Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Mkuu FSG has been caught pants down kwanza kwa Klopp ku resign vile na cha pili impact ya Slot kwa wachezaji... In short FSG walijua tunarudi kuleee 2016 ndio maana wali relax kabisa ili hawa ma top earners bila UCL ama competitive team wangesepa tu, ishu sasa hawana pakujificha zaidi ooh ku disrupt wage bill mara wako 30+ yaani wanatapata... Konate nae amegoma kusaini anadai mpunga uongezeke,Ila mimi nashindwa kuwaelewa FSG kabisa. Kwanini wanakuwa reluctant ku sort hizi mambo za mikataba mapema hasa team ikiwa katika critical moments kama hivi inaongoza both CL na PL.
Kwanini wasinge sort mapema ili wachezaji wa focus kucheza mpira badala ya kuwaza mikataba
Tuseme tu Liverpool ime outgrow FSG strategy maana ile buy young sell hakuna tena wachezaji sasa wanataka kustafia Liverpool hawataki kuodoka kama mahitaji yao yanazingatiwa...
Wish one day Klopp awe mkweli aseme behind the scenes zilizofanya a resign maana pamoja na fatigue naamini na set up ya FSG ipo kwenye mix.. Kwanza ilikua Edwards akaja Ward na wengine wengi wengi aafu Klopp pale kwa moto aisee.. Too good kwa FSG timu inafanya vyema kwa sasa hivyo haya mambo hayatazamwi sanaaaaaa.
Salah kashasema nipeni ela nitulie apa apa, Vvd kashasema, Konate amesema, Trent ni typical Scouser ana trend very carefully.
Ngoja tuone mwisho wa haya mambo.
YNWA