The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Everytime JK akiwa kwenye mbio za ubingwa last 7 games kunakuwa na
Everton
Worst Man united
C.palace and the likes
Na ni lazima atokee wa kuzima ndoto za ubingwa.
Arne kama anautaka ubingwa ajitahidi ashinde wee ikitokea fixture kama hiyo awe yupo 7+ points above City ndio walau aote ubingwa.
Sisi tunagundu mechi kama hizo anateleza mtu bahati mbaya au anatoa pasi boko mradi tuu mambo yaharibike
Ile Klopp system was heavy na ilihitaji depth with quality squad, bad luck kwake alikuwa na mabahili no. Moja duniani katika sekta ya mpira. Ndio maana kuaniza Feb - April tulikuwa tunapotea sana (fatigue & injury).
Kikubwa ilipaswa kuwa na good squad management, na muda mwingine within the game tulipaswa kuslower our tempo ili ku maintain energy ya wachezaji.
Nafikiri Slot anapaswa kuanzia hapo, ubingwa unaanzia pale (jan - march)
ukivuka salama you are good to go.
Slot alipotua Anfield aliambiwa mambo mengi kuhusu team na whole story about Klopp success & failure na mambo mengi tu.
Ikiwemo:-
Early kick off,
Away matches,
Tough matches (every team),
Many matches,
Lets hope for the best, azidi kuwa Mjifunzi na mambo ya EPL, asikae ofisini na kucheza game la nyoka, aendelee kula tuition.
Ynwa’