zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
Hii midomo inawaponza sana kwa utabiri wenu uchwara. Na mtaendelea kufilisika kwa ku bet kizembe...Jogoo leo mnakufa kwa mara ya pili,,,,baada ya wale wahumi wa msituni kuwatengua viuno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii midomo inawaponza sana kwa utabiri wenu uchwara. Na mtaendelea kufilisika kwa ku bet kizembe...Jogoo leo mnakufa kwa mara ya pili,,,,baada ya wale wahumi wa msituni kuwatengua viuno
Tunza comment yangu baada ya mechi uje ! Alafu sio kila mpenda michezo ni mdau wa betting mkuu,,,, !!!! Michezo tunaifatilia for funy, sio kustake kila saa roho mkononi !Hii midomo inawaponza sana kwa utabiri wenu uchwara. Na mtaendelea kufilisika kwa ku bet kizembe...
Mchezaji gani huyu nywele utasema mcheza show wa Koffi Olimide.Endrick baada ya kumuumiza konate mashabiki wa Liverpool sasa 😂
Sawa mkuu. Ngoja tusubiri dakika 90 za vijana wakipigana mateke. Mwenye nguvu atashinda...Tunza comment yangu baada ya mechi uje ! Alafu sio kila mpenda michezo ni mdau wa betting mkuu,,,, !!!! Michezo tunaifatilia for funy, sio kustake kila saa roho mkononi !
Golikipa wa Dunia
Saa 1 Duniani watu wengi watakuwa wanakodoa macho kwenye vininga kuona nani atakuwa kidume wa wiki.Mtanange utaanza saa ngapi Kwa saa za hapa kwetu
Na itatokana tu na mpira wa corner. Hii mechi mwamba Abdul Nondo kaikosa asee.Captain VvD anatandika free header inatoka nje nchi chache... what a misss......
Hahahaa inawezekana tuhawa inatakiwa twende half time tukiwa mbele goli hata 3,
hiki kimoja kurudi hakikawii,
Kimoko cha Nguruwe hakifai mkuu 😃😃hawa inatakiwa twende half time tukiwa mbele goli hata 3,
hiki kimoja kurudi hakikawii,