Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah nakumbuka aliumia Henderson na kadi kwa VVD ndio tukamwelewa baldest boy kutoka Samba Fabihno ni nani...
Ni maumivu kwa wengine na fursa kwa wengine...
Man tumetoka mbali aisee there was atime tulimtegmea Clyine kama 1st choice RB na akina Sakho the Cyborg lol Klopp alipo aishi miaka mingi sana ili azidi kubarikiwa maana alitutoa shimoni kabisa...
Kuna wachezaji fualni leo hii hata bench hawawezi kusogelea lakin miaka hio ndio ilikia uwezo wetu kwanza kuwavutia, na malipo, malengo nk nk zilikua hafifu sanaaa.
YNWA
Miaka hiooo hapa kazi angepewa Tony Pulis na bila shaka angewaokoa aisee kwa sasa sijaona kocha wa huko chini mwenye mbinu hizo labda huyu wa Everton.
YNWA
Where does Elliott fit most RCM ama Right winger....
I prefer acheze Right Central Midfield..
Chiesa ni Left winga pale ndio hua anasepa na kijiji during his good days.
Jota ni namba 9 invented.
Allison Undisputed shot stopper.
YNWA
🤣 🤣 🤣 Mkuu zumbemkuu salama.sio red, alikuwa anatumikia ujira wake kwa uaminifu mkubwa. Namkubali sana.
They Started with "Liverpool will struggle after Jurgen Klopp's departure, but we started winning"
Then they Changed to Liverpool are yet to beat any Top Team despite beating Manchester United, but we defeated a Top Team
And they Continued with Liverpool are yet to beat any club in Top 6, but we disgraced a Top 6 Club
Now they're saying Liverpool has not beaten any club above them[emoji23][emoji23]
Some have started saying Liverpool are yet to beat any club outside Planet Earth[emoji23]
While they're busy Hating we're busy Winning, It's Lonely at the Top in the Premier League it's Lonely at the Top in the CHAMPIONS LEAGUE,
Premier League and CHAMPIONS LEAGUE Teams should just surrender all the Trophies to us rather than continue playing and we still end up winning the Quadruple this Season
SLOT BALLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL
Suares sio red, alikuwa anatumikia ujira wake kwa uaminifu mkubwa. Namkubali sana.
Binafsi tangu ashangilie lile goli walilotufunga nimemuondoa kwenye u copHeeheh he is a red na anaipenda Liverpool thats why kabla ya kwenda Barca, alisema this will be my last season kama hatutachukua EPL.
Bahati mbaya ile shangalia ilikelat walakini sana, sema tu Kops visirani walimuheshimu sana ila ile kushangilia tu vs LFC ikawa bye bye.
Alishaonekana akitoka Anfield na Jersey za LFC, kwa siri na paparazi.
View attachment 3147281
Suarez sio red ata interview zake zilionyesha tu..japo sio vibaya coz alifanya kazi yake vizurBinafsi tangu ashangilie lile goli walilotufunga nimemuondoa kwenye u cop
Mi sitamsamehe Klopp kwa fainali ya CL 2022 na PL 2019Raj Chohan, huyo i believe?
Was Edwards really the one who pointed-out Slot?
Kina Spearmann, mtawapa sifa zao lini? au mpaka nao watoe vitabu?
Suala la kuwa tactical insights zimeongezeka ni kweli, but msimu uliopita tuli-fall apart April (dakika za mwisho), tulikuwa kwenye title race, huku tuki-miss, kwa muda mkubwa uwepo wa kina Salah, Trent, Konate, Robertson, Kostas, Diaz, Gakpo, Jota, Szobo etc, kocha gani anaweza fanya hivyo? katika hizo previous seasons, kuna kipindi we were just 2 results away from winning the QAD, tuache revisionism, kisa tu Slot is doing good, na asingekuwa anafanya vizuri in the first place, bila la mazingira mazuri aliochiwa na Klopp, players wote hawa wanaompa matokeo week in, week out, ni wa Klopp, and Slot is always thanksful kwa hilo, angeweza kuja na kuwakuta kina finished Henderson/Fabinho/Mane/Firmino etc, but kakuta flesh players with flesh legs.
You can praise Slot bila kujaribu ku-look down on a manager who got us back to the top level.
Kuna tactical deficits nyingi sana kwenye game ya Slot, but huwezi kuwa NAIVE na kuanza kuzi-outline wakati anapata results na ukichukulia ni msimu wake wa kwanza, na hata kama angeanza vibaya angekuwa na support yangu, hao wanamsifia Slot now ndiyo wangekuwa wakwanza kumponda kama ange-fail, na huyo Raj Chohan na wafuasi wake wote, hakuna hata mmoja aliyekuwa anamtaka Slot, wote hao.
Binafsi tangu ashangilie lile goli walilotufunga nimemuondoa kwenye u cop
Sio rahisi kihivo maana hawa jamaa hawajawahi kuwa wepesi kwetu, si unakumbuka goli 7Leo na Astonvilla anakufa 3
EPL kila game ni ngumuLeo na Astonvilla anakufa 3