Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_20241025_163901_237.jpg

The Scouser in our team ❤️

Trent made his Reds debut OnThisDay in 2016 ✨

Saint Anne miaka 8 iliyopita ulikuwa wapi ? 🤣🤣🤣
 
Arsenal without:

Ordegaard
Saka
Saliba

Je, LFC kuwaumiza Arsenal, Au Arsenal wataendeleza walipoishia last two season??

It’s going to be a tough tough match. Kama Arsenal wangekuwa wanakuja Anfield ningetarajia 75% ya mchezo wao ungekuwa ni sit deep back and probably low block system ingetumika zaidi. Then they will attack sharply wape goal waendelee kukusumbua. But Home they will not allow LFC, Wawasambue in term of possession and final results. Watafanya ile do or die.

You are at Home and you lost the last match vs B’mouth next you have Liverpool who seems, they know how to find a winning ways, with no big injury concern, LFC itawauliza Arsenal maswali magumu. Last two seasons Arteta alitafuta namna ya kuifunga LFC na kwenye ligi hakufungwa na LFC kwenye season hizo. Two wins pale Emirate & two draws at Anfield

New season, Same players, different technical staff, new system. What am i expecting ni “Aggressiveness kwa Arsenal vs Calmness kwa LFC”.

Naiona same tactics game ya LFC vs CFC, kama mechi isipoathiriwa na injuries na red card(s).

Arsenal with narrow high pressing with over loads game, LFC with wide narrow pressing plus long balls. Arteta anapenda mchezo huo amekulia akiucheza mchezo huo, amekaa chini ya makocha wanaopenda mchezo huo, just control match as much as you can.

Slot loves that kind of game, amekulia kwenye falsafa hiyo, ila sio mbishi wa kupishana yupo tayari akuache mpira akuwahi kwa counters (kwa sababu ana wachezaji wenye uwezo huo.

Nunez as ST and false 9 role huku Macca akijoin kwenye 2nd line up the pitch (it depends na approach ya Arsenal).

Let them play smart game, sababu Arteta ana mchezo flani hivi wa kero kero, tunasema uhuni, they way wanapata red cards, it tells you alot.

Will be an interesting match to watch, best of luck to LFC, kuendeleza walipoishia vs CFC na kujikita kilele mwa msimamo.


Up reds
Up Liverpool

Ynwa’
 

These are those patterns huwa zinaongelewa humu.

Mnacheza according to the opponents structure, na mnanyumbulika kwa kadiri ya opponents anavyonyumbulika pia.

Controlling the ball, inahitaji miundo mbali mbali iundwe wakati wa mchezo.

Tukiwa kwenye line ya kwanza MF’s zijipange katika muundo gani?? Tukiwa kwenye line ya pili Mf’s na Attackers watengeneze muundo gani? Je 1st line wasimame kwa muundo gani? Na hapo inabidi uassume opponents anakujaje na yeye ndipo utaweza kuunda miundo yako.

Line up kutolewa mapema inasaidia pia kocha kubadili mbinu zake, kutokana na line up ya opponent kwa msaada wa video analyst.

Nilielezea vs Leipzig tulicheza na 3-2-4-1 zaidi Nunez anaanzia mbele kule kufuata moves immediately, kisha Macca anajoin the 3rd line wanakuwa wanne, mstari unaofuata wanakua Gravern na Trent, the last line wanakaa Konate, Vvd & Robbo..!! Ndani ya hii 3-2-4-1 kuna minyumbuliko pia hutokea kutogemea na opponent anavyo press high the pitch, au intensity yake wakati wa kukaba.

Possession football ni jinsi gani mnaweza kushambulia SPACES within a right TIME. Kwanza mnatafuta nafasi mpira utakapokukuta uwe na option atleast tatu za kutoa pasi, wakati huo mkanyang’anywa mpira ni kushambulia Spaces za opponets ndani ya muda muafaka.

Kuna muda unaona kama kuna 3-1-5-1 hivi hapo ni mnasubiri long balls kuwin aerial duels na 2nd balls, quality passes inahitajika kuvunja line ya opponent ila mkikosea ni hatari kwenu ni risk na mkifanya kwa ufasaha ni nzuri mnakuwa wengi over wachache.

Ynwa’
 
Imekuwaje Wakuu ? MosDef Captain Marvelous na The MoNA , LFC wameamua kum hire huyu jamaa ?
View attachment 3136140

Kwenye mpira focus ipo kwenye (Players na Kocha mkuu). Huko kwingine watu hawaangalii sana. Na ndio mpira ulivyo behind the scene kuna wanaume wamekaa wanachakata mambo, hawa impact direct kwa mashabiki ni sawa na haipo.

Benitez to Everton it raised complaints from Evertonian but Heitinga (former Everton player) to LFC as Assistant coach it didn’t but for few. Why? Heitinga ni assistant tu hivyo hata timu ifanikiwe vipi all praise to Slot.

Robin Sadler huyu ni physiotherapist tu impact yake hard to be recognized na kama ni hivyo anahesabika hana madhara makubwa. Hata hivyo yupo hapo toka last month.

Na hapo aliamua kuondoka mwenyewe tu, hajachukuliwa direct kutoka utd.
Do you know Utd wanted Edward badly?? Sema jamaa akachomoa otherwise angeenda kule wala usiongosikia minong’ono yoyote.

This rivalry highly concern on players and Manager/head coach.

Ynwa’
 
Alexander-Arnold on Liverpool not being grouped at the same level as Man City and Arsenal at the start of the season:

“It doesn’t bother me… we had to try and figure out how good we were as a team in a new system, and if that system is going to work and obviously it has.
Huu uzi bila kupita kwa rasi simba unaweza usielewe kitu.
Wazee tupunguze kingereza[emoji1][emoji1]mnadhani kila shabiki wa liverpool ana digirii[emoji1]
 
MAMBO 10 YASIYOZUNGUMZWA SANA KUHUSU LIVERPOOL

Kop Moe, magodi ✍️

Haya hapa ni mambo kumi yasiyozungumzwa sana kuhusu historia ya Liverpool, timu yenye urithi mkubwa kwenye ulimwengu wa soka:

1. Liverpool Ilianzishwa Baada ya Mgogoro wa Kodi
Liverpool Football Club ilianzishwa mnamo 1892 kutokana na mgogoro kati ya John Houlding, mmiliki wa uwanja wa Anfield, na Everton FC, ambao walikuwa wakicheza Anfield wakati huo. Baada ya kutofautiana kuhusu kodi ya uwanja, Everton walihamia Goodison Park, na Houlding akaamua kuunda klabu yake, ambayo ilibadilika kuwa Liverpool FC.

2. Timu ya Kwanza Iliyoitwa "Team of the Macs"
Wakati wa kuanzishwa kwa Liverpool, timu yao ya kwanza ilijulikana kama “Team of the Macs” kwa sababu walikuwa na wachezaji wengi wa Uskochi ambao majina yao yanaanza na “Mc,” kama Malcolm McVean, Duncan McLean, na Hugh McQueen. Hawa walisababisha Liverpool kupata mafanikio ya awali kwenye ligi ya Lancashire League.

3. Marufuku ya Ulaya na Urejeo Mkubwa
Baada ya janga la uwanja wa Heysel mwaka 1985, vilabu vyote vya Uingereza vilifungiwa kushiriki mashindano ya Ulaya, huku Liverpool wakipata marufuku ya miaka sita. Hii iliathiri utawala wa Liverpool kwenye soka la Ulaya, lakini iliwachochea kuanza kujenga upya klabu kwa miaka iliyofuata.

4. Nyaraka za Siri za Bill Shankly
Bill Shankly, aliyekuwa kocha maarufu wa Liverpool, alikuwa akichukua kumbukumbu za kina kuhusu wachezaji wake na mikakati ya timu. Nyaraka hizi zilipatikana miaka kadhaa baada ya kustaafu kwake, zikifichua mbinu zake za kina na uchambuzi wa tabia za wachezaji, kuonesha jinsi alivyokuwa makini kwenye kila kipengele cha soka.

5. Hadithi ya Kusikitisha ya Albert Stubbins
Albert Stubbins, mchezaji wa zamani wa Liverpool, ndiye mchezaji pekee wa Kiingereza aliyewahi kuonekana kwenye jalada la albamu ya Sgt. Pepper's Lonely Hearts Club Band ya The Beatles. John Lennon alimpenda sana, na hii ilionesha uhusiano wa karibu kati ya The Beatles na klabu ya Liverpool, ingawa wengi hawalijui hili.

6. "Laana" ya Anfield
Katika miaka ya 1950, Liverpool walipitia kipindi kigumu ambapo walishindwa kufunga bao lolote katika mechi za ligi kwenye Anfield kwa karibu miaka miwili. “Laana” hii ilikuja kumalizika mwaka wa 1959 baada ya Shankly kuchukua uongozi na kuleta mabadiliko makubwa katika klabu, wakianza kufunga mabao na kufufua matumaini ya mashabiki.

7. Ushirikiano wa Mashabiki Wakati wa Moto
Wakati Liverpool walipokuwa wanacheza mchezo wa Kombe la FA mwaka 1989, moto ulizuka kwenye eneo la mashabiki. Wafuasi wa Liverpool katika eneo la The Kop walishirikiana kuzima moto huo kwa haraka. Tukio hili liliashiria mshikamano wa mashabiki wa Liverpool, ambao walionyesha mshikamano wa kipekee katika nyakati ngumu.

8. Asili ya Wimbo Maarufu "You'll Never Walk Alone"
Wimbo huu ulianza kama wimbo wa Broadway lakini ulipata umaarufu baada ya kuimbwa na bendi ya Gerry and the Pacemakers kutoka Liverpool. Liverpool waliupenda sana na ukaanza kuimbwa na mashabiki katika miaka ya 1960, na hatimaye ukawa wimbo rasmi wa klabu, ukiashiria mshikamano wa klabu na mashabiki wao.

9. Mkusanyiko wa Mashuka ya Kumbukumbu Baada ya Hillsborough
Baada ya janga la Hillsborough mwaka 1989, mashabiki wa vilabu mbalimbali duniani walituma mashuka na skafu za kuomboleza, ambazo baadaye zilitandazwa kama sehemu ya kumbukumbu rasmi ya waliopoteza maisha. Tukio hili liliashiria mshikamano wa kimataifa na msaada kwa Liverpool na familia za walioathirika.

10. Maajabu ya Istanbul na Maelezo ya Rafa Benitez
Katika fainali ya Ligi ya Mabingwa ya 2005 huko Istanbul, Liverpool walikuwa nyuma mabao 3-0 dhidi ya AC Milan. Kocha Rafa Benitez aliwaacha wachezaji wake na maelezo ya maandishi ya mikakati, hali iliyowatia moyo na kuwasaidia kugeuza matokeo na kushinda. Mechi hii iliingia kwenye historia kama moja ya “comeback” za kushangaza zaidi katika historia ya soka.

Mambo haya yanaonesha historia yenye utajiri na ushupavu wa Liverpool FC, klabu iliyo na mashabiki wenye upendo na mshikamano wa kipekee.
 
Back
Top Bottom