Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kinachonishangaza ni kuhusu Bajcetic kutolewa kwa mkopo,Kuwaelewa usajili wa FSG ina bidii uwe full scouser ili kale kamsemo kao... "na hili lita pita"..... Uweze kukaelewa.
Mahitaji yetu ni DM mmoja, RW mmoja na CBL mmoja lakin FSG kama FSG haoooo wametuletea kipa na LW mmoja ambao sio priority kwa sasa. Hii ndio shinda kujiona ni bora zaidi ya wengine.... Yaani katika ligi 5 bora za Europe kweli tumekosa DM mmoja anaeuzwa bei rafiki mpaka tuambiwa bla bla...
Kwa Chiesa ni maombi tu kwamba tuwe tumesajili yule Chiesa wa miaka hioo na sio huyu wa sasa mwenye Kukosa kujiamini
YNWA
Hatuna muda wa kufanya majaribio kwa mchezaji, I think a loan would be perfect kwake because anahitaji muda wa kucheza, He need playing time.kinachonishangaza ni kuhusu Bajcetic kutolewa kwa mkopo,
Ama wana uhakika wa kupata DM kabla ya dirisha kufungwa?
Bajcetic majaribio mbona kashahitimu chini ya Master Klopp, alikuwa ni wa kupewa muda tu hata dakika 20-30 na kuongezewa DM mmoja wa maanaHatuna muda wa kufanya majaribio kwa mchezaji, I think a loan would be perfect kwake because anahitaji muda wa kucheza, He need playing time.
Dah kuna uwezekano nikahamia Liverpool kwa mkopo, usajili wa Chiesa ukikamilika.
SLOT, NI serious coach, Bajcetic is 19, na ni Injury prone, hawezi kumuweka kwenye plan yake ya season tena kwenye DM.Bajcetic majaribio mbona kashahitimu chini ya Master Klopp, alikuwa ni wa kupewa muda tu hata dakika 20-30 na kuongezewa DM mmoja wa maana
Watafute DM basi roho yangu itulie, kwangu mimi huwa naona timu yenye DM bora inakuwa na uhakika wa kukimbizana mpaka May
Amna kocha pale, ajax hata wew unaweza kua kocha na ukatoboa.Siku akitoka Man Utd akaenda timu nyingine ndio tutajua shida ipo kwake ama ni uongozi wa timu yake
Mbona alivyokuwa Ajax alikuwa vizuri tu
Bila injut uyu jamaa wamoto.
Anaejua anakotupeleka Edwards na Hughes ni @TheMoNA 🤣🤣🤣🤣mie wala sielewi ndugu yaani 🙆🏿♂️🙆🏿♂️... Hatukua na mapungufu upande wa kipa wala winga wa kushoto lakini tazama jamaa zako walivyosajili.
🤣🤣🤣🤣Anaejua anakotupeleka Edwards na Hughes ni @TheMoNA 🤣🤣🤣🤣mie wala sielewi ndugu yaani 🙆🏿♂️🙆🏿♂️... Hatukua na mapungufu upande wa kipa wala winga wa kushoto lakini tazama jamaa zako walivyosajili.
Unless hii Slot ball ieleweke mapema na kusiwe na majeruhi sioni tukiwa contenders popote aisee.
Huyu dogo lile jeraha naona halikua powa sana kiasi anahitaji ligi ambayo itakua haina mishe kama EPL ndio maana wanamtoa kwa mkopo binafsi angebakia kama serial sub mpaka pale sasa angefaa.
YNWA
Anaejua anakotupeleka Edwards na Hughes ni @TheMoNA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mie wala sielewi ndugu yaani [emoji2307][emoji2307]... Hatukua na mapungufu upande wa kipa wala winga wa kushoto lakini tazama jamaa zako walivyosajili.
Unless hii Slot ball ieleweke mapema na kusiwe na majeruhi sioni tukiwa contenders popote aisee.
Huyu dogo lile jeraha naona halikua powa sana kiasi anahitaji ligi ambayo itakua haina mishe kama EPL ndio maana wanamtoa kwa mkopo binafsi angebakia kama serial sub mpaka pale sasa angefaa.
YNWA
Klop hakuanza kuwatumia academy players kwa sababu ya majeraha ya senior players,klop alianza na utamaduni wa kuwatumia academy players kwenye mechi za vikombe kama carabao na fa huku tukiwa hata hatuna majeruhi wa hivyo,kwenye ligi msimu huu ndio angalau wametumika sababu ya hizo injuriesTukianza na Academy.
Hakuna muda sahihi zaidi wa kuuza academic players kama wakati huu. Why??
Wamepanda value sababu ya Carabao last season na zile mechi walizocheza btn Feb-March. Hakuna namna wanaweza kuingia first eleven hata under Klopp kama sio injured forced him wasingepata nafasi.
Uhalisia na matarajio ndio yanatuangashi big time hata kwenye maisha ya kawaida. Bobby Clark, Carvalho, Blair hawa wasingeweza kuingia kwenye timu ya wakubwa hata kuwa Squad players. Clark at the age of 21 bado hajawa Squad player?? Huoni ni uongo kusema ataingia kwenye senior team?? Jones alianza at the age of 17-18 watu tukawa na matarajio makubwa kwake binafsi gari lake nilipanda those days. What about Trent?? Vipi kuhusu Kelleher? Kawaida at 17 hivi to 19 unaonesha every quality ya kuaminiwa kwenye senior team. See Trey Nyoni?? Ndio maana huwa tunamkataliw Saint Anne kuhusu Kelleher kuichukua no. Ya Beckor kwa sababu kwa umri wake Alison alikuwa already top top GK. At 25 Alison alikuwa LFC no. 1 GK and Brazil.
Umri na no. Havidanganyi.
Kuna muda naona tunawa hype our academic players. Unawakumbuka hawa jamaa
—> Ben Woodburn
—> Rhian Brewster
—> Harry Wilson
—> Jordan Ibe
Na matarajio yetu?? Hawakuwa vile tulivyodhania why?? They were never be top talent with big club materials.
Musialowski tukamuita Polish Messi, ila hiyo ameondoka as a free agent kama ni top talent asingekosa timu hata championship huko ila unajua alipoenda?? Ameenda Cyprus timu inaitwa Omonia good thing inashiriki Conference anaweza kuonekana.
Watu wanalalamika kuhusu Carvalho jamaa kipaji kipo ila kuna sababu isiyosemwa as to why Klopp alimsajili mwenyewe kwa kumsubiri, alikuwa atue winter 2022 ila mambo yakaenda kombo ikabidi achukuliwe summer 2022. Licha ya kusubiriwa huko ila hakupata nafasi ndani ya kikosi cha Klopp akaishia kwenye mikopo. Mchezaji wa hivi ukipata £27M unaanza kuikataa?? Ngumu, cash on him maana huenda next time ukaishia kupata chini ya hapo.
Academic deals are good so far.
Hapo kwa Musialowski umenifanya niikumbuke generation ya akina Krizstian Adorjan, Suso, Raheem, McLaughin na Conor Coady aseeMusialowski tukamuita Polish Messi, ila hiyo ameondoka as a free agent kama ni top talent asingekosa timu hata championship huko ila unajua alipoenda?? Ameenda Cyprus timu inaitwa Omonia good thing inashiriki Conference anaweza kuonekana.