Elliot was Jones wana potential ya kuwa big players. They are only hindered by the fact kuwa hatuna DMs wakuwafanya wacheze free role (IMHO). Japo naona work rate ya Elliot ni kubwa na akipewa minutes ana deliver.
If we keep them okay, if we get rid then quality additions are welcome
Cisco.
I get the sentiment, kwasababu Jones ni "home-boy", but lets be real with ourselves, Jones is 24, hatuwezi kuwa tunaendelea kuongelea suala la "potential" at that age, wakati wenzake (Age-mates), tayari wamebebeshwa majukumu makubwa kwenye teams/clubs zao.
At LFC pekee (recent times);
SG became a LFC captain at 23, at 24 he carried us & won us ile CL ya Istanbul (2004/5 season). at 24 years-old.
Trent became a house-hold RB name at 20, at 21 tayari alikuwa ana CL title, akiwa kama undisputed starter kwenye first XI, at 24, tayari alikuwa kashinda kila kitu kwenye ngazi ya Club, je kipindi ambacho tulikuwa tuna-question his ability to defend, tulikuwa tunajificha kwenye kivuli cha potential? au excuses za kuwa Klopp moved him kutoka kwenye his natural position (CM) kwenda at RB? Trent kaanza kuwa subjected na "ukosolewaji" wa kutokuwa na ability nzuri ya kuzuia tangu akiwa na miaka 18-19, but at 26 now, anaenda kuwa 2 times PL winner, and if nothing changes, anapata a big/dream move to Madrid, he's just 2-years older kwa Curtis.
Joseph Dave Gomez (Joe Gomez), was only 21 when alipokuwa "vital" part ya ile partnership yake na VVD, back in 2018-2020/21.
Raheem Sterling was only 19 ule msimu wetu wa 2013/14, Coutinho was 21.
Achana na hao, kwenye our current squad, umeongelea kuhusu Curtis kushindwa kufikia potential yake kwasababu ya lack of a DM figure kwenye team, ambapo game yake inakuwa restricted, well, natural position ya Gravenberch ni kama ya Jones, wote ni 8s, but Grav amekuwa able ku-adopt at 6 and he's carrying us msimu huu, one of the MOST IMPORTANT PLAYERS kwenye team msimu huu, Klopp si alishamjaribu Curtis mara kadhaa at 6? what happened? Grav is carrying backbone ya team yetu at 22 (TWENTY TWO YEARS OLD), Jones at 24 ana-offer kipi? potential? Ryan ni mmoja ya wachezaji ambaye alikuwa anapata abuses & ukosoaji mkubwa sana kutoka kwa LFC fans around the globe msimu uliopita, now at 22 he's winning us the league, Jones lini atafikia levels za Ryan? interms ya umuhimu & impact kwenye team? at 24 hatutakiwi kuongelea kuhusu potential, tena kwa mchezaji ambaye anaanza a lot of games.
Szobo is 24, same age kama ya Jones.
Nunez is just a year-older (25), abuses anazopata Nunez, watu huwa wanazingatia potential? Again, why iwe kwa Jones tu? ambaye for the past 5 years ame-fail ku-evolve?
Gakpo is just a year-older kwa Jones, same kwa Konate, mbona wenzake wana-take wajibu na ku-show up kila siku? Gakpo wa msimu uliopita siyo huyu wa sasa, same to Konate, wanakuwa na ku-evolve.
Curtis Jones is older than Bukayo Saka, Saliba, Cole Palmer, Caicedo, Jude, Pedri, Lamine, Cubarsi, Mainoo, Morgan Rogers, Barcola, Nico Williams etc
Curtis Jone is at the same age na kina Vinicius Jr, Erling Haaland, Foden, Antony Gordon etc
Hao wachezaji wote, aliowapita umri na anaolingana nao, wote WANABEBA majukumu MAKUBWA sana kwenye teams zao, na kila kukicha "game-state" yao inakuwa na ku-evolve, what about Jones?
Curtis Jones ali-fail ku-break in kwenye first XI wakati tukiwa tuna-struggle kwenye MF msimu wa 22/23, akashindwa ku-break in last season (23/24) wakati tuna whole new MF, na kina Szobo/Grav walikuwa wanajaribu ku-adjust kwenye mfumo & mazingira ya LFC, now he has failed kum-displace Szobo kwenye team kabisa, and amekuwepo at LFC for years, sisemi kuwa Szobo hastahili kuanza, but kwa muda aliokuwepo Curtis at LFC, ilitakiwa iwe ni ngumu kwa kina Szobo/Grav/Alexis kum-displace, right? but why imekuwa rahisi? kina Saka, Lamine, Cubarsi, Foden, Nico Williams etc, ni academy kids, kwa jinsi game yao ilivyo-evolve na kutengemaa, unadhani ni rahisi kwa new signings kuwa-displace kwenye teams zao? why iwe Curtis? at 24 kwanini bado tunaongelea potential?
Game ya Curtis Jones ime-stuck, ameshindwa ku-evolve, he thinks he's better than uwezo wake ulipoishia, na tulitakiwa tuwe tunalalamika kuhusu potential, kama hapati game-times, but kwa msimu huu ni moja ya players ambao wamecheza games nyingi sana, but anaweza kuku-offer anacho ku-offer his age-mate Szobo? especially alichofanya Szobo katika games za City & Newcastle?
Tangu Klopp amu-introduce Jones kipindi kile, amekuwa aki-train/kucheza na kuzungukwa na World class players, kina Allison/VVD/Matip/Salah/Mane/Firmino/Fabinho/Gini/Robertson etc, a father/brother figure kama Milner etc, kama una-fail kukuza game yako, around these big players, utakuza wapi?
Wachezaji aina ya Curtis Jones, wakikaa muda mrefu kwenye Club, wanakuwa ni tatizo, haijalishi kama Coach/manager anampenda au no, Klopp used to love & protect Henderson, but in the end he made a mockery kwa Club, Klopp & fans wakati ana-force move ya kwenda Saudi.