Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesDuh inaonekana Klopp kawavuruga sana huko FSG maana why change the structure kama its was working... Muhimu waheshimiane kila mmoja anapopewa majukumu awe huru bila kuingiliwa na kocha...
Mpango ni kwamba Slot anaajiriwa kama Kocha Mkuu na sio Meneja kama ilivyo kwa Klopp... Hii itampa wakati wa kutosha kudili ni ishu za uwanjani tu mengine wafanye wengine.
YNWA
😂😂😂😂Klopp bado hajaondoka tu?
Hongereni sana. Tuendelee kupambana na Kipara kupindua utawala wake.
Punda sio wa kuwaamini, wanampa sapoti uparaHongereni sana. Tuendelee kupambana na Kipara kupindua utawala wake.
Kwa hiyo sisi tunawaona hawa ni wenzetu kumbe wanatuchoma kisu mgongoni?Punda sio wa kuwaamini, wanampa sapoti upara
Wao pumzi imekata wamehamia kwa mama sitaKwa hiyo sisi tunawaona hawa ni wenzetu kumbe wanatuchoma kisu mgongoni?
Huyu jamaa wameshindwana nn na Liverpool mpk tukasikia kaibukia huko West Ham...hakuwa tyri kwnda Liverpool au Liverpool hawajaridhika naye
Weuweeee😍🔥🔥🔥🔥👌Exclusive:
Mo Salah has told Liverpool, he wants to finish his career at Liverpool Football Club.
Talks are ongoing on extending new contract.
Arne Slot wants Mosalah to play in a new position next season. This is being discussed with the player
I love you Salah 😍Exclusive:
Mo Salah has told Liverpool, he wants to finish his career at Liverpool Football Club.
Talks are ongoing on extending new contract.
Arne Slot wants Mosalah to play in a new position next season. This is being discussed with the player