Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umewahi kushiriki marathon ya point moja kutoka March mpaka may bila kuambulia kitu???

Msimu mgumu huu. Kipindi cha Marathon hii ilikuwa ni Pep vs Klopp. Tulipunguza gap from 12 mpaka 1, lakn hiyo point moja mpaka mwisho tulishindwa kuidaka.

Msimu huu naona Arteta nae kajisogeza kwenye Marathon.
Zamu yenu embu mpate majeruhi walau wanne tuone ubavu wenu wa kuhimili vishindo.
Sisi shida yetu ni tunaletaga utoto mwingi wakati tusiopaswa kuleta mzaha. Tukiongeza maturity kidogo na proper game management tutapambana hadi mwishoni. So far tuna injuries ambazo zimepatiwa majibu, ila tunawasiwasi iwapo watu kama Saka, Saliba, Gabriel au Odegaard.

Tukiendelea na moto huu tutawafikia na huenda mwishoni mwishoni tukawapokonya tonge.
 
Better option unakubali kuwaongeza, tu inakulipa kuliko kuwaondoa. Ukiwaondoa ni kama kamari hujui wata deliver hao wajao au itakuwaje. Tafuta potential replacement zao waingie pole pole kwenye mfumo. Lakini itategemeana na mrithi wa Klopp atatakana nini na nini hataki. Ila kwa kocha yeyote yule kwa sasa huwezi kuwakataa Salah Vvd na Beckor.

Naona kama FSG kuna vitu wamevipigia hesabu wakaona vimewachelewesha, nitaamini hivi wakimkubalia Edward matakwa yake.
Kwa Edwards akiamua hawapo nyongeza ya mkataba hao ma faza basi ujue ana solution sokoni jamaa habahitisha...
Kingine ule udhubutu wa June 2023 wa kuwatoa Keita, Ox, Henderson, Milner na Fabby na maisha ndio yamekua matamu vile basi jua hakuna aliezaidi ya timu kiasi kwamba kuuzwa kwake tunateteleka...

In the meantime...
Tupo imara na tutakua imara.. Nyuma ya pazia kuna kazi kubwa sana imefanyika kuna motivation speakers, kuna wachezaji wa michezo mingine wanashiriki kuwaweka sawa wachezaji warejee kwenye kauli yetu pendwa MONSTERS....big mental strength hata dakika 80 tukiwa nyuma ama sare ni kuedelea kuamini kwamba ushindi upooo..

YNWA
 
siwapendi man u lakini leo nawashabikia wanipigie huyu nyumbu tuu man city leo ule kipigo ni haki yako nyumbani kwako.
🤣 🤣 🤣 🤣 Manchester United ipo hii ndugu ya kumchakaza Kipara... Ten Hag naona kile kivuli cha kufukuzwa kazi kinamnyemelea kichwan maana unamtoa aje Rashfod na kumleta Antony ambae ni kucheza huko amateur leagues sio EPL made huyu...

nimewadharau kabisa leo washuke tuu daraja ikiwezekana
 
On paper Gakpo anacheza no9 ila kwa ufupi anafanya ya Bobby, but Bobby is just Bobby ila bado Klopp anamuota Bobby.
Anacheza kama striker lkn ana drop deep kuwavuta CB’s wa opponents ili kuacha rooms kwa LW & RW plus anashuka kuongeza namba kwenye MF kwa RCM & LCM.
🤣 🤣 🤣 Nina wasiwasi alipo Bobby hata goli 5 za ligi hanaa...
Yaani kitendo cha kuwatema Mane, Bobby, Keita, Ox, Milner, Henderson ilikua ni blessing in disguise kwetu...

Speaking out of position players anaongoza Macca, Nunez, Gapko, Gomez
Kazi anayofanya out of position Macca ni bab kubwa sanaaa...
Bila traditional DM dogo ana raise occasion nyingi sana kutuokoa japo Klopp alisema ni kama vile wachezaji kuona hatuna DM wameamua suala la pale kati DM ni jukumu la kila mmoja ili kumsaida Macca...

YNWA
 
nimewadharau kabisa leo washuke tuu daraja ikiwezekana
🤣 🤣 Najiuliza yale ma mamilioni hawa Manchester United wametoa kusajili hua kweli kuna scout department ama wanawapata aje hawa wachezaji wao... Ni vipigo baada ya vipigo..
Kutesa kwa zamu wapigwe tu maana walituonea haswa enzi za Fergie sasa ni wakati wao kupigikaaaaa

mimi maombi yangu ni wafike hata miaka 40 kabisa bila kombe la ligi sijui wamefika kumi na ngapi sasa.
 
itakuwa vita ya kukata na shoka siku hio naisubiri kwa hamu.
Kipara kama namuona atakavyojilesi hio siku ili mradi kutuvuruga....
There is something at Anfied hua inawaamsha amsha sana wachezaji wetu...
Hatutaki sare ni ushindi tu...
Pazuri Rodri ametumika mno na inaonyesha under presha anaachia nafasi...
Kikosi changu
Kelleher
Bradley Konate VVD Robbo
Domy Endo Macca
Diaz Nunez Gakpo.
Assuming Salah hajawa fit bado

YNWA
 
Heard atarudi April/May kabisa. I am not worry about Kelleher performance but what if we will miss him in anyhow??

God Forbid.
Historia inajirudia wakati twachukua ubingwa wa EPL Allison aliumia na dogo Adrian akacheza mechi kadhaa wakati yule bwana anatimbiwa...
Msimu huu ni nafasi ya Kelleher kupewa EPL medal kwa kucheza mechi hizi...
Come on Liverpool.
We are ready.

YNWA
 
🤣 🤣 Najiuliza yale ma mamilioni hawa Manchester United wametoa kusajili hua kweli kuna scout department ama wanawapata aje hawa wachezaji wao... Ni vipigo baada ya vipigo..
Kutesa kwa zamu wapigwe tu maana walituonea haswa enzi za Fergie sasa ni wakati wao kupigikaaaaa

YNWA
Wapigwe tu hawa nyumbuz. Ila uliona jana jinsi leverpool na gunners walitengeneza umoja wa kishabiki na kuungana kuwasapoti manyumbu? Ule usema wa 'adui wa adui wangu ni rafiki yangu' niliuona jana ukiwa katika vitendo. Tuliumizwa wote na kipigo cha manyumbu. Anyway, acha hao wapuuzi wapigwe tu watolewe top 10. Waachie nafasi kwa timu zinazojielewa.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Hakika wapigwe mpaka basiiiiiiii....

YNWA
 
Back
Top Bottom