Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Did you see those outer passes??

Diaz to Szobo slightly outer pass
Salah to Macca pass slightly outer pass,

Salah to Diaz and Trent clean outer passes but couldn't manage to be scored.
Screenshot_2025-02-27-16-30-23-79_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg

Hehehe Even Alison Becker jana alikuwa na quality, and accurate long passes.

If you has MF's who are scoring you will have a good balance.

Magpies wanajulikana ni jamaa wa aggressiveness physicality game, lakini kwa jana wakakutana eneo hilo tupo vizuri pia. Gravern, Macca, Szobo wanaweza hiyo kazi, Konate, Vvd, Tsimibthey are good, Salah, Diaz mpira wa vurugu wameukulia they know it.

Kwenye 4-4-2 yao defending plus 4-3-3, mpaka 5-3-2 ilikuwa ngumu kiasi kukabiliana na LFC yenye muundo wa 3-2-5 offensively kwenye half ya Magpies. Keep forcing them to play mostly on their own half space, thats why goli likapatikana mapema tu within 11' mins.

Jana Eddie Howe aliteseka, akinyumbulika hivi, Heitinga (kwa kivuli cha Slot) akanyumbulika nae, how?

Kwenye 4-3-3, walishindwa kuhimili pressing ya LFC iliyojaza watu wengi kwenye lines zao za viungo na mabeki, Salah and Diaz wide, Jota, Szobo and Macca wanakamilisha line ya watu wa tano, Gravern and Trent/Tsimi wanadumisha line ya watu wawili kati Vvd Konate and Tsimi/Trent wanadumisha line ya watatu nyuma, hapa inategemea na upande upi unatumika kwa wakati husika. Most RHS ulitumika mno upande wa Salah, Trent kuna quality na inaleta madhara makubwa sana.
Howe akageuka na kutumia 4-4-2 ili kuzuia lfc wasipite katikati zaidi, watumie pembeni zaidi na kuzuia mpaka na 5-3-2 akiwa kwenye his own half.

Screenshot_2025-02-27-16-25-34-94_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg

Last two games Salah amekus ana drop wide deep kusaidia defensively duties na ndipo anakuwa na hatari akipata mpira joy to watch akipokea mpira deep.

Played with less pressure, full of confidence, desire to win the game, less intensity with accurate use of chances.

-Jota looks under confidence
-Nunez as usual pressure is high to him, but i like how Kops still they are behind him.

We are on a "bonus mode" but Arsenal wish you all the best toward this marathon, it's not over untill it is mathematically secured.

Did you notice baada ya Endo, Gakpo, Quansah kuingia tulikuwa na good flow of football?? Was delightful to watch. Ukiwa na natural DM that's how it goes. Game vs Everton ilipaswa kuingia tu Endo na akabiliane na Beto that's all na hapakua na sabbu ya kucheza na two ST ambao hawana mental resilience at a time.

That's how you should learn from your mistakes. Slot alijifunza hilo baada ya game vs Everton the rest hajarudia na imemlipa sasa yupo 13 points clear on top.

"Welcome to Arne Slot Penitentiary"

Know You Can
YNWA
 
Huyo mwamba anajiona Liverpool ni mali yake, halafu anaamini kila anachosema yeye ndio sahihi wengine wapo wrong.

You're wrong! You're too wrong kwenye hili.
Maranyingi nakuwa naandika my own post bila ya kuwa na interaction na post ya Mtu wowote.

Sijui nimekukosea wapi (unaweza kunikumbusha) lakini hizi habari za kuwa "Liverpool naifanya ni mali yangu na kila ninachoongea nahisi nipo sahihi" hapa umekuja na personal issue ambayo sijajua umetumia vigezo gani kunibrand na Tabia hizo (unaweza kunielewesha).

Kama kuna kitu in between (kati yetu) unaweza kunieleza hapa and I promise I'll apologize kuliko kuniattack kama hivi wakati mimi sikumbuki kuwa na bifu yoyote na wewe.
 
You're wrong! You're to wrong kwenye hili.
Maranyingi nakuwa naandika my own post bila ya kuwa na interaction na post ya Mtu wowote.

Sijui nimekukosea wapi (unaweza kunikumbusha) lakini hizi habari za kuwa "Liverpool naifanya ni mali yangu na kila ninachoongea nahisi nipo sahihi" hapa umekuja na personal issue ambayo sijajua umetumia vigezo gani kunibrand na Tabia hizo (unaweza kunielewesha).

Kama kuna kitu in between (kati yetu) unaweza kunieleza hapa kuliko kuniattack kama hivi wakati mimi sikumbuki kuwa na bifu yoyote na wewe.
Mkuu tatizo hojaaaa

Ukishinda kwa hoja lazima upingwe personal

Tuuendeleze uzi wetu, huwezi kupendwa na wote
 
Did you see those outer passes??

Diaz to Szobo slightly outer pass
Salah to Macca pass slightly outer pass,

Salah to Diaz and Trent clean outer passes but couldn't manage to be scored.
View attachment 3251959

Hehehe Even Alison Becker jana alikuwa na quality, and accurate long passes.

If you has MF's who are scoring you will have a good balance.

Magpies wanajulikana ni jamaa wa aggressiveness physicality game, lakini kwa jana wakakutana eneo hilo tupo vizuri pia. Gravern, Macca, Szobo wanaweza hiyo kazi, Konate, Vvd, Tsimibthey are good, Salah, Diaz mpira wa vurugu wameukulia they know it.

Kwenye 4-4-2 yao defending plus 4-3-3, mpaka 5-3-2 ilikuwa ngumu kiasi kukabiliana na LFC yenye muundo wa 3-2-5 offensively kwenye half ya Magpies. Keep forcing them to play mostly on their own half space, thats why goli likapatikana mapema tu within 11' mins.

Jana Eddie Howe aliteseka, akinyumbulika hivi, Heitinga (kwa kivuli cha Slot) akanyumbulika nae, how?

Kwenye 4-3-3, walishindwa kuhimili pressing ya LFC iliyojaza watu wengi kwenye lines zao za viungo na mabeki, Salah and Diaz wide, Jota, Szobo and Macca wanakamilisha line ya watu wa tano, Gravern and Trent/Tsimi wanadumisha line ya watu wawili kati Vvd Konate and Tsimi/Trent wanadumisha line ya watatu nyuma, hapa inategemea na upande upi unatumika kwa wakati husika. Most RHS ulitumika mno upande wa Salah, Trent kuna quality na inaleta madhara makubwa sana.
Howe akageuka na kutumia 4-4-2 ili kuzuia lfc wasipite katikati zaidi, watumie pembeni zaidi na kuzuia mpaka na 5-3-2 akiwa kwenye his own half.

View attachment 3251957

Last two games Salah amekus ana drop wide deep kusaidia defensively duties na ndipo anakuwa na hatari akipata mpira joy to watch akipokea mpira deep.

Played with less pressure, full of confidence, desire to win the game, less intensity with accurate use of chances.

-Jota looks under confidence
-Nunez as usual pressure is high to him, but i like how Kops still they are behind him.

We are on a "bonus mode" but Arsenal wish you all the best toward this marathon, it's not over untill it is mathematically secured.

Did you notice baada ya Endo, Gakpo, Quansah kuingia tulikuwa na good flow of football?? Was delightful to watch. Ukiwa na natural DM that's how it goes. Game vs Everton ilipaswa kuingia tu Endo na akabiliane na Beto that's all na hapakua na sabbu ya kucheza na two ST ambao hawana mental resilience at a time.

That's how you should learn from your mistakes. Slot alijifunza hilo baada ya game vs Everton the rest hajarudia na imemlipa sasa yupo 13 points clear on top.

"Welcome to Arne Slot Penitentiary"

Know You Can
YNWA
YNWA!
 
There is a confidence and arrogance in our player that is very encouraging

They are not scared of success

Efficiency ya team ipo kwrnye conversion rate, vijana, of late, wamepiga show very efficient

Short on target per goal in thr last 6 games ilo nzuri sana
 
Elliot was Jones wana potential ya kuwa big players. They are only hindered by the fact kuwa hatuna DMs wakuwafanya wacheze free role (IMHO). Japo naona work rate ya Elliot ni kubwa na akipewa minutes ana deliver.

If we keep them okay, if we get rid then quality additions are welcome

Cisco.

I get the sentiment, kwasababu Jones ni "home-boy", but lets be real with ourselves, Jones is 24, hatuwezi kuwa tunaendelea kuongelea suala la "potential" at that age, wakati wenzake (Age-mates), tayari wamebebeshwa majukumu makubwa kwenye teams/clubs zao.

At LFC pekee (recent times);
SG became a LFC captain at 23, at 24 he carried us & won us ile CL ya Istanbul (2004/5 season). at 24 years-old.

Trent became a house-hold RB name at 20, at 21 tayari alikuwa ana CL title, akiwa kama undisputed starter kwenye first XI, at 24, tayari alikuwa kashinda kila kitu kwenye ngazi ya Club, je kipindi ambacho tulikuwa tuna-question his ability to defend, tulikuwa tunajificha kwenye kivuli cha potential? au excuses za kuwa Klopp moved him kutoka kwenye his natural position (CM) kwenda at RB? Trent kaanza kuwa subjected na "ukosolewaji" wa kutokuwa na ability nzuri ya kuzuia tangu akiwa na miaka 18-19, but at 26 now, anaenda kuwa 2 times PL winner, and if nothing changes, anapata a big/dream move to Madrid, he's just 2-years older kwa Curtis.

Joseph Dave Gomez (Joe Gomez), was only 21 when alipokuwa "vital" part ya ile partnership yake na VVD, back in 2018-2020/21.

Raheem Sterling was only 19 ule msimu wetu wa 2013/14, Coutinho was 21.

Achana na hao, kwenye our current squad, umeongelea kuhusu Curtis kushindwa kufikia potential yake kwasababu ya lack of a DM figure kwenye team, ambapo game yake inakuwa restricted, well, natural position ya Gravenberch ni kama ya Jones, wote ni 8s, but Grav amekuwa able ku-adopt at 6 and he's carrying us msimu huu, one of the MOST IMPORTANT PLAYERS kwenye team msimu huu, Klopp si alishamjaribu Curtis mara kadhaa at 6? what happened? Grav is carrying backbone ya team yetu at 22 (TWENTY TWO YEARS OLD), Jones at 24 ana-offer kipi? potential? Ryan ni mmoja ya wachezaji ambaye alikuwa anapata abuses & ukosoaji mkubwa sana kutoka kwa LFC fans around the globe msimu uliopita, now at 22 he's winning us the league, Jones lini atafikia levels za Ryan? interms ya umuhimu & impact kwenye team? at 24 hatutakiwi kuongelea kuhusu potential, tena kwa mchezaji ambaye anaanza a lot of games.

Szobo is 24, same age kama ya Jones.

Nunez is just a year-older (25), abuses anazopata Nunez, watu huwa wanazingatia potential? Again, why iwe kwa Jones tu? ambaye for the past 5 years ame-fail ku-evolve?

Gakpo is just a year-older kwa Jones, same kwa Konate, mbona wenzake wana-take wajibu na ku-show up kila siku? Gakpo wa msimu uliopita siyo huyu wa sasa, same to Konate, wanakuwa na ku-evolve.

Curtis Jones is older than Bukayo Saka, Saliba, Cole Palmer, Caicedo, Jude, Pedri, Lamine, Cubarsi, Mainoo, Morgan Rogers, Barcola, Nico Williams etc

Curtis Jone is at the same age na kina Vinicius Jr, Erling Haaland, Foden, Antony Gordon etc

Hao wachezaji wote, aliowapita umri na anaolingana nao, wote WANABEBA majukumu MAKUBWA sana kwenye teams zao, na kila kukicha "game-state" yao inakuwa na ku-evolve, what about Jones?

Curtis Jones ali-fail ku-break in kwenye first XI wakati tukiwa tuna-struggle kwenye MF msimu wa 22/23, akashindwa ku-break in last season (23/24) wakati tuna whole new MF, na kina Szobo/Grav walikuwa wanajaribu ku-adjust kwenye mfumo & mazingira ya LFC, now he has failed kum-displace Szobo kwenye team kabisa, and amekuwepo at LFC for years, sisemi kuwa Szobo hastahili kuanza, but kwa muda aliokuwepo Curtis at LFC, ilitakiwa iwe ni ngumu kwa kina Szobo/Grav/Alexis kum-displace, right? but why imekuwa rahisi? kina Saka, Lamine, Cubarsi, Foden, Nico Williams etc, ni academy kids, kwa jinsi game yao ilivyo-evolve na kutengemaa, unadhani ni rahisi kwa new signings kuwa-displace kwenye teams zao? why iwe Curtis? at 24 kwanini bado tunaongelea potential?

Game ya Curtis Jones ime-stuck, ameshindwa ku-evolve, he thinks he's better than uwezo wake ulipoishia, na tulitakiwa tuwe tunalalamika kuhusu potential, kama hapati game-times, but kwa msimu huu ni moja ya players ambao wamecheza games nyingi sana, but anaweza kuku-offer anacho ku-offer his age-mate Szobo? especially alichofanya Szobo katika games za City & Newcastle?

Tangu Klopp amu-introduce Jones kipindi kile, amekuwa aki-train/kucheza na kuzungukwa na World class players, kina Allison/VVD/Matip/Salah/Mane/Firmino/Fabinho/Gini/Robertson etc, a father/brother figure kama Milner etc, kama una-fail kukuza game yako, around these big players, utakuza wapi?

Wachezaji aina ya Curtis Jones, wakikaa muda mrefu kwenye Club, wanakuwa ni tatizo, haijalishi kama Coach/manager anampenda au no, Klopp used to love & protect Henderson, but in the end he made a mockery kwa Club, Klopp & fans wakati ana-force move ya kwenda Saudi.
 
This is football Man, miracles happens.

Itakuwa ni BIGGEST BOTTLE-JOB IN FOOTBALL HISTOELRY kama tusipobeba kombe from here.

....and y'all need to stop pretending a team that starts Mikel Merino at 9/upfront ni threat kwa LFC.

We will drop points, yeah, & Arsenal will win some of their games, but we're more than safe.
 
Back
Top Bottom