I just wanted to say something about Trent, kwa upande wa FSG & LFC as a whole.
Kwanza, at the club right now, kuna 3 players ambao ndiyo best LFC players right now (Trent, Salah, Virgil), hawa wote watatu, mpaka sasa, as we speak, wamebakiza miezi 6 tu kwenye mikataba yao, huu ni UZEMBE.
Tangu Madrid wafanye move yao Juzi, fans wengi sana wame-turn on Trent, but ni kosa la Trent? kwanini Club imesubiria mpaka mchezaji abakize mwaka mmoja kwenye mkataba wake, ndiyo wafungue mazungumzo? tena kwa mchezaji calibre ya Trent? a world class player ambaye profile yake ni very rare & unique, Yes, Trent has rejected multiple contract offers from the club, but tumeshajiuliza hizo offers zilikuwa zina-match kile anachokihitaji na anacho-offer on the pitch? this is modern football, Trent, Salah, Virgil, Becker etc, wana-haki ya ku-demand pesa yeyote kwasababu ya kile walichokileta at the club, sasa kama hauwezi ku-afford hawa big players, whats the use of being a big club? from Owen, McManaman, Xabi, Mascherano, Fernando, Suarez, Sterling, Countinho, even Emre, Wijnaldum etc, when these players reaches ile world class status, tunakuwa tunapata tabu sana kuwa-maintain, na imekuwa ni circle, ambayo ina excuses nyingi sana.
Salah is posting amazing numbers kila weekend uwanjani, lakini bado analilia mkataba kwenye media (inaumiza sana), world class player kama Salah, anataka kubaki at the club, na kinachokufanya usimuondoe ni backlash ya fans, kwasababu ameshaomba mkataba kwenye media, unlike Trent ambaye yupo kimya, so unaweza kumfanya awe villain kwa stupid fans, ambao hawana uwezo wa kufikiria.
Whats the bigger picture here? kwamba tuwape Virgil & Salah mikataba mipya, kwasababu tusipofanya hivyo tutapata tabu kwa fans na kupoteza support? au tuwape kwasababu wanastahili? ukiwapa kwasababu wanastahili it means lazima uzingatie ubora wa kile wanachokileta mezani, ambacho dunia nzima inakiona, NA ukiwapa kwasababu unaogopa backlash ya fans, ni lazima utake kuwanyonya kwasababu unaona wanakuharibia mahesabu, na if anything, modern football ime-prove kuwa you cant bully a world class player, meaning FSG hawawezi kuwa-bully Salah & Virgil, either wape wanachotaka au acha waondoke. sasa tutakuwa na owners takataka kama hawa mpaka lini? Transfer window hii, wamemnunua Chiesa tu, for 10m, tulianza msimu tukiwa a man short at Midfield & kwenye backline, huu siyo uzembe wa mtu yeyote zaidi ya FSG, na bado tunawalea sana, kama kina Virgil, wasingeongea, sidhani hata kama kungekuwa na contract talks, kwasababu kwenye vitabu vyao walikuwa wameshahesabia kuwa wanafunga mahesabu ya mishahara kwa kina Virgil & Salah, wachezaji aina ya Virgil & Salah, unawaachia waende wapi? Aisee.
Na ukiangalia hii creme ya sasa at LFC, ukiwatoa Alisson, Salah, Virgil, Trent, Konate & maybe Alexis, hamna mchezaji ambaye unaweza kusema in fews years anaweza kufikia thamani ya 200k p/w, tena Konate & Alexis ni big stretch, hawawezi kupata hiyo. ndiyo vitu wanataka FSG, na huwezi ku-compete mara kwa mara ukiwa kwenye hali hii, tunakuwa tuna-compete kwa vipindi tu, msimu huu Slot atafanya poa, but next season utaona anaanza kupata tabu, maana kunakuwa hakuna sustained structure, kocha mpya anakuja, tena in the summer transfer window, unampa mchezaji mmoja tu, ambaye mpaka leo hajacheza, je umempangaje kwa transfer window inayofata? na je kama kina Salah, Virgil wangetaka kuondoka, ungewa-replace na nani? kama Trent akiondoka, utam-replace na nani? kwanini iwe ngumu sana ku-keep your best players? nini maana ya kuwa the big club? ni maana ya kuwa LFC?