MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Ni ngumu sana kuelewa aisee. Manchester City wapo wanafukuzia wachezaji wanne kwa mpigo... Na FSG wapo wanatazama Gravenberch akicheza markshift defender yaaani......... hizi fursa ni adimu tunayo hapa lakin mmh wapo wanakula burger tuu na coka barid sanaa.
YNWA
City, will be paying Marmoush close to Salah's wages anayopata at LFC.
Marmoush had 1 & half top/big season in Germany, hana kombe lolote la maana kwenye CV/resume yake, but player mwenye CV kama ya Salah anaonekana greedy kwa kutaka an improved contract kutoka kwa FSG & LFC, and Trent with his CV/resume cant ask for 300k.
FSG and their apologists, wame-set standards za chini sana kwa hii club yetu, na inaumiza sana.
Proper/top reds, wanaponda Pep anavyo-spend hii January, but thats what winners do, Man City wanahitaji a serious squad-rebuild, na unaona jinsi wanavyoshambulia hii january transfer window ili ku-save their season, sisi tulipata CBs crisis wakati ule, na FSG wakaishia ku-spend £2m kwa Davies & loan ya Ozan Kabak.
Its sad sana kuona baadhi ya LFC fans wanawa-entartain hawa jamaa, wametu-cost a lot of trophies kwa kuruhusu team kuwa short kwenye baadhi ya departments for years.
Last time we bought a CB was 2021, last time we bought a real DM was 2018.