Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef habari za siku nyingi Mkuu?
Nasoma mitandaoni naona LFC wame reject bid ya Real Madrid.

The MoNA umepata habari mpya kuhusu Trent Leo na LFC ishu yake ya mkataba?

Hapana sijapitia pitia huko duniani bado kuona kuna nini…

Ila ishu ya Trent tuwe realistic kidogo, yes he is a good player, scouser no. Zake as RB ni nzuri sana plus age yake. Hivi ukimpa Trent let say apewe £300k p/w au £350k p/w, uki renewe mkataba wa Diaz au Gakpo utampa ngapi?? Kama Trent anataka such amount je VVD utampa ngapi?? Szobo/Gravern/Jones/Macca. Trent kama anataka any more than £280k i will stand with Club over Trent. Akipokea more than £280k kuna wachezaji watakuja kuwaka na watasumbua sana ishu ya wages. Na Trent anachokitaka sidhani kama atawa command Madrid wampe.

Ngoja tuone kunaendaje, management itakuwa inasugua kichwa plus Slot, Kwa sasa Trent , Vvd, Salah wapo huru ku sign pre-contract with any Club.
Ikishindikana ni Slot ataulizwa mambo ya kiufundi anaonaje (though hana sauti na mamlaka makubwa).

Ila inaweza kumwaribia Slot, tuseme tumetoka 0 cups season hii, means Slot hatakuwa na say, but akibeba CL & EPL, CV itakuwa imewaka na ataweza kua na maamuzi japo sio ya moja kwa moja.

Wish them all to stay especially Trent, Madrid is not LFC kwamba watamvumilia la hasha hasa Don Perez na ataondoshwa kama atafanya one mistake itakayowakosesha kombe.

Happy New Year 2025…

Ynwa’
 
Ni rasmi sasa striker force asiye na bahati Darwin nunez nae yupo sokoni!
 
Ni rasmi sasa striker force asiye na bahati Darwin nunez nae yupo sokoni!

Sioni ni jinsi gani tunaweza kua naye msimu ujao, otherwise apate 30 G/A of which is unlikely to happen.

Jota pia kama injury record itaendelea huenda akauzwa pia. Yes he is so clinical in front of the goal but not available most of the season.

Ynwa’
 
Real Madrid ni waungwana, wanapenda fair play, wakimtaka mchezaji wape na wewe upate chochote, waliwahi kuweka euro 200m kwa mbappe Psg wakawa sikio la kufa, mwisho wa picha akaenda bure.
 
Amorim ni kocha mzuri, inawezekana ana structural/ systematic flaws lkn kwa umri wake sio wa kumkatia tamaa, at times as a coach ukiwa under pressure all you care is to win, kitu ambacho kinapelekea ku-twist some of your underpinning principles, kwa sisi watu wa mpira tunaamini coaching is the learning curve, hata Arne slot alikuwa ana shida kwenye high pressing structure lkn as the days go unaona kabisa OOP structure ina improve, naamini pia Amorim with the right environment ana kitu cha kuonesha. Watu wa Liverpool mnachukia jamaa cuz he rejected you.
 
BTW mimi ni shabiki wa Arsenal, i hate Man united and im so happy when they lose.
 
Amorim ni kocha mzuri, inawezekana ana structural/ systematic flaws lkn kwa umri wake sio wa kumkatia tamaa, at times as a coach ukiwa under pressure all you care is to win, kitu ambacho kinapelekea ku-twist some of your underpinning principles, kwa sisi watu wa mpira tunaamini coaching is the learning curve, hata Arne slot alikuwa ana shida kwenye high pressing structure lkn as the days go unaona kabisa OOP structure ina improve, naamini pia Amorim with the right environment ana kitu cha kuonesha. Watu wa Liverpool mnachukia jamaa cuz he rejected you.
Hatumchukii
Tunafurahi Kwa sababu Mungu alituepusha na huyo tapeli wa mpira .
Ni kilaza, bora tu alitukataa.
 
MosDef Mkuu shukrani naona ume react comment yangu.

Vipi kuhusu saga la Trent na real Madrid, mikataba ya Salah na Vigil?

Kuhusu usajili hasa upande wa Roberstbn, LCB na DM kuna habari zozote kutoka hapo LFC?

On Trent, my hands are tied brother.

Unless kutokee a big u-turn, Virgil new deal is imminent.

Salah, numbers & contract duration, vipo sorted, kuna issues za bonuses & add-ons ndiyo zinaleta ukakasi kidogo, but lets see itakuwaje.

Inshort, kila kitu kipo sawa, on Salah & Virgil part, but our owners ni FSG, chochote kinaweza kutokea brother, hata kama camps za wachezaji zipo na uhakika wa 100% kuhusu hizi deals, muamuzi wa mwisho ni FSG, either waruhusu au wa-block hizi deals, but kwa Virgil negotiations zimekuwa very smooth, Salah ishu za image-rights zinasumbua kidogo kama ile last time, and him being 32, inawapa ugumu kidogo FSG, but lets hope everything will get sorted soon, maana mpaka sasa kuanzia jana, Salah, Virgil & Trent, wanaruhusiwa kimkataba kuzungumza na club yeyote ile.

Its my hope, they get new contracts, but nitakuwa relieved nitakapoona wametia signatures zao kwenye mkataba.

Robertson kabakiza 18 months kwenye mkataba wake, i think he will leave in the summer.

We wont buy a DM in january, unless Ryan aumie hii january.

Yeah, we need some few additions kwenye CB area, lets see how FSG watakavyo-react, but kama wakitoa 1-2 contracts kwa Virgil/Salah, dont think watanunua mtu hii january.

But, ngoja tuone.
 
I just wanted to say something about Trent, kwa upande wa FSG & LFC as a whole.

Kwanza, at the club right now, kuna 3 players ambao ndiyo best LFC players right now (Trent, Salah, Virgil), hawa wote watatu, mpaka sasa, as we speak, wamebakiza miezi 6 tu kwenye mikataba yao, huu ni UZEMBE.

Tangu Madrid wafanye move yao Juzi, fans wengi sana wame-turn on Trent, but ni kosa la Trent? kwanini Club imesubiria mpaka mchezaji abakize mwaka mmoja kwenye mkataba wake, ndiyo wafungue mazungumzo? tena kwa mchezaji calibre ya Trent? a world class player ambaye profile yake ni very rare & unique, Yes, Trent has rejected multiple contract offers from the club, but tumeshajiuliza hizo offers zilikuwa zina-match kile anachokihitaji na anacho-offer on the pitch? this is modern football, Trent, Salah, Virgil, Becker etc, wana-haki ya ku-demand pesa yeyote kwasababu ya kile walichokileta at the club, sasa kama hauwezi ku-afford hawa big players, whats the use of being a big club? from Owen, McManaman, Xabi, Mascherano, Fernando, Suarez, Sterling, Countinho, even Emre, Wijnaldum etc, when these players reaches ile world class status, tunakuwa tunapata tabu sana kuwa-maintain, na imekuwa ni circle, ambayo ina excuses nyingi sana.

Salah is posting amazing numbers kila weekend uwanjani, lakini bado analilia mkataba kwenye media (inaumiza sana), world class player kama Salah, anataka kubaki at the club, na kinachokufanya usimuondoe ni backlash ya fans, kwasababu ameshaomba mkataba kwenye media, unlike Trent ambaye yupo kimya, so unaweza kumfanya awe villain kwa stupid fans, ambao hawana uwezo wa kufikiria.

Whats the bigger picture here? kwamba tuwape Virgil & Salah mikataba mipya, kwasababu tusipofanya hivyo tutapata tabu kwa fans na kupoteza support? au tuwape kwasababu wanastahili? ukiwapa kwasababu wanastahili it means lazima uzingatie ubora wa kile wanachokileta mezani, ambacho dunia nzima inakiona, NA ukiwapa kwasababu unaogopa backlash ya fans, ni lazima utake kuwanyonya kwasababu unaona wanakuharibia mahesabu, na if anything, modern football ime-prove kuwa you cant bully a world class player, meaning FSG hawawezi kuwa-bully Salah & Virgil, either wape wanachotaka au acha waondoke. sasa tutakuwa na owners takataka kama hawa mpaka lini? Transfer window hii, wamemnunua Chiesa tu, for 10m, tulianza msimu tukiwa a man short at Midfield & kwenye backline, huu siyo uzembe wa mtu yeyote zaidi ya FSG, na bado tunawalea sana, kama kina Virgil, wasingeongea, sidhani hata kama kungekuwa na contract talks, kwasababu kwenye vitabu vyao walikuwa wameshahesabia kuwa wanafunga mahesabu ya mishahara kwa kina Virgil & Salah, wachezaji aina ya Virgil & Salah, unawaachia waende wapi? Aisee.

Na ukiangalia hii creme ya sasa at LFC, ukiwatoa Alisson, Salah, Virgil, Trent, Konate & maybe Alexis, hamna mchezaji ambaye unaweza kusema in fews years anaweza kufikia thamani ya 200k p/w, tena Konate & Alexis ni big stretch, hawawezi kupata hiyo. ndiyo vitu wanataka FSG, na huwezi ku-compete mara kwa mara ukiwa kwenye hali hii, tunakuwa tuna-compete kwa vipindi tu, msimu huu Slot atafanya poa, but next season utaona anaanza kupata tabu, maana kunakuwa hakuna sustained structure, kocha mpya anakuja, tena in the summer transfer window, unampa mchezaji mmoja tu, ambaye mpaka leo hajacheza, je umempangaje kwa transfer window inayofata? na je kama kina Salah, Virgil wangetaka kuondoka, ungewa-replace na nani? kama Trent akiondoka, utam-replace na nani? kwanini iwe ngumu sana ku-keep your best players? nini maana ya kuwa the big club? ni maana ya kuwa LFC?
 
Dah! Kila nikikumbuka Watu walitaka tuletewe Amorim 🤔
Unaongea kama siyo mtu wa mpira.

Kwahyo, hata Slot ange-hit the ground running at OT na wachezaji kama Zirkzee, Hojlund, Garnacho, a 34 years old Casemiro, Maguire, Lindelof, Ugarte, Martinez, Evans, Eriksen, etc.

Amorin anahitaji 3 transfer windows, kui-mold Utd anayitaka, meaning, he will need 2 full seasons, to establish his mark.

Mpira siyo mwepesi hivyo, Utd imeoza, & it started na jinsi Fergie alivyoiacha, it will take TIME.

Watu huwa wanacheka kuwa Arteta, yupo kwenye phase ya 6-7 bila title, but kwa alipoitoa Arsenal na hapa ilipo, ni HATUA kubwa sana, kwa team ambayo haijabeba PL kwa muda mrefu kidogo, itachukua effort na time kubeba PL, na direction ipo CLEAR.

Sasa, mnataka Amorim, ambaye backline, options zake ni Onana, Dalot, Martinez, Maguire, Lindelof, a 18 years-old Yoro, etc, MF yenye kina Casemiro, Ugarte, Eriksen, a young Mainoo etc, strking force iliyooza kama ile, na unataka akupe matokeo right away? mpira umeanza kuwa mwepesi hivyo tangu lini?

Klopp won his first major title at LFC, 3-4 years deep kwenye his reign, na hii ni baada ya ku-clear takataka zote alizozikuta at LFC.

Tukiacha ku-sugarcoat, Nunez ame-improve under Slot? the answer is NO, does it mean Slot ni bad coach kwa kuwa ameshindwa kumu-unlock Nunez? same Slot ambaye anafanya kina Gakpo & Diaz watupe numbers zinazotushangaza kila siku? Slot angefanya nini na strikers kama Zirkzee au Hojlund? Amorim was coaching Gyökeres in portugal for Gods sake.

He will need time, na kama Utd wakiwa patient enough na kum-back vizuri in the summer or 2, he will deliver, longterm.
 
MosDef Asante kwa taarifa Mkuu hivi ni kweli ...Michael edwards Ana uhuru wa kufanya kazi yake haswa kwenye hizi issue za mikataba? And if not kwanini alikubali tena kurudi Liverpool to work with the same owners? Au na yeye anatekeleza falsafa zao
 
Back
Top Bottom