate matakwa ya Last Pharaoh na inawalipa, ishu nani anatake over slot ya Salah ndio wajipange maana kuodoa mchezaji anaekuletea asilimia 30 peke yake mauzo ya jezi sio jambi jepesi aisee linahitaji maadalizi safi...Yes ishu ya Salah ni kibiashara zaidi. Na bado Salah uwanjani anakupa ambacho hao youth hawakupi. Timu iwe nzuri au iwe mbaya.
Over 30’ watakao baki i think alison vvd & salah, kuna watakaoachwa na kuuzwa Matip, Thiago, Adrian, hawa free agent itakuwa ngumu kuwaondoa another 3 senior players labda after 1-2 seasons huko.
Na kocha ajaye pia maana Lazima kocha aje na mapendekezo yake pia. Kuwa na full control ina side effect kama mtu anaamini yake ndio sahihi ila ya wengine sio sahihi isiyo kama Klopp kwa akina Milner, Keita, Ox, Hendo n.k
na uzunguni kuna wajinga pia
Hawa ma Yankees ukiona wanamomalia kitu ujue ni wanafaika kweli kweli na jambo husika na kwa namna tetesi zinavyokwenda majuu ni dhahiri Edwards ana kitu ambao wamesaka kwa wengine hawajakiona mpaka sasa..Jamaa nilimkubali sana toka aje LFC na kilichonishawishi ni uwezo wa kuziona talents kwa bei nafuu zikiwa bado chini sana. Na mauzo yake bado alijua kufanya biashara.
Sioni kama Edward atafanya yote haya kwa wakati mmoja labda 1-3 season ili asiathiri kikosi moja kwa moja.
Naamin VVD Beckor na Salah bado watakuwepo, ila Robbo ndio mashaka yangu ni sell au mkataba uishe aondoke. Matip & Thiago haihitaji hata uwepo wa Edward kila mtu anaona hali halisi.
tell me you were not watching Liverpool games without telling me "you were not watching Liverpool games"Ila mechi za EPL alikuwa hathubutu aisee, mpaka kikosi chake nilikuwa nishakikariri
Lakini kwa sasa hivi anawaanzisha hata mechi za EPL
Ulikuwa humwambii chochote kwa wale wazee wake akina Lallana, Chamberlain, Milner, Origi n,k hawa ndio mara kwa mara walikuwa wanaingia kutoka benchi
Makinda wanabaki tu wamekalia mbao ndefu
Hivi Captain Marvelous kwa Sasa Gakpo anacheza namba ngapi ? Mimi namuona ni namba 10. Na jukumu lake kubwa kwenye pitch ni lipi ?Squad player... He will com around.. Klopp amtumie nafasi yake pendwa ambayo ni LW.. Wachezaji wengi Liverpool hutumikia muda mwingi nafasi ambazo si "zao" tazama Gini, Nunez, Maclister, Gapko nk nk...
YNWA
From a doubter to a believer 😂😂😂Nunez the great
Majini waliyomtupia yameanza kuisha
Anakupa matokeo dakika za mwisho mkuuNunez unamfananisha na Origi kwa lipi bro?
Kusema kweli napenda mpoteze ili game.
kwa hilo sawaAnakupa matokeo dakika za mwisho mkuu
Wewe kumbe hata unachoongea hukijuiGuardiola alimpa Messi nafasi mbele ya akina Gaucho