The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Hebu iangalie tena ulete majibu
Sasa hivi ina shawishi shawishi kidogo kutoka kwenye alfu mbili mbili,. Japo inaonekana ni mwili tu huo umeongezeka baada ya kuanza msimu vizuri.
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu iangalie tena ulete majibu
Vs Bournemouth
He completed 74 out of his 84 passes (88%), which is a decent rate. In addition, he had 96 touches, 11 passes into the final 3rd, 9 recoveries and won 7/11 duels (64%)! [emoji123]
View attachment 3104690
Dogo namkubali sanaaaa,
Ni mchezaji wa kawaidaWorld Class Player, ana stahili £280k plus ads on.
YNWA:
Toka umekaribia 18 basi unajiona tayari mkubwa 😂Dah.!
YNWA
Hakuna kilichoongezeka😂Sasa hivi ina shawishi shawishi kidogo kutoka kwenye alfu mbili mbili,. Japo inaonekana ni mwili tu huo umeongezeka baada ya kuanza msimu vizuri.
YNWA
Roho yangu tu mama ? Huna kingineChochote?
Nipe roho yako 😂😂😂😂
We nipe yoyote tu
Mi sina hata moja ya msimu huu
Sasa utanipaje jamani wewe upp Ulaya
Mimi madongo kuinama huku Tukuyu
Na mimi nipo tukuyu hukuChochote?
Nipe roho yako 😂😂😂😂
We nipe yoyote tu
Mi sina hata moja ya msimu huu
Sasa utanipaje jamani wewe upp Ulaya
Mimi madongo kuinama huku Tukuyu
Toka umekaribia 18 basi unajiona tayari mkubwa [emoji23]
Hakuna kilichoongezeka[emoji23]
Shida ushazoea kuwaona under 18
Unajua kila mtu wa af2
Sure sio kwamba he has been that awful always wala it's just that comparison ya magoli yanayotokea kwake compared na upande wa Robbo kuna shinda...But if you remember, on his breaking period into the first team, he defended very well, and emerged “he pocketed Sane”, Sane at his best [emoji91][emoji91][emoji91]
Akazidi kuwa mzuri under beast Fabinho adding Wijnaldum plus Milner and Henderson, downfall of Fabinho, departure of Gini ikawa anguko lake. But so far this season ameongezeka kiasi kidogo kwenye kuzuia, his weakness ni awareness halafu he doesnt bother to learn more about defending. Atleast his mind now ipo RB na ndipo penye uwezo wake, anapoliface goli la opponent kuliko akilipa mgongo….
YNWA
Embu tuma na ya Macca, ndio utaona umuhimu wa double pivot.
Sure sio kwamba he has been that awful always wala it's just that comparison ya magoli yanayotokea kwake compared na upande wa Robbo kuna shinda...
Atulie kwenye basics za defending na aache uoga wa tackling sijui anaogopa majeruhi ama namna gani.
Profile ya Trent Anorld [emoji116] [emoji116]
View attachment 3104972
YNWA
Tackling ni nature ya mchezajiNaam. Sikumbuki when was his last tackling na pa ndipo udhaifu wake wa kuzuia unaibuka. Aerial duels sijui lini ali win akiwa kwenye kuwania mpira na opponent. Kuna magoli tuliruhusu akiwa kainama huku mpinzani akimfanya ngazi.
Hopefully Slot will help him.
YNWA
Tackling ni nature ya mchezaji
Kuna wachezaji wanapenda (in nature) kuzuia mipira ya chini kwa kufanya tackling
Ila wengine hawatumii sana style hii
Mfano hapa hata ukimchukua vvd sidhani kama atakua na namba nzuri kwenye tackling
So Trent doing a defending play on his way
Kwenda hukoNa mimi nipo tukuyu huku
Buriaga huku
Ndaga Fijo. Ndaga fijo