Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 3076926
The MoNA hii hapa build up ya first goal.

Umeona sasa position ya Robbo, inabaki vile vile kama nilivyosema huko juu, ile sio mbinu ni movement ilimkuta tu Robbo yupo off pattern, akafanya alichofanya. Ndio maana SkySport hawana movement atleast tatu au nne isipokuwa ni ile moja tu.
 
Good deal. Mahali nakubaliana na Edward ni hapo kwenye biashara. Jamaa anaushawishi kwenye eneo hili, kwa kushirikiana na Hughes.

Carvalho—-> £27m to Brentford
S.V.D. Berg—->£25m plus add-ons to Brentford
Clark—-> £10m to RB Salzburg
Blair—->£300k to Portsmouth

Total £62.3M

Tukiongeza £30M tunapata 2 quality players na mmoja squad player.

Hakuna muda sahihi wa kuuza wachezaji kwenye academy kama huu, ile injury crisis ya last season ilipandisha thamani yao kubwa. Msimu huu kuna wengi tu hawatapata nafasi kama ile ya last season. I’m pretty sure bila ile injury crisis kuna wengi tu tusingewaona uwanjani. Its the right time kuwauza.

Angalia biashara kama hiyo kwa hao academic player exclude Carvalho, kwa philosophy ya sell to buy inafit why? Hatujauza senior yoyote mpaka sasa hivyo hakuna athari za moja kwa moja, isipokuwa tu bila kuuza senior players bado tunahitaji 2-3 players LCB and DM is a must.

Up red
YNWA
Hakuna tetesi zote za usajili?
 
Kumuweka fit Konate bench dhidi ya Quansah ni kumkosea heshima Konate

False hopers wa Nunez tunaelekea mwaka wa 3 huu bado mnaamini atabadilika

Miaka 10+ ya FSG na Epl 1 tuu sio bahati mbaya

Konate hakuwa na pre season nzuri sana kulinganisha na Quansah, hili kwa kiasi chake nilimuelewa Slot, ila when Konate is fit he can give you good think. Ilikuwa nzuri kwa Konate kuingia na kusolve weakness ya Quansah.

Quansah not ready enough for sure, I love him I love his game, love his mentality, but need to learn zaidi kabla ya kuchukua no. First eleven rasmi.

Heheh hapo false hopers, dah.!! Nunez anatuvua nguo sasa siye shabiki zake. But the dude is doing wonderfull licha ya misses zake, ukitaja top 5 Strikers all over the world naamini anaingia top five vizuri sana.

Nunze kilichomuathiri ni mambo kama matatu hivi
1. Red Card vs Palace ilimtoa kwenye mapema sana.
2. Price tag yake ilimfanya atakae ku prove majority wrong ilipelekea kupanic na kufanya maamuzi dhalili zaidi.
3. Kulinganishwa na Halaand kulimpoteza sana ile season yake ya kwanza. Halaand alikuwa anaweka tu kama hana akili nzuri wakati mwenziye huku anakosa tu kama hana akili nzuri.

Nunez ana ubora mkubwa sana kwenye maeneo mengi isipokuwa tu utulivu wa tap ins ndio changamoto kwake.

—>He has a speed
—>“” “”””” “ energy
Dribbling yes he has that
—>Smell dangerous postions za mipira itakapodondokea. Mara nyingi mipira hatari ilimkuta kwenye maeneo sahihi.
—> Nunez hakimbii mabeki anakufuata ulipo wala hana hofu ya kukabiliana na mabeki.

Changamoto kwake ni utulivu umemtoweka baada ya sababu kama hizo hapo juu nilizozitaja.

Ukiangalia moments kabla ya matukio hayo hapo

Community vs City he had fine game with good goals plus assists
Vs Fulham mechi ya funguzi season yake ya kwanza he scored wonderfull goal. Baada ya hapo akapoteza hiyo hali.

Pamoja na yote kama wanadamu huwa tunahesabu mabaya machache kwa mema mengi. Na kwa Nunez kushindwa kutimiza his primary role (scoring goals) ndicho kinamuumiza. Manaa Halaand ndio anaongoza kwa kukosa nafasi nyingi ila nyingi alizokosa hazikuhathiri timu mwisho wa mahesabu ana kiatu na timu imebeba ubingwa, ila kwa Nunez anakosa magoli muhimu mno remember vs Atalanta firs leg licha ya poor selection ila goli lile angelifunga momentuma ingebadilika, kumbuka game vs Luton 1-1 FT. Nunez anakosa nafasi ambayo ingetupa clean 3 points, na kumuongezea Salah idadi ya assists.

Hata hivyo huu utakuwa msimu wake wa mwisho kama hata step up BIG TIME, na kupunguza kosa kosa zake pale atakapopata nafasi.

Last paragraph “TUMESHAIPENDA WENYEWE ndio maana tupo hapa kwa hali zote.

Up Red
YNWA
 
View attachment 3077173
Hivi ni kweli hili goal la Salah alilopokea pass kutoka kwa Alisson ndio liliharibu mahusiano ya Cancelo na Guardiola?

Hapana si kweli.
Walipishana kwenye mechi ya FA vs Arsenal.

Cancelo alikasirishwa na uamuzi wa Pep kutompanga kwenye mechi ile ambapo City walipoteza 1-0. From there Pep akamuweka bench City wakaamua aondoke kwa Mkopo kwenda Bayern January.
 
Shida Konate akitumika sana pia ni Risk , bora rotation itumike hivyo hivyo.
Konate kocha amtumie kwa akili ya ziada sana maana mifupa yake sio ya mishe za dakika 90 gemu 10 mfululizo.. Hatoboi kabisa. Angalau dogo Quansah atampa kocha plan B na pia Gomez bado hajauzwa hivyo pale CBR hapana shinda sana... Ishu ni CBL anapocheza VVD pale kuna shinda maana hakuna like for like sub kwa huyu mwamba.

YNWA
 
Konate hakuwa na pre season nzuri sana kulinganisha na Quansah, hili kwa kiasi chake nilimuelewa Slot, ila when Konate is fit he can give you good think. Ilikuwa nzuri kwa Konate kuingia na kusolve weakness ya Quansah.

Quansah not ready enough for sure, I love him I love his game, love his mentality, but need to learn zaidi kabla ya kuchukua no. First eleven rasmi.

Heheh hapo false hopers, dah.!! Nunez anatuvua nguo sasa siye shabiki zake. But the dude is doing wonderfull licha ya misses zake, ukitaja top 5 Strikers all over the world naamini anaingia top five vizuri sana.

Nunze kilichomuathiri ni mambo kama matatu hivi
1. Red Card vs Palace ilimtoa kwenye mapema sana.
2. Price tag yake ilimfanya atakae ku prove majority wrong ilipelekea kupanic na kufanya maamuzi dhalili zaidi.
3. Kulinganishwa na Halaand kulimpoteza sana ile season yake ya kwanza. Halaand alikuwa anaweka tu kama hana akili nzuri wakati mwenziye huku anakosa tu kama hana akili nzuri.

Nunez ana ubora mkubwa sana kwenye maeneo mengi isipokuwa tu utulivu wa tap ins ndio changamoto kwake.

—>He has a speed
—>“” “”””” “ energy
Dribbling yes he has that
—>Smell dangerous postions za mipira itakapodondokea. Mara nyingi mipira hatari ilimkuta kwenye maeneo sahihi.
—> Nunez hakimbii mabeki anakufuata ulipo wala hana hofu ya kukabiliana na mabeki.

Changamoto kwake ni utulivu umemtoweka baada ya sababu kama hizo hapo juu nilizozitaja.

Ukiangalia moments kabla ya matukio hayo hapo

Community vs City he had fine game with good goals plus assists
Vs Fulham mechi ya funguzi season yake ya kwanza he scored wonderfull goal. Baada ya hapo akapoteza hiyo hali.

Pamoja na yote kama wanadamu huwa tunahesabu mabaya machache kwa mema mengi. Na kwa Nunez kushindwa kutimiza his primary role (scoring goals) ndicho kinamuumiza. Manaa Halaand ndio anaongoza kwa kukosa nafasi nyingi ila nyingi alizokosa hazikuhathiri timu mwisho wa mahesabu ana kiatu na timu imebeba ubingwa, ila kwa Nunez anakosa magoli muhimu mno remember vs Atalanta firs leg licha ya poor selection ila goli lile angelifunga momentuma ingebadilika, kumbuka game vs Luton 1-1 FT. Nunez anakosa nafasi ambayo ingetupa clean 3 points, na kumuongezea Salah idadi ya assists.

Hata hivyo huu utakuwa msimu wake wa mwisho kama hata step up BIG TIME, na kupunguza kosa kosa zake pale atakapopata nafasi.

Last paragraph “TUMESHAIPENDA WENYEWE ndio maana tupo hapa kwa hali zote.

Up Red
YNWA
Well said, Slot anaonekana sio kocha wa kubembeleza wachezaji kama Klopp, kitendo cha kukosa hata dk 1 mechi ya ufunguzi ni meseji tosha kwa Nunez
 
Huyu Chiesa wakati wanachukua ubingwa wa Euro alikua wa moto balaaa sijui nini kimemkuta timu nyingi zinampita kimya kimya...

YNWA

Ile EURO 2020 alikiwasha sana, thaman ikafika mpaka 50m sasa hivi wanakadiria value ni 12m, je ligi ya Italy kuwa brand ni wachezaji wao ni nadra sana kupitia media tofauti na EPL.

Mashabiki wa timu nyingi EPL na media zao wanajua ku brand sana wachezaji wao.
Hata bei zao huwa sio kali kama mchezaji anayekipiga EPL. Kama yule winger wa Napoli Kvaratskhelia, unaona ni kama hakuna anayejihusisha nae, alifika mpaka 100m ila kwa sasa hata nusu yake unaweza kumpata. Serie kule ni juhudi za mchezaji na agent wake, tofauti na ligi kama EPL media zinakusaidia.
 
Konate kocha amtumie kwa akili ya ziada sana maana mifupa yake sio ya mishe za dakika 90 gemu 10 mfululizo.. Hatoboi kabisa. Angalau dogo Quansah atampa kocha plan B na pia Gomez bado hajauzwa hivyo pale CBR hapana shinda sana... Ishu ni CBL anapocheza VVD pale kuna shinda maana hakuna like for like sub kwa huyu mwamba.

YNWA

Sema Vvd ile ni among top talent. Right foot kupiga LCB sio mchezo unaona kina Quansah, Konate wanavyo struggle wakicheza LCB…!!! Konate if it wasn’t injury, tungejiaminisha kwake sana top talent nayo ile tatizo glass legs tu
 
Konate kocha amtumie kwa akili ya ziada sana maana mifupa yake sio ya mishe za dakika 90 gemu 10 mfululizo.. Hatoboi kabisa. Angalau dogo Quansah atampa kocha plan B na pia Gomez bado hajauzwa hivyo pale CBR hapana shinda sana... Ishu ni CBL anapocheza VVD pale kuna shinda maana hakuna like for like sub kwa huyu mwamba.

YNWA
Gomez hamnamo mtu humo mkuu
 
Konate hakuwa na pre season nzuri sana kulinganisha na Quansah, hili kwa kiasi chake nilimuelewa Slot, ila when Konate is fit he can give you good think. Ilikuwa nzuri kwa Konate kuingia na kusolve weakness ya Quansah.

Quansah not ready enough for sure, I love him I love his game, love his mentality, but need to learn zaidi kabla ya kuchukua no. First eleven rasmi.

Heheh hapo false hopers, dah.!! Nunez anatuvua nguo sasa siye shabiki zake. But the dude is doing wonderfull licha ya misses zake, ukitaja top 5 Strikers all over the world naamini anaingia top five vizuri sana.

Nunze kilichomuathiri ni mambo kama matatu hivi
1. Red Card vs Palace ilimtoa kwenye mapema sana.
2. Price tag yake ilimfanya atakae ku prove majority wrong ilipelekea kupanic na kufanya maamuzi dhalili zaidi.
3. Kulinganishwa na Halaand kulimpoteza sana ile season yake ya kwanza. Halaand alikuwa anaweka tu kama hana akili nzuri wakati mwenziye huku anakosa tu kama hana akili nzuri.

Nunez ana ubora mkubwa sana kwenye maeneo mengi isipokuwa tu utulivu wa tap ins ndio changamoto kwake.

—>He has a speed
—>“” “”””” “ energy
Dribbling yes he has that
—>Smell dangerous postions za mipira itakapodondokea. Mara nyingi mipira hatari ilimkuta kwenye maeneo sahihi.
—> Nunez hakimbii mabeki anakufuata ulipo wala hana hofu ya kukabiliana na mabeki.

Changamoto kwake ni utulivu umemtoweka baada ya sababu kama hizo hapo juu nilizozitaja.

Ukiangalia moments kabla ya matukio hayo hapo

Community vs City he had fine game with good goals plus assists
Vs Fulham mechi ya funguzi season yake ya kwanza he scored wonderfull goal. Baada ya hapo akapoteza hiyo hali.

Pamoja na yote kama wanadamu huwa tunahesabu mabaya machache kwa mema mengi. Na kwa Nunez kushindwa kutimiza his primary role (scoring goals) ndicho kinamuumiza. Manaa Halaand ndio anaongoza kwa kukosa nafasi nyingi ila nyingi alizokosa hazikuhathiri timu mwisho wa mahesabu ana kiatu na timu imebeba ubingwa, ila kwa Nunez anakosa magoli muhimu mno remember vs Atalanta firs leg licha ya poor selection ila goli lile angelifunga momentuma ingebadilika, kumbuka game vs Luton 1-1 FT. Nunez anakosa nafasi ambayo ingetupa clean 3 points, na kumuongezea Salah idadi ya assists.

Hata hivyo huu utakuwa msimu wake wa mwisho kama hata step up BIG TIME, na kupunguza kosa kosa zake pale atakapopata nafasi.

Last paragraph “TUMESHAIPENDA WENYEWE ndio maana tupo hapa kwa hali zote.

Up Red
YNWA
Nunez anaingia top 5?
 
Kadi ya mwaka juzi hadi leo tunaimba hiyohiyo😂😂
 
Back
Top Bottom