The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Dogo nakuamuru unyamaze.Kumbe mtu anaweza ota ndoto huku hajala!
Amri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo nakuamuru unyamaze.Kumbe mtu anaweza ota ndoto huku hajala!
Ndg huku ndani tumekubaliana Graven kanunuliwa bei chee na mtu KAZI haswa ni kuokota dodo chini ya mpera hatuitaji mwingineTimu inahitaji 👇
- Centre forward
- Defensive Midfielder
- Left Back
- Right Back
Matajiri waache upuuzi wasajili wachezaji kwenye hayo maeneo kwasasa yapo wazi kama tunacheza pungufu.
Motivation speakers wataanza yao sasaTatizo la hii timu ni sare nyingi
Usijeshangaa leo tukatoa sare kisha van dijk na robertson wakaanza kuwa motivation speakers kama kawaida yao.
Uyu ni Flano ??Hzi mechi 2 mkijikanyaga na Arsenyau wakashinda za kwao....gepu litabaki dogo sana na hapo ndo Van dijk atakapoanza kuwakata mitama wenzake kwny dressing room maana yule ana hasira za karibu sana
Kuna muda hata kama umeshainua mtu bench bora umrushie tu koti arudi kusubiri. Pale Slot ni kama aliua momentum ya team tuanze ku build upya.Timu ilikuwa imekwisha pata moto akaipozeesha ghafla!
We have to give respect to playersKuiangalia liverpool unaweza pasua TV yako.
Hawa wachezaji wamelegea kama Urojo wa mpemba.
Na CBTimu inahitaji 👇
- Centre forward
- Defensive Midfielder
- Left Back
- Right Back
Matajiri waache upuuzi wasajili wachezaji kwenye hayo maeneo kwasasa yapo wazi kama tunacheza pungufu.
TunashindaNext game ni versus Manchester City pale kwenye uwanja wa ETIHAD inaomilikiwa na City of Manchester.
Nakumbusha tu
Ndg huku ndani tumekubaliana Graven kanunuliwa bei chee na mtu KAZI haswa ni kuokota dodo chini ya mpera hatuitaji mwingine
Kuna muda hata kama umeshainua mtu bench bora umrushie tu koti arudi kusubiri. Pale Slot ni kama aliua momentum ya team tuanze ku build upya.
Unafikiri nafasi ile ya Nunez pale Jota anakuacha?
Nilisikia tetesi kuwa Liverpool inataka kumtoa plus cash kwa Newcastle ili tumsajili Isak. Naomba hizi rumours ziwe za kweli.Mwisho wa huu Msimu Nunez atolewe kwa Mkopo pale Spain au Italy.
Thank youMimi nimezungumzia asajiliwe DM ambayo anacheza Mac Allister (back up yake ni Watatu) sio Gravenberch.
Sasa habari za Gravenberch zimeingiaje hapa?
Jana tuliopata over 6 chancesTumebakisha mechi 5 za Awa ambazo 3 tu ndiyo ngumu.
Kati ya hiyo 3 migumu tunaweza kupoteza michezo miwili kati ya hiyo na kutoa sare na Brighton.
Versus Man City - loss
Versus Chelsea - loss
Versus Brighton - draw
Versus Leicester - Win
Versus Fulham - Win
Kati ya points 15 tunaweza ambulia points 7 tu hapo na kupoteza points 8 hii ni based on our current away performance kuanzia January mpaka jana usiku.
Arsenal akishinda leo usiku tutakuwa tumemuacha kwa points 5 hivyo tukipoteza hizo points 8 tutakuwa na Deni la points 3 hii manayake ni lazima tumfunge tukikutana.
Hivyo kitu cha Msingi tushinde mechi zote za Anfield ikiwemo dhidi ya Arsenal basi moja kwa moja tunakuwa mabingwa kwasababu Arsenal naye hawezi kushinda michezo yote 14 mfululizo iliyobakia.
Kiufupi kutokana na Mtaji mkubwa wa points tuliojiandalia hapo awali yani kuongoza kwa points 9 imetusaidia sana kwasababu sio jambo rahisi mtu kutupita kilaini hizo point ni nyingi kwa kumfukuza mtu na ukampita tofauti na watu wanavyodhani.
Mathematically tuna nafasi kubwa sana ya kuwa mabingwa.
Nilisikia tetesi kuwa Liverpool inataka kumtoa plus cash kwa Newcastle ili tumsajili Isak. Naomba hizi rumours ziwe za kweli.
Nilisikia tetesi kuwa Liverpool inataka kumtoa plus cash kwa Newcastle ili tumsajili Isak. Naomba hizi rumours ziwe za kweli.
Jibu hawezi isipokuwa ukingalia jinsi alivyoutanguliza ule mpira alikuwa hawezi fanya chochote sababu kipa alifika ghafla na kwa haraka sana kitendo alichofanya alitakiwa kukifanya kwenye hatua ya pili yeye alifanya ya tatubkipa akawa kafika!Kuna muda hata kama umeshainua mtu bench bora umrushie tu koti arudi kusubiri. Pale Slot ni kama aliua momentum ya team tuanze ku build upya.
Unafikiri nafasi ile ya Nunez pale Jota anakuacha?