Siwez kufungwa na timu mbovu kama manjesta,mechi mbili za mwisho hata kufika box la Arsenal kwako ilikuwa mtihani
Mara ya mwisho kutufunga kiungo alikuwa lokonga
Nyie tutapiga 3 half time
Haya manafas mnayoacha ,Arsenal atawapigeni nyingi,
Kwenye kushambulia Arsenal wanakuwaga watano kwenye 2-3-5
Liverpool waliwadharau wakajua hamuwezi kujipapatua
Arsenal ya Arteta ukicheza hivi na mtacheza hivi maana kocha wenu hana mbinu ni mbahatishaji tu , mkipona sana half time goli 3 ,sikufichi ,naongea kimpira
Mara kumi Chelsea Huwa Wana turn up wanatoa game ngumu, au Luton sio manjesta hii ya tapeli Ten hag
Kama Kuna timu nafurahi tutabeba point za Bure basi ni kwa manjesta
View attachment 2938306