zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
Ukuta wetu ni wa biscuits leo. Taa angepumzishwa tu kwa leo.Kocha amuamini Endo hii mechi, hii kucheza bila DM mianya mingi sana na AV wana playmaker wengi balaa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukuta wetu ni wa biscuits leo. Taa angepumzishwa tu kwa leo.Kocha amuamini Endo hii mechi, hii kucheza bila DM mianya mingi sana na AV wana playmaker wengi balaa .
Mkuu, ukuta mzuri sana ila unafikika haraka sana na kwanini unafikika haraka sababu hatuna perfect DMUkuta wetu ni wa biscuits leo. Taa angepumzishwa tu kwa leo.
AnashindaNgapi huko wakubwa? naogopa ata kuangalia livescore nimeweka ka mzgo ka hela.. huyu livapu huyu dah
mmhAnashinda
Bora ku draw kuliko kufungwa mkuu....hongereni mmeupiga mwingi sana leo🤠🤠🤠...bado j2 na kipara anawqsubiriNunez anatunyima goal la wazi hapa
Indeed he isWe got to come to the point that we agree Nunez is a liability