Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
EPL classics whats a game....Nervy game aisee
Happy to win
Goners draw for now is the best present for January
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EPL classics whats a game....Nervy game aisee
Happy to win
Fatigue,loss of form is catching up.
Kubwa kuliko yote ni makocha timu pinzani washajua how to pin Diaz, Salah, Gapko hivyo we need new dimensions, new threat new ideas like leo Nunez na Jota time to time...
YNWA
Daah! Watu mnasahau mapema sana, vs MAN U, NEWCASTLE, N FOREST tulishinda?Daaah. Nyie wahuni huu msimu umewanyookea balaa. Mnashinda tu yaani.
Race ya golden boot ndio tatizo la sivyo angekuwa anafanyiwa subHii game Salah hakupaswa kuicheza dk 90. Game ilimkataa leo lakini kocha kashindwa kuliona hilo na kamwacha kamaliza dk zote.
Dogo Elliot angeingia kuanzia dk za 65 angeilainisha sana game.
Sema tu kuanzia klopp mpaka slot wote wanaogopa kumfanyia sub salah.
Umeongea kwa uchungu sana mwaka huu hatutawapa nafasi mtusogelee kabisailikuwa leo mpate sare, sisi tushinde tuwe nyuma yenu kwa points 1 tu au nne kama mkishinda game yenu mkononi. Ikitokea mkapiga hiyo tunabaki point 1 tu nyuma yenu halafu sasa ndiyo race ianze.
Ila hamtaki kukamatika aisee. Na sisi ndiyo hivyo kikosi chetu kimekuwa finyu sanaaa
Mmekaa hapo mmepumzikaDaaah. Nyie wahuni huu msimu umewanyookea balaa. Mnashinda tu yaani.
Ilikua full stressNunieeeeezzzz🔥🔥🔥🔥
Kengeza la mguu sasa limeanza kuisha
Kweli mwaka mpya na mambo mapya
YNWA 🔥🔥
And a defensive right backTunahitaji upgrade ya Diaz next season.Tunahitaji one established Centre Back.Tunahitaji upgrade ya Robbo.Tunahitaji upgrade ya Nunez.Tunahitaji kuwabakiza Allison,Salah,Virgil na Trent wote kwa pamoja.
But only If we are a big club .....
Short of that basi tutahitaji upgrade ya FSG
Mmekaa hapo mmepumzika
Nafasi siyo yenu hiyo
Subirini kutolewa
Wapishe wenye nafasi
Hama hiyo timu
Hainaga vikombe vya maana😂
Tampering tu hiyo balloon d'or kwa kile kitendo cha kufunga jana. Au siyo?
Nunieeeeezzzz🔥🔥🔥🔥
Kengeza la mguu sasa limeanza kuisha
Kweli mwaka mpya na mambo mapya
YNWA 🔥🔥
Tampering tu hiyo balloon d'or kwa kile kitendo cha kufunga jana. Au siyo?
Hapo alipo amekudukuliwa sio Saint Anne ninaemjua mie 😎🤣🤣Huchelewi kwenye game ijayo kumuita takataka