Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Robbo aondoke aisee
Ana upuuzi mwingi
Ana upuuzi mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaachie nyie ndio mpige keleleSana
Chelsea wanakuja kwa Kasi sana
Usitusingizie bwana chelsea hatuna mpango na hilo kombeOnly City ndio walikuwa wapinzani wetu. Mpaka sasa hawezi kutupita kwa point hata kama hatutapata ubingwa yaani kwa kifupi city hawezi kumaliza juu ya liverpool msimu huu.
Arsenal nao ni homa za mara kwa mara. Wanacheche, ila moto hawawashi. Watapoteza pointi nyingi kuliko sisi kwenye game zilizobakia. Maana yake hawawezi kuwa juu yetu.
Chelsea. Hawa ndio kidogo watatusumbua.
Kwa hiyo title race ni kati ya Majogoo na chelsea.
Hao wengine ni wasindikizaji.
Hivi bado unaangalia matokeo kule livescore ama umeanza kuangalia mechi laivu 😂😂TUNAWAPUMULIA 😭😭😭
Chelsea has the easiest games on paper but this is EPL matokeo ya mfukoni hayapo kabisa.
In short anauliza how do i serve you😂😂😂....
OllaChuga Oc umefurahiii mwenyewe kutajwa kwenye mbiooo haha haya over to you Chelsea catch us if you can.Only City ndio walikuwa wapinzani wetu. Mpaka sasa hawezi kutupita kwa point hata kama hatutapata ubingwa yaani kwa kifupi city hawezi kumaliza juu ya liverpool msimu huu.
Arsenal nao ni homa za mara kwa mara. Wanacheche, ila moto hawawashi. Watapoteza pointi nyingi kuliko sisi kwenye game zilizobakia. Maana yake hawawezi kuwa juu yetu.
Chelsea. Hawa ndio kidogo watatusumbua.
Kwa hiyo title race ni kati ya Majogoo na chelsea.
Hao wengine ni wasindikizaji.
Best way to start a new week haha Liverpool won the league.Did you know ? 😅😅😅
The last time Man Utd beat Man City 2-1 in the PL away, Liverpool won the league.
Binafsi sio muumini sanaa wa salee aisee zinaharibu sana mahesabu ya kuusaka ubingwa...Mimi sijasema bingwa anajulikana nimekupa tu pole kwa kudrop point
Hivi Robbo hahesabiki home grown being Scottish... In any way boy has to walk, he is losing the instinct very fast na ukiwa beki under Slot formula instinct lazima ziwepo at highest level case study Konate na VVD yaani they can smell danger at far n kuifanyia kazi mapema sanaa ama kujua watie block or slide etc...Naam.
Now you can see even with a DM only tuta suffer bado, kwa sababu LB & RB defensive wise ni challange sana,. We need to jump quickly before it bite us, january, Leta DM & LCB (player who can play LCB & LB), plus DM.
Him (Robbo) & his agent need to think otherwise.
Ynwa’
Robbo jamani hata Dada wa familia hii ana kudiss 😂😂Robbo aondoke aisee
Ana upuuzi mwingi
Atuachie timu yetu aiseeRobbo jamani hata Dada wa familia hii ana kudiss 😂😂
YNWA