Kumuweka fit Konate bench dhidi ya Quansah ni kumkosea heshima Konate
False hopers wa Nunez tunaelekea mwaka wa 3 huu bado mnaamini atabadilika
Miaka 10+ ya FSG na Epl 1 tuu sio bahati mbaya
Konate hakuwa na pre season nzuri sana kulinganisha na Quansah, hili kwa kiasi chake nilimuelewa Slot, ila when Konate is fit he can give you good think. Ilikuwa nzuri kwa Konate kuingia na kusolve weakness ya Quansah.
Quansah not ready enough for sure, I love him I love his game, love his mentality, but need to learn zaidi kabla ya kuchukua no. First eleven rasmi.
Heheh hapo false hopers, dah.!! Nunez anatuvua nguo sasa siye shabiki zake. But the dude is doing wonderfull licha ya misses zake, ukitaja top 5 Strikers all over the world naamini anaingia top five vizuri sana.
Nunze kilichomuathiri ni mambo kama matatu hivi
1. Red Card vs Palace ilimtoa kwenye mapema sana.
2. Price tag yake ilimfanya atakae ku prove majority wrong ilipelekea kupanic na kufanya maamuzi dhalili zaidi.
3. Kulinganishwa na Halaand kulimpoteza sana ile season yake ya kwanza. Halaand alikuwa anaweka tu kama hana akili nzuri wakati mwenziye huku anakosa tu kama hana akili nzuri.
Nunez ana ubora mkubwa sana kwenye maeneo mengi isipokuwa tu utulivu wa tap ins ndio changamoto kwake.
—>He has a speed
—>“” “”””” “ energy
Dribbling yes he has that
—>Smell dangerous postions za mipira itakapodondokea. Mara nyingi mipira hatari ilimkuta kwenye maeneo sahihi.
—> Nunez hakimbii mabeki anakufuata ulipo wala hana hofu ya kukabiliana na mabeki.
Changamoto kwake ni utulivu umemtoweka baada ya sababu kama hizo hapo juu nilizozitaja.
Ukiangalia moments kabla ya matukio hayo hapo
Community vs City he had fine game with good goals plus assists
Vs Fulham mechi ya funguzi season yake ya kwanza he scored wonderfull goal. Baada ya hapo akapoteza hiyo hali.
Pamoja na yote kama wanadamu huwa tunahesabu mabaya machache kwa mema mengi. Na kwa Nunez kushindwa kutimiza his primary role (scoring goals) ndicho kinamuumiza. Manaa Halaand ndio anaongoza kwa kukosa nafasi nyingi ila nyingi alizokosa hazikuhathiri timu mwisho wa mahesabu ana kiatu na timu imebeba ubingwa, ila kwa Nunez anakosa magoli muhimu mno remember vs Atalanta firs leg licha ya poor selection ila goli lile angelifunga momentuma ingebadilika, kumbuka game vs Luton 1-1 FT. Nunez anakosa nafasi ambayo ingetupa clean 3 points, na kumuongezea Salah idadi ya assists.
Hata hivyo huu utakuwa msimu wake wa mwisho kama hata step up BIG TIME, na kupunguza kosa kosa zake pale atakapopata nafasi.
Last paragraph “TUMESHAIPENDA WENYEWE ndio maana tupo hapa kwa hali zote.
Up Red
YNWA