Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fatigue,loss of form is catching up.
Kubwa kuliko yote ni makocha timu pinzani washajua how to pin Diaz, Salah, Gapko hivyo we need new dimensions, new threat new ideas like leo Nunez na Jota time to time...

YNWA

Kwenye hii January front 3 yetu wote (Salha, Gakpo na Lucho) hawapo kwenye form nzuri.
Tusubiri February watarudi kwenye form
 
Hii game Salah hakupaswa kuicheza dk 90. Game ilimkataa leo lakini kocha kashindwa kuliona hilo na kamwacha kamaliza dk zote.
Dogo Elliot angeingia kuanzia dk za 65 angeilainisha sana game.
Sema tu kuanzia klopp mpaka slot wote wanaogopa kumfanyia sub salah.
Race ya golden boot ndio tatizo la sivyo angekuwa anafanyiwa sub
 
Nunieeeeezzzz🔥🔥🔥🔥
Kengeza la mguu sasa limeanza kuisha
Kweli mwaka mpya na mambo mapya

YNWA 🔥🔥
 

Attachments

  • IMG-20250119-WA0000.jpg
    IMG-20250119-WA0000.jpg
    556.2 KB · Views: 3
ilikuwa leo mpate sare, sisi tushinde tuwe nyuma yenu kwa points 1 tu au nne kama mkishinda game yenu mkononi. Ikitokea mkapiga hiyo tunabaki point 1 tu nyuma yenu halafu sasa ndiyo race ianze.

Ila hamtaki kukamatika aisee. Na sisi ndiyo hivyo kikosi chetu kimekuwa finyu sanaaa
Umeongea kwa uchungu sana mwaka huu hatutawapa nafasi mtusogelee kabisa
 
Tunahitaji upgrade ya Diaz next season.Tunahitaji one established Centre Back.Tunahitaji upgrade ya Robbo.Tunahitaji upgrade ya Nunez.Tunahitaji kuwabakiza Allison,Salah,Virgil na Trent wote kwa pamoja.

But only If we are a big club .....

Short of that basi tutahitaji upgrade ya FSG
 
Tunahitaji upgrade ya Diaz next season.Tunahitaji one established Centre Back.Tunahitaji upgrade ya Robbo.Tunahitaji upgrade ya Nunez.Tunahitaji kuwabakiza Allison,Salah,Virgil na Trent wote kwa pamoja.

But only If we are a big club .....

Short of that basi tutahitaji upgrade ya FSG
And a defensive right back

Plus salah long term replacement
 
Sasa tupambane kushinda mechi tano zijazo zikiwemo ya Pep na Aterta Baada ya hapo tutakuwa na uhakika wa asilimia kubwa sana ya kunyanyua kwapa. Maana si kwa kupambana huko kusajili wachezaji hasa hasa yule prince wa Misri-Marmoush na Zubimendi, imeniuma sana kuishia njiani kuwafuata hawa
 
Back
Top Bottom