verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Jumapili tutaweka kambi hapa shehe tusiandikie mateVvd yupo vizuri kwa sababu ya yule kijana.
The Beauty of football.
Ok sawa.
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumapili tutaweka kambi hapa shehe tusiandikie mateVvd yupo vizuri kwa sababu ya yule kijana.
The Beauty of football.
Ok sawa.
YNWA
Naamini hii ni sehemu tu ya mambo. Naamini tulianza kuporomoka hata wakati wa Wenger kwa kupungua kimpira huku wengine kama kina Chelsea, Man City na Tottenham wakipanda. Pia Commercial deals tulikuwa tunaingia zisizo na manufaa makubwa kama ile ya Puma, mara sijui kina Lavazza Coffee na wengineo, wakati kina Liverpool na Man UTD wanapiga dili nzuri zaidi. Tours zetu tunaenda Asia, sawa population ni kubwa na mashabiki ni wengi ila nguvu yao kifedha na kishawishi ni ndogo kuliko USA, ambako kina ManUtd na nadhani Liverpool walikuwa wanaenda. Commercial department yetu kweli ilikuwa (na bado ni) mbovu kwa kweli.Kwa kawaida Makocha wana impact kubwa sana kuraise hizi values za Timu.
Nakumbuka kipindi cha Arsen Wenger aliifanya Arsenal the second most valuable club pale UK na 4 nyuma ya Real, Manure na Bayern München.
Baada ya kuondoka Wenger tu thamani ya Arsenal ikaporomoka.
Naamini hii ni sehemu tu ya mambo. Naamini tulianza kuporomoka hata wakati wa Wenger kwa kupungua kimpira huku wengine kama kina Chelsea, Man City na Tottenham wakipanda. Pia Commercial deals tulikuwa tunaingia zisizo na manufaa makubwa kama ile ya Puma, mara sijui kina Lavazza Coffee na wengineo, wakati kina Liverpool na Man UTD wanapiga dili nzuri zaidi. Tours zetu tunaenda Asia, sawa population ni kubwa na mashabiki ni wengi ila nguvu yao kifedha na kishawishi ni ndogo kuliko USA, ambako kina ManUtd na nadhani Liverpool walikuwa wanaenda. Commercial department yetu kweli ilikuwa (na bado ni) mbovu kwa kweli.
Pia pamoja na Emirates stadium debt iliyokuwa inatuwekea vikwazo mfukoni, tuling'ang'ania sana 'self sustainining model' ambayo ilituzuia kushindania na kununua wachezaji wazuri kama kina Eden Hazard. Alisher Usmanov, ambaye alikuwa na hisa pale si haba, aliandikaga open letter akihubiri 'spend money, win trophies, which bring you some money and wins you more fans which makes you more money' lakini hakufanikiwa. Sasa hivi hii model tunaona ilitusevu kwa sababu hatusumbuliwi na FFP ila ukiangalia nyuma, labda tungefuata tu ushauri wake maana FFP inaadhibu timu dagaa lakini timu mapapa hazifanywi chochote.
Baada ya miaka kadhaa tayari timu imeshajichimbia chini ni ngumu kuibuka tena. Performances zikishuka, shabiki hataki kununua ticket, jezi, kuingia kwenye website wala kununua merchandise yoyote ya timu. Unajikuta unategemea wale die hard fans wako wachache na unawakosa wale fans ambao ni wengi wanaoenda na mood, na hao wana influence kubwa sana commercially.
Saint Anne kuna salamu zako kutoka kwa Nunez 😂
Msimu Gani huo nahisi 2016 klop anakujaMnaikumbuka hii siku? Man City anakula 3-0 pale Anfield, Manuel Perregrin alipagawa sana. Japo Mancity alibeba ndoo
View attachment 2928676
yeye ndio anakuwa boss himself safi kabisa
Tunakaribia kumaliza fixture
Sehemu ya barua hii hapaNaamini hii ni sehemu tu ya mambo. Naamini tulianza kuporomoka hata wakati wa Wenger kwa kupungua kimpira huku wengine kama kina Chelsea, Man City na Tottenham wakipanda. Pia Commercial deals tulikuwa tunaingia zisizo na manufaa makubwa kama ile ya Puma, mara sijui kina Lavazza Coffee na wengineo, wakati kina Liverpool na Man UTD wanapiga dili nzuri zaidi. Tours zetu tunaenda Asia, sawa population ni kubwa na mashabiki ni wengi ila nguvu yao kifedha na kishawishi ni ndogo kuliko USA, ambako kina ManUtd na nadhani Liverpool walikuwa wanaenda. Commercial department yetu kweli ilikuwa (na bado ni) mbovu kwa kweli.
Pia pamoja na Emirates stadium debt iliyokuwa inatuwekea vikwazo mfukoni, tuling'ang'ania sana 'self sustainining model' ambayo ilituzuia kushindania na kununua wachezaji wazuri kama kina Eden Hazard. Alisher Usmanov, ambaye alikuwa na hisa pale si haba, aliandikaga open letter akihubiri 'spend money, win trophies, which bring you some money and wins you more fans which makes you more money' lakini hakufanikiwa. Sasa hivi hii model tunaona ilitusevu kwa sababu hatusumbuliwi na FFP ila ukiangalia nyuma, labda tungefuata tu ushauri wake maana FFP inaadhibu timu dagaa lakini timu mapapa hazifanywi chochote.
Baada ya miaka kadhaa tayari timu imeshajichimbia chini ni ngumu kuibuka tena. Performances zikishuka, shabiki hataki kununua ticket, jezi, kuingia kwenye website wala kununua merchandise yoyote ya timu. Unajikuta unategemea wale die hard fans wako wachache na unawakosa wale fans ambao ni wengi wanaoenda na mood, na hao wana influence kubwa sana commercially.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu kibongo bongo hana tofauti na kina Alhmed Ally,Ally Kaamwe na Manara
Anapiga domo
Mswahili sana.
Bila shaka jamaa ni pacha wake na Manara.
🤣 🤣 🤣 Ndio hivyo huoni vijana wanavyojituma mpaka Big stage Wembley...ahahah duh nimepapenda hapo mwisho
Ilikuwa 03/03)2016 Klopp alikuwepo hizi goli zilifungwa na Coutinho, Ox, BobbyMsimu Gani huo nahisi 2016 klop anakuja
YES. THIS!Sehemu ya barua hii hapaView attachment 2928727
Kwa kipi hasa cha maana alichofanya?View attachment 2928825
Well in, skipper 💪
Virgil van Dijk is our Standard Chartered Player of the Month for February 🏆
Alivyowaua Chelsea nadhaniKwa kipi hasa cha maana alichofanya?
Umenena mkuu.Chelsea na Man City zitoe kwenye Klabu zenye thamani ingawa inasomeka hivyo.
Chelsea tokea iliponunuliwa na Abramovic mpaka sasa hivi kwa yule Miluzi haijawahi kujiendesha wenyewe bali inaendeshwa na Mfuko wa Tajiri anatoa hela zake mfukoni kuingiza kwenye Timu. Hivyo Utajiri wake ni wa kudanganya.
Man City ndiyo kabisa Tapele hana hata Worldwide Fanbase wala hana Mikataba mikubwa bali mwarabu anaingiza hela zake mwenyewe kwa mikataba fake ili aipandishe thamani akwepe rungu la Fainancial Fair Play.
Uongo wao umewafanya kuwa na Makosa 115 ya FFP.
Timu kama Liverpool, Arsenal na Manure ndiyo zinazojiendesha wenyewe kujipandisha thamani zao.