Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Hawa watoto ukuta wao wa kimkakati haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elanga naona kabadilisha mchezo hukoHivi Odoi na Elanga hii stlye waliokuwa wanacheza ndo inaitwa komasava.?
Komasava hio, umeiona eee.Hivi Odoi na Elanga hii stlye waliokuwa wanacheza ndo inaitwa komasava.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mkuu
Tulipiga perepete mapema sana
ThanksMsimtukane Mamba kabla hajamvuka mto
Msiwe na matarajio makubwa sana
Mmemtukana Klopp humu,,mkampa sifa zote Slot.
Mimi Slot sitaongea lolote juu yake hadi amalize angalau mzunguko wa kwanza wa EPL.
Sawa ZumbukukuTutashinda more than 2 goals second half
Klopp mbwa tu Naye alishachezea vichapo sana kufungwa Leo sio kigezo Cha klopp kwamba alikua Bora sanaMsimtukane Mamba kabla hajamvuka mto
Msiwe na matarajio makubwa sana
Mmemtukana Klopp humu,,mkampa sifa zote Slot.
Mimi Slot sitaongea lolote juu yake hadi amalize angalau mzunguko wa kwanza wa EPL.
Hakika mkuuThanks
Kuna kauli zilikua zinatoka hadi unashindwa kuamini
Hata tukishinda leo…. We are not good enough
Michezaji ya Klopp inamuangusha, ni ya kufagia yooteMsimtukane Mamba kabla hajamvuka mto
Msiwe na matarajio makubwa sana
Mmemtukana Klopp humu,,mkampa sifa zote Slot.
Mimi Slot sitaongea lolote juu yake hadi amalize angalau mzunguko wa kwanza wa EPL.
Liverkuku kachezea kichapo huku city akieleaa sijui mnakwama wapiAfter 55yrs, finally Nottingham forest got a winner against Liverpool.